Nimebaini mke wangu ana laini mpya

Nimebaini mke wangu ana laini mpya

😂😂😂 Amnunulie box la condoms alafu ampe au sio?
ikibidi... vijana wa siku hizi ndoa zinatushinda kwasababu tunapenda sana kupitiliza na tunapenda kuchunguza chunguza....ujue mambo ya kuchapiana hayajaanza leo wala jana...

hata mababu zetu walikuwa wanachapiwa lakini walikuwa wanajua jinsi ya kuhandle situations.

haya huo muda wa kumchunguza si angeuwekeza kwenye miradi yake yenye tija ikamuongezea kipato...!

ninacho amini mimi za mwizi ni Arobaini ila asijipe kazi ya upelelezi asuburi za mwizi zitafika...hayo mambo hayaitaji haraka muda ni jibu la kila kitu...🙏

una mchunguza binaadam ambae kwa akili zake timamu aliamua muoane bila kumlazimisha...!​
 
Acha izo mkuu
Unagongewa km utani vile Mzee wangu alafu unapigwa fix kavu kavu mara hivi mara vile kumbe kuna mwamba anajikunjia tu km wa kwake vile na anamkunja haswa hadi kamchongea laini ambayo hauijui na anakudanganya sio ya kwake na wewe amekuchukulia km zuzu anakwambia sio yake ni ya Shamba Boi na Shamba Boi anasema sio yake kwa hio ni ya nani?

Emu bonyeza *150*01# jaribu kutuma Pesa uone usajiri hio Pesa unatuma kwenda kwa nani
 
Huyo muislamu aliyesajilia line ya mkeo ni mimi hapa. Huku mtaani wananiita ustadhi kuto'mba....wake za watu utawasikia wanikini address "anatombah huyoo, ana balaa huyoo....."
 
Punde nae wife kafika chumbani kapanic,analalamika Inamaana simuamini yeye MKE wa ndoa, namwamini kijana wa ng'ombe?

Nikamwambia "sio kwamba sikwamini, unachonambia hakiingii akilini. Kuanzia namna ulvonipigia Simu, Hadi kudai laini Ni ya kijana. Yaani laini ya kijana wa ng'ombe ikaseviwe majina ya ndugu zako na shoga zako, afu uyo uyo kijana asitambue hata jina Moja kwenye laini inayodaiwa Ni ya kwake. Hapa Kuna kitu kinafichwa."

Akasema,
"Hayo majina sijayakana,Ni yangu, Simu yangu ilkua mtu akipiga haileti majina kwenye kioo, ndo nikaamua kua nayasevu kila wakipiga" nkamuuliza "umeanza kuyasevu lini hayo majina?" Akasema "leo leo wote walkua wakinipigia Simu haileti majina".

Nkarejea kwenye Simu yake kubwa na kuangalia kwenye call records kuangalia majina yote 9 kwenye ile laini ya 900 Kama kweli namba zile 9 zote zilipiga. Nkakuta tangu mwezi wa 10 hamna hata Moja ilopiga,missedcall Wala kupokelewa kupitia Simu kubwa. Nkajua uyu mwanamke ananidanganya.

Nkamwambia wazi wazi
"wee mwanamke Ni mwongo, afu ujui unamdanganya mtu namna gani, humu kwny Simu yako hamna call yyt inayohusiana na hzo namba ulizosevu humu, vinginevyo useme uwa unatumia simu tofauti kuzipigia hizo namba zako. Na nataka niione hiyo Simu Sasa hivi" Akasema Hana Simu tofauti na hiyo.

Basi nikaona ananipotezea MDA,
Nmeondoka pale na kurud kuendelea na shughuli zangu. Lakini kichwan najua Kuna kitu hakiko sawa khs MKE wangu.

Hatua nilizochukua mpk sasa,
1. Nmeanza rasmi kuzifanyia uchunguzi namba Moja baada ya nyingine zilizoseviwa kwny Hii laini.

2. Nmeangalia usajili wa laini, namba imesajiliwa jina la kiume la kiislamu, nataka nianze kumfatilia kumjua mtu huyu Ni Nani.

3. Nmemuuliza mdg wake wa kike wife khs hizo laini (baadae asije geuza kibao Akasema laini za mdg wake), keshanambia haitambui laini Kama hiyo.

4. Kiukweli iman kwa MKE wangu imepungua mno, na kwa hili ntaanza kumchunguza kimya kimya Bila kupanic.

MWENYE MAWAZO,USHAURI AU MAONI TOFAUTI NAwaKARIBISHENI.

Nawasilisha
Mnununlie simu mpya ya android, tuna hack kisha unampa kama zawadi ya sikukuu. Hapo utajua kila kitu, ila unapaswa kuwa na kifua.
 
Back
Top Bottom