Nimebaini mke wangu ana laini mpya

Nimebaini mke wangu ana laini mpya

🤣🤣🤣unatombewaaah
Ila nawe so una mchepuko mama j ngoma droo
Muda uko kwa mchepuko,naye mama g anafinyangwa
Vp ushanunua vyombo vipya vya jikon?😂😂😂
Anatombewa alafu wewe ndio mshika Miguu mkewe akiwa amepanua au sio?
 
kama umemchoka mchunguze... ila kama bado unampenda fanya as if hakuna kilicho tokea... idanganye akili yako kuwa mke ni muaminifu kwako... akili itakubari...

kwa hicho unacho taka kukitafuta haki vile utakipata na kitakuletea matatizo...

usimchunguze bata huto mla...!​
 
kama umemchoka mchunguze... ila kama bado unampenda fanya as if hakuna kilicho tokea... idanganye akili yako kuwa mke ni muaminifu kwako... akili itakubari...

kwa hicho unacho taka kukitafuta haki vile utakipata na kitakuletea matatizo...

usimchunguze bata huto mla...!​
Maana yake unamshauri aache mkewe aendelee kugongwa?
 
Punde nae wife kafika chumbani kapanic,analalamika Inamaana simuamini yeye MKE wa ndoa, namwamini kijana wa ng'ombe?

Nikamwambia "sio kwamba sikwamini, unachonambia hakiingii akilini. Kuanzia namna ulvonipigia Simu, Hadi kudai laini Ni ya kijana. Yaani laini ya kijana wa ng'ombe ikaseviwe majina ya ndugu zako na shoga zako, afu uyo uyo kijana asitambue hata jina Moja kwenye laini inayodaiwa Ni ya kwake. Hapa Kuna kitu kinafichwa."

Akasema,
"Hayo majina sijayakana,Ni yangu, Simu yangu ilkua mtu akipiga haileti majina kwenye kioo, ndo nikaamua kua nayasevu kila wakipiga" nkamuuliza "umeanza kuyasevu lini hayo majina?" Akasema "leo leo wote walkua wakinipigia Simu haileti majina".

Nkarejea kwenye Simu yake kubwa na kuangalia kwenye call records kuangalia majina yote 9 kwenye ile laini ya 900 Kama kweli namba zile 9 zote zilipiga. Nkakuta tangu mwezi wa 10 hamna hata Moja ilopiga,missedcall Wala kupokelewa kupitia Simu kubwa. Nkajua uyu mwanamke ananidanganya.

Nkamwambia wazi wazi
"wee mwanamke Ni mwongo, afu ujui unamdanganya mtu namna gani, humu kwny Simu yako hamna call yyt inayohusiana na hzo namba ulizosevu humu, vinginevyo useme uwa unatumia simu tofauti kuzipigia hizo namba zako. Na nataka niione hiyo Simu Sasa hivi" Akasema Hana Simu tofauti na hiyo.

Basi nikaona ananipotezea MDA,
Nmeondoka pale na kurud kuendelea na shughuli zangu. Lakini kichwan najua Kuna kitu hakiko sawa khs MKE wangu.

Hatua nilizochukua mpk sasa,
1. Nmeanza rasmi kuzifanyia uchunguzi namba Moja baada ya nyingine zilizoseviwa kwny Hii laini.

2. Nmeangalia usajili wa laini, namba imesajiliwa jina la kiume la kiislamu, nataka nianze kumfatilia kumjua mtu huyu Ni Nani.

3. Nmemuuliza mdg wake wa kike wife khs hizo laini (baadae asije geuza kibao Akasema laini za mdg wake), keshanambia haitambui laini Kama hiyo.

4. Kiukweli iman kwa MKE wangu imepungua mno, na kwa hili ntaanza kumchunguza kimya kimya Bila kupanic.

MWENYE MAWAZO,USHAURI AU MAONI TOFAUTI NAwaKARIBISHENI.

Nawasilisha
Mkuu ukiona manyoya ameliwa!
 
Back
Top Bottom