Nimebaini mke wangu ana laini mpya

Nimebaini mke wangu ana laini mpya

-Laini mpya
-shamba boy
-majina ya mashoga zake
-jina la usajili wa laini la mwanaume
Kimsingi nikiwa kama hakimu hii case ni complicated sana so kama mahakama hatuwez kutoa maamuzi yoyote kwaiyo bwana [mention]DeepPond [/mention] tunaomba kuahirisha kesi hii mbaka mnamo mwakani January tarehe kama ya leo kwaajili ya kupisha uchunguzi zaidi mbaka utakapo kamilika.

NB:kwanzia sasa ishi kwa pattern i hope understand
Ha ha ha.....nmekuelewa Sana chief [emoji4]
 
Punde nae wife kafika chumbani kapanic,analalamika Inamaana simuamini yeye MKE wa ndoa, namwamini kijana wa ng'ombe?

Nikamwambia "sio kwamba sikwamini, unachonambia hakiingii akilini. Kuanzia namna ulvonipigia Simu, Hadi kudai laini Ni ya kijana. Yaani laini ya kijana wa ng'ombe ikaseviwe majina ya ndugu zako na shoga zako, afu uyo uyo kijana asitambue hata jina Moja kwenye laini inayodaiwa Ni ya kwake. Hapa Kuna kitu kinafichwa."

Akasema,
"Hayo majina sijayakana,Ni yangu, Simu yangu ilkua mtu akipiga haileti majina kwenye kioo, ndo nikaamua kua nayasevu kila wakipiga" nkamuuliza "umeanza kuyasevu lini hayo majina?" Akasema "leo leo wote walkua wakinipigia Simu haileti majina".

Nkarejea kwenye Simu yake kubwa na kuangalia kwenye call records kuangalia majina yote 9 kwenye ile laini ya 900 Kama kweli namba zile 9 zote zilipiga. Nkakuta tangu mwezi wa 10 hamna hata Moja ilopiga,missedcall Wala kupokelewa kupitia Simu kubwa. Nkajua uyu mwanamke ananidanganya.

Nkamwambia wazi wazi
"wee mwanamke Ni mwongo, afu ujui unamdanganya mtu namna gani, humu kwny Simu yako hamna call yyt inayohusiana na hzo namba ulizosevu humu, vinginevyo useme uwa unatumia simu tofauti kuzipigia hizo namba zako. Na nataka niione hiyo Simu Sasa hivi" Akasema Hana Simu tofauti na hiyo.

Basi nikaona ananipotezea MDA,
Nmeondoka pale na kurud kuendelea na shughuli zangu. Lakini kichwan najua Kuna kitu hakiko sawa khs MKE wangu.

Hatua nilizochukua mpk sasa,
1. Nmeanza rasmi kuzifanyia uchunguzi namba Moja baada ya nyingine zilizoseviwa kwny Hii laini.

2. Nmeangalia usajili wa laini, namba imesajiliwa jina la kiume la kiislamu, nataka nianze kumfatilia kumjua mtu huyu Ni Nani.

3. Nmemuuliza mdg wake wa kike wife khs hizo laini (baadae asije geuza kibao Akasema laini za mdg wake), keshanambia haitambui laini Kama hiyo.

4. Kiukweli iman kwa MKE wangu imepungua mno, na kwa hili ntaanza kumchunguza kimya kimya Bila kupanic.

MWENYE MAWAZO,USHAURI AU MAONI TOFAUTI NAwaKARIBISHENI.

Nawasilisha
emoji1431.png

[/QUOTE

Nawasilisha[emoji1431]
Hapo kinachoonekana kutokea Ni kuwa, aliweka hiyo laini ili ampigie mchizi wake, bahati mbaya akasahau kuitoa na wakati anakuoigia wewe alijua anakupigia na laini yake ambayo unaijua. Bahati mbaya zaidi ukawa ushaipata. Hapo Cha msingi Ni kumpata huyo aloisajili, Ni rahisi Sana kumpata. Baada ya hapo fanya ufuatliaji wa ukaribu wa wawili hao. Lakini mkuu unaweza kutrack namba hyo pia Mana kuna Uzi ulishawahi kusema simu ya Shem wetu ipo under survilliance 24/7. Fanya hivyo na ukirudi unitag. Najua mwanamke akicheat mwanaume anaumia Mara 100 ya mwanamke. "No Mara waaa".

Na kwanini wanaume tunaumia, wenzetu wakicheat hawaishii kuliwa tu, wanatoa Siri na madhaifu yetu. Kwa kifupi wanauza ramani. Lakini wanaume tunaweza cheat na tusimuongelee wife kwa namna yoyote ile. Kwahiyo mkuu nikupe pole lakini ingia field uje na data kamili.
Pole Sana mkuu kwa changamoto za ndoa
 
Kwahiyo deeppond ulijua unaweza kucheza ngoma ( kuchepuka) peke yako?? Mke wako anacheza disko kabisa. Ndege wafananao huruka pamoja.
Kama mke wako atakuwa anachuka walaah nitafurahi sana yaani.
Kwaiyo unaniombea mabaya mkuu[emoji848]
 
Hapo kinachoonekana kutokea Ni kuwa, aliweka hiyo laini ili ampigie mchizi wake, bahati mbaya akasahau kuitoa na wakati anakuoigia wewe alijua anakupigia na laini yake ambayo unaijua. Bahati mbaya zaidi ukawa ushaipata. Hapo Cha msingi Ni kumpata huyo aloisajili, Ni rahisi Sana kumpata. Baada ya hapo fanya ufuatliaji wa ukaribu wa wawili hao. Lakini mkuu unaweza kutrack namba hyo pia Mana kuna Uzi ulishawahi kusema simu ya Shem wetu ipo under survilliance 24/7. Fanya hivyo na ukirudi unitag. Najua mwanamke akicheat mwanaume anaumia Mara 100 ya mwanamke. "No Mara waaa".

Na kwanini wanaume tunaumia, wenzetu wakicheat hawaishii kuliwa tu, wanatoa Siri na madhaifu yetu. Kwa kifupi wanauza ramani. Lakini wanaume tunaweza cheat na tusimuongelee wife kwa namna yoyote ile. Kwahiyo mkuu nikupe pole lakini ingia field uje na data kamili.
Pole Sana mkuu kwa changamoto za ndoa
Umenishaur mambo mazue sn sn chief[emoji4][emoji1431]
 
Back
Top Bottom