Hechinodemata
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,487
- 3,371
Majina yawaliopata mkopo yametoka lakini cha ajabu loan board wametoa asilimia chache Sana namm mfukoni nina pesa ya nauli tu, Ada ya chuo ni million moja na Laki moja lakini wao wamenipa Laki tisa na Mia tano tu
na meals and accommodation wamenipa million mbili na tisini elfu na Mia tano
Nifundisheni namna ya kukata rufaa View attachment 1977591
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
[emoji123]Nina wasiwasi sitapata mkopo wa chuo nisaidieni mawazo
Wewe ni aina ya wale watu wakulalamika tuu katika maisha na huna shukrani, ulikua na wasiwasi kwamba hupopata mkopa sababu umekosea mwaka wa kuzaliwa unaokinzana na mwaka uliojaza shule, leo unalalamika sababu Helsb inakutaka uongeze laki mbili tu wakati unaweza ipata kwenye MA tena ni pesa ndogo sana kwa wewe ukilinganishwa na wenzako wanatakiwa kulipa mpaka laki 6, Be thankfull vinginevyo hutaweza chuo, believe me
- Thread starter mpwayungu village
- Start dateSep 27, 2021
DuuhWewe mtu asee huna shukrani. Kuna wenzako hawatapata hata 100.
Mimi nimesoma chuo sina boom so tuition fee naunga unga tu na hela ya stationeries ndio usiseme na kila siku handouts zinatolewa na kuuzwa.
Kama sio wana kunibeba beba na kununua plate moja tunagonga watu wawili na kunywa maji ya kandoro nahisi nisingetoboa.
Wewe umepata boom zaidi ya asilimia 90 mzee unalalamika? Asee shukuru Mungu sana.
Pamoja na direct cost nitatoa laki Tatu itabaki Laki mbili tu kwenye pesa ya boommpwayungu village [emoji23][emoji23][emoji23].
Hio kilo 2 ilobaki fanya kuimegamega kwe boom ujazilizie an, no way.....
Mambo ya kutanua weka pemben, fanya kilichokufanya upate huo mkopo....
[emoji23][emoji23][emoji23]eti 1000%Ww jamaa una dhambi sana. Mm mdogo wangu hajapata anasubili second batch ila ww hiyo unaona ndogo. Basi nenda wakakupe 1000%
Majina yawaliopata mkopo yametoka lakini cha ajabu loan board wametoa asilimia chache Sana namm mfukoni nina pesa ya nauli tu, Ada ya chuo ni million moja na Laki moja lakini wao wamenipa Laki tisa na Mia tano tu na meals and accommodation wamenipa million mbili na tisini elfu na Mia tano Nifundisheni namna ya kukata rufaa View attachment 1977591 Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app

Duh halo mbaya,mi mwnye nmelipiw ad 400500 out of 1100000Yani bro shukuru Sana Kwa Mungu umepewa hata hiyo laki Tisa hapo unahitaji kujibana kidogo Tu uongeze ili Ada itimie ...Mimi nimechaguliwa MD Ila nimeambulia Meals na accommodation Tu .....Asa sijui hela serikali waliosema wameongeza Kwa ajili ya mikopo imeenda wapi
Ulisoma Gvmnt au privateDuh halo mbaya,mi mwnye nmelipiw ad 400500 out of 1100000
Ridhika kijana,mi mwny nmelipiwa ada lak 4 tu,chuo hichohicho bt coz ni uchumi,ila ntajikaza kiumeMajina yawaliopata mkopo yametoka lakini cha ajabu loan board wametoa asilimia chache Sana namm mfukoni nina pesa ya nauli tu, Ada ya chuo ni million moja na Laki moja lakini wao wamenipa Laki tisa na Mia tano tu
na meals and accommodation wamenipa million mbili na tisini elfu na Mia tano
Nifundisheni namna ya kukata rufaa View attachment 1977591
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Tena law[emoji2]Nina wasiwasi sitapata mkopo wa chuo nisaidieni mawazo
Wewe ni aina ya wale watu wakulalamika tuu katika maisha na huna shukrani, ulikua na wasiwasi kwamba hupopata mkopa sababu umekosea mwaka wa kuzaliwa unaokinzana na mwaka uliojaza shule, leo unalalamika sababu Helsb inakutaka uongeze laki mbili tu wakati unaweza ipata kwenye MA tena ni pesa ndogo sana kwa wewe ukilinganishwa na wenzako wanatakiwa kulipa mpaka laki 6, Be thankfull vinginevyo hutaweza chuo, believe me
- Thread starter mpwayungu village
- Start dateSep 27, 2021
Dogo jau uyuNina wasiwasi sitapata mkopo wa chuo nisaidieni mawazo
Wewe ni aina ya wale watu wakulalamika tuu katika maisha na huna shukrani, ulikua na wasiwasi kwamba hupopata mkopa sababu umekosea mwaka wa kuzaliwa unaokinzana na mwaka uliojaza shule, leo unalalamika sababu Helsb inakutaka uongeze laki mbili tu wakati unaweza ipata kwenye MA tena ni pesa ndogo sana kwa wewe ukilinganishwa na wenzako wanatakiwa kulipa mpaka laki 6, Be thankfull vinginevyo hutaweza chuo, believe me
- Thread starter mpwayungu village
- Start dateSep 27, 2021
Kakate rufaa ili wakutoe kabisa katika wanufaika ndo utajua kwa nini Muccobs inaitwa Mocu.Majina yawaliopata mkopo yametoka lakini cha ajabu loan board wametoa asilimia chache Sana namm mfukoni nina pesa ya nauli tu, Ada ya chuo ni million moja na Laki moja lakini wao wamenipa Laki tisa na Mia tano tu
na meals and accommodation wamenipa million mbili na tisini elfu na Mia tano
Nifundisheni namna ya kukata rufaa View attachment 1977591
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Nenda kasome fal* wewe,mjini hawaangalii jinsia ukipenda kutanua tanua wanakuingizia yote uwe wa- kike ata wa-kiume
Ndonn sasa mkuu mbona matusi tenaNenda kasome fal* wewe,mjini hawaangalii jinsia ukipenda kutanua tanua wanakuingizia yote uwe wa- kike ata wa-kiume
Ukiappeal ukikosa unapunguziwa %auKakate rufaa ili wakutoe kabisa katika wanufaika ndo utajua kwa nini Muccobs inaitwa Mocu.
Hapana hawapunguzi..wataongeza kidogo au itabaki VILEVILLE according to our Loan officer