Na kwanini akupigie kwenye laini yako ambayo Ni ya private?? Au ndo huwa anakupigia huko?? Ila maumivu yako nayafeel. Be strong mkuu.Umenishaur mambo mazue sn sn chief![]()
Ukigonga nje, ukumbuke kuna kugongewa.. Hapo shemeji ni kuna mtu anabiliga..Unamaanisha nn?
Kweli ndoa ni kuondoa amani na kukaribusha mateso sasa unaacha kaz unaenda kupekua simu ya mkeo?Baada ya kukata Simu,machale yakanicheza sana. Nkaamua Kwenda nyumbani MDA huo huo, nmefk namkuta wife sebleni kashika Simu akitizama tv na shemej yangu (mdg wake wa kike).
Nmemuita chumbani kaja, nmemkalisha chini nikamwamvia anikabidhi Simu yake,Kisha nkamwambia "nataka kujua khs hii laini ngeni ulonipigia leo". Akasema "sio laini yangu, Ni laini ya kijana wetu wa ng'ombe, aliazima Simu yangu kubwa mara Moja ili awapigie videocall ndugu zake,ndo kasahau kuitoa"
Nkamwambia "kwaiyo iko wapi Hii laini" akasema "nishaitoa iko kwny kava la Simu, funua utaiona" nmefunua kweli nmeikuta. Ikabd kuiweka kwenye kisimu changu Cha tochi kuikagua.
Katk kuikagua, nikakuta haina sms yyt,ila Ina majina 9 yote yameseviwa majina ya ndugu na shoga zake wife. Nkahisi huyu ananidanganya, haiwezekani laini iwe ya kijana wa ng'ombe, afu phone book iwe na majina ya ndugu zake na shoga zake wife nnaowajua mimi. Ikabd kumfata kijana nmuulize.
basi kausha kakaAcha izo mkuu
😂😂😂 Sio Selemani kweli huyo? Anataka amshikishe bomba lilipakwa mafutaNmeangalia usajili wa laini, namba imesajiliwa jina la kiume la kiislamu, nataka nianze kumfatilia kumjua mtu huyu Ni Nani.

Pole kaka gugumia tu maumivu, Sema kaka nimegundua mke unampenda, nimekua nikukusisitiza sana ukae njia kuu ule matunda ya mti wako usile na mwingineDah! Wee acha tu
AMSAMEHE WIFE WENU HA HA HA HA HA!!!!Si ndo hiyo wanasemaga 'what goes around, comes around'. Msamehe tu my wife wetu.
Kwa hiyo wakati Bw. Pond anacheat huko na huko kama bata mara na mama Jay mara na fundi cherehani mara sijui na dada yake wazo la kubadili tarehe ya ndoa halijakujia ila kusikia mwanamke/mke wa guru la michepuko anahisiwa kuchiti ndo umehisi ndoa inatisha hadi upeleke mbele tarehe ya kuoa?
![]()

kwanza tulia kabisa wakati wa uchunguzi wako na usifanye hasira kabisa,usimchukie mkeo maana ataanza kujenga defensive mechanism,pia tambua mkeo ni binadamu sio malaika na upo uwezekano alichepuka,na hata ukigundua hilo msamehe,ila fanya uchunguzi kwa kuongea nae,kwanini anachepukaPunde nae wife kafika chumbani kapanic,analalamika Inamaana simuamini yeye MKE wa ndoa, namwamini kijana wa ng'ombe?
Nikamwambia "sio kwamba sikwamini, unachonambia hakiingii akilini. Kuanzia namna ulvonipigia Simu, Hadi kudai laini Ni ya kijana. Yaani laini ya kijana wa ng'ombe ikaseviwe majina ya ndugu zako na shoga zako, afu uyo uyo kijana asitambue hata jina Moja kwenye laini inayodaiwa Ni ya kwake. Hapa Kuna kitu kinafichwa."
Akasema,
"Hayo majina sijayakana,Ni yangu, Simu yangu ilkua mtu akipiga haileti majina kwenye kioo, ndo nikaamua kua nayasevu kila wakipiga" nkamuuliza "umeanza kuyasevu lini hayo majina?" Akasema "leo leo wote walkua wakinipigia Simu haileti majina".
Nkarejea kwenye Simu yake kubwa na kuangalia kwenye call records kuangalia majina yote 9 kwenye ile laini ya 900 Kama kweli namba zile 9 zote zilipiga. Nkakuta tangu mwezi wa 10 hamna hata Moja ilopiga,missedcall Wala kupokelewa kupitia Simu kubwa. Nkajua uyu mwanamke ananidanganya.
Nkamwambia wazi wazi
"wee mwanamke Ni mwongo, afu ujui unamdanganya mtu namna gani, humu kwny Simu yako hamna call yyt inayohusiana na hzo namba ulizosevu humu, vinginevyo useme uwa unatumia simu tofauti kuzipigia hizo namba zako. Na nataka niione hiyo Simu Sasa hivi" Akasema Hana Simu tofauti na hiyo.
Basi nikaona ananipotezea MDA,
Nmeondoka pale na kurud kuendelea na shughuli zangu. Lakini kichwan najua Kuna kitu hakiko sawa khs MKE wangu.
Hatua nilizochukua mpk sasa,
1. Nmeanza rasmi kuzifanyia uchunguzi namba Moja baada ya nyingine zilizoseviwa kwny Hii laini.
2. Nmeangalia usajili wa laini, namba imesajiliwa jina la kiume la kiislamu, nataka nianze kumfatilia kumjua mtu huyu Ni Nani.
3. Nmemuuliza mdg wake wa kike wife khs hizo laini (baadae asije geuza kibao Akasema laini za mdg wake), keshanambia haitambui laini Kama hiyo.
4. Kiukweli iman kwa MKE wangu imepungua mno, na kwa hili ntaanza kumchunguza kimya kimya Bila kupanic.
MWENYE MAWAZO,USHAURI AU MAONI TOFAUTI NAwaKARIBISHENI.
Nawasilisha![]()
Mke wako ni mwizi kichizi, ameiba hadi akajisahau na kujileta kwako mwenyewe kiwiziwizi dah...Punde nae wife kafika chumbani kapanic,analalamika Inamaana simuamini yeye MKE wa ndoa, namwamini kijana wa ng'ombe?