Nimebakwa na mjomba wangu

hesalieyo

JF-Expert Member
Jul 18, 2012
378
378
Naomba mnisaidie ndugu zangu,ni wiki ya tatu sasa toka nifanyiwe kitendo hiki na mjomba wangu ambaye ninaishi nae.

Mke wa mjomba na watoto walisafiri kwenda likizo kijini nikabaki mimi na mjomba baada ya siku mbili mjomba alikuja chumbani kwangu usiku na kugonga.

Nilifungua mlango kwa sababu nilihisi labda alikua na shida.,baada ya kufungua mjomba alinambia nisipige kelele anataka nilale nae,niliogopa sana sababu sikutegemea kama mjomba anaweza kuniambia maneno hayo,pia maishani mwangu nilikua sijawahi kufanya mapenzi na mwanaume yeyote. Nilitaka kupiga kelele lakini ghafla mjomba aliniwahi na nahisi aliniwekea madawa na nikapoteza fahamu,na sijui kilichoendelea baada ya hapo.

Nilipokuja kupata fahamu nilijiangalia na kujikuta na majimaji katika mapaja yangu lakini sikuhisi maumivu yeyote katika sehemu zangu za siri,yaan mpaka ninapoandika hapa nashindwa kuelewa hivi ni kweli anko alinibaka?

Kama ndio kwanini sikusikia maumivu yeyote,sababu huwa naskia mara ya kwanza kulala na mwanaume lazima upate maumivu makali?
 
Shtaki kwa wazazi au ndugu unawexa mwambia. Ila kwa nini hukusemasiku hiyo hiyo? Itakuwa ngumu kupata ushahidi.
 
Mmmnh... Kamuulize huyo anko ndio anajua nini alikufanyia..!
 
Kasome maana halisi ya kubaka ndo utunge tena hadithi yako,pia hukusikia maumivu kwani unaonekana ni mzoefu wa gwiji gwiji
 
Jf mna wazimu.. She sounds genuinely truthful, usijali mjomba alifanyia shughuli yake kwenye mapaja tu aliogopa kukubikiri siku nyingine uwe unabana mlango kwa komea halafu usifungue kabisa
 
Usilale bila kuvaa kufuli atakupigilia msumari wa bati utashindwa kuja kuhadithia utamu wake humu.
 
Back
Top Bottom