miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
Hakuna undugu kwenye hela mkuuyaani unanigeuka?
Hakuna undugu kwenye hela mkuuyaani unanigeuka?
GKMumesikiaSi unajua kwa mchaga everything has a price? Time value of money
Ana idea nyingi sana, yani umeoa jembe ndugu yangu
nimesikia hiyo,,but najua hutaki kuwa-treated kama product for sale do you?
hapo sawa, naona value for money itakuwepo lol
I want to be cared
yeaah,,now u'r talking sense
Care including giving me money
ahaha,,babyyyyyyyy!!!!
tokea uzi utoke mwezi sasa vp umeshaoa au ndo changa la macho
Pole mkuu,ila kiukweli humu kwenye jukwaa hatuna cha kukushauri kitakacho kukuridhisha.Nnachokuamba vuta muda lipe tukio nafac then ukweli utaufahamu tu kama atarud au la!.