Nimechanganyikiwa na Simu ya mtarajiwa wangu

Nimechanganyikiwa na Simu ya mtarajiwa wangu

Babu hizi futari za kualikana mtandaoni hizi naweza jishtukia nafuturu mtandaoni......
maana mpaka muda huu sijui venue wala muda, lol!

Nadhani una matatizo ya network. Hebu basi wasiliana na katibu mhutasi wa bibi kwa jina la snowhite akupe kila taarifa utakayotaka.

Tuko pamoja?
 
Last edited by a moderator:
Daah mambo ya ndoa bwana tukifuata interest za wazazi inakujaga kuwa shida hapo baadae, ok jaribu kuwashirikisha ndugu upande wako uone wanasemaje.

au kama ni muhimu sana yeye kwenda America basi ndoa isogezwe mbele kimtindo mkuu, ila ongea kwanza na upande wako
 
Tarehe 27/10 natimiza 28
Kwa huyu Binti sidhani maana kama kuna mtu ambaye anahitaji ndoa ni yeye nafikiri kuliko mimi.
Mimi kuwa na 28 sidhani kama bado ni mtoto maana najitambua na nahitaji ndoa kwakweli.


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Nadhani utulie wala usiwe na haraka na ndoa kijana. Wewe mwache aende tu, asiporudi akaamua kukwepa kuolewa na wewe, piga magoti mshukuru Mungu hujui atakuwa amekuepusha na nini maana ndoa sio suala la muda bali maisha yenu yote. Kwa umri wako bado unaweza kusubiri, mimi nimeoa nikiwa na umri wa miaka 33, na nimekaa kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka 10 sasa. Najaribu kufikiri iwapo ningefunga ndoa katika mazingira kama unayoeleza haraka huenda tungechokana mapema na hata kuachana. Lakini pamoja na changamoto nyingi tunasonga mbele maana tulipendana wenyewe na hatukupangiwa wala kuingiliwa na yeyote.

Kwa hiyo, ushauri wangu mwache aende halafu uone nini kitatokea, najua ni ngumu sana kukubaliana nami maana umejiandaa kuweka mtu ndani mwezi wa 9. Lakini nakuomba mdogo wangu jitahidi sana, wenye hekima wasema, "ni heri kukosea ... kuliko kukosea kuoa."
 
,1)jiulize ni kweli huyo mrembo anakupenda? 2) kama kweli amedhamiria hawezi kuondoka 3) ikiwa ni dharura kiasi hicho na ilishatangazwa kisheria 21days bfr.....nenda bomani funga ndoano yako, akirudi nenda kunako dini yako kakamilishe 4) unaweza kukataa vile vl baada ya kufunga ndoa bomani, kwani ni mke wako halali....
Fanya maamuzi ya busara kwa faida ya familia yako....kila la kheri... jitahidi kuwa mvumilivu kipindi hiki.
 
Nyie mnaogopana nyie,,mbona nikiongea na nyie mmoja mmoja mnakuwa upande wangu?

Tutaona sasa. Matege kaolewa kwa mil 15 bila chenji.

Sasa wewe leta utani uone wachagga watavyopiga mnada hiko kinokia tochi hadi ile laptop ilochubuka yote
 
Last edited by a moderator:
Tutaona sasa. Matege kaolewa kwa mil 15 bila chenji.

Sasa wewe leta utani uone wachagga watavyopiga mnada hiko kinokia tochi hadi ile laptop ilochubuka yote

hahahaaa,,matege kwa 15 M,,Miss chagga nae ana matege kwani?
 
Tutaona sasa. Matege kaolewa kwa mil 15 bila chenji.

Sasa wewe leta utani uone wachagga watavyopiga mnada hiko kinokia tochi hadi ile laptop ilochubuka yote

mkuu nifate PM tukaongee
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa,,matege kwa 15 M,,Miss chagga nae ana matege kwani?

Matege ni mtu, ni mdada mrembo ameolewa kwa mahari ya 15 mil. Sasa wewe endelea kumbwela na hyo ofa ya 5 Mil kwa miss chagga
 
Last edited by a moderator:
Matege ni mtu, ni mdada mrembo ameolewa kwa mahari ya 15 mil. Sasa wewe endelea kumbwela na hyo ofa ya 5 Mil kwa miss chagga

nilikuelewa sana haha,,tano nitaitoa aise kwa huyo ndugu yako, najua atakuja na wazo la biashara worth more than 5M
 
nilikuelewa sana haha,,tano nitaitoa aise kwa huyo ndugu yako, najua atakuja na wazo la biashara worth more than 5M

Ana idea nyingi sana, yani umeoa jembe ndugu yangu
 
,1)jiulize ni kweli huyo mrembo anakupenda? 2) kama kweli amedhamiria hawezi kuondoka 3) ikiwa ni dharura kiasi hicho na ilishatangazwa kisheria 21days bfr.....nenda bomani funga ndoano yako, akirudi nenda kunako dini yako kakamilishe 4) unaweza kukataa vile vl baada ya kufunga ndoa bomani, kwani ni mke wako halali....
Fanya maamuzi ya busara kwa faida ya familia yako....kila la kheri... jitahidi kuwa mvumilivu kipindi hiki.[/QUOTE
Una uhakika huyo binti ni mrembo????
 
Back
Top Bottom