Ndokeji
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 698
- 475
Ni msosi wa nguvu mkuu.
Yaani unakula msosi mmoja hadi lisaa.
kama ni hivo basi wewe unatisha
Ni msosi wa nguvu mkuu.
Yaani unakula msosi mmoja hadi lisaa.
utakuwa na kishape cha ajabu mkuu.
maana ukientertain yale mambo mmh afya inadhoofu haswa.
kula mwaya.
jaribu uone utanambia.....usiache kuchanganya mboga tofauti tofauti ndo utaskia ladha nzuri ya chakula
Njaa unayo,
Meno unayo,
Chakula kipo,
Kula..............
una pepo nenda kaombewe
Msaada wa haraka.
Mwenzenu nimeathirika, yaani natamani kila siku nile. Nikipitisha siku moja kwangu naona kama mwaka. sasa ndo tusemeje, mi ni mgonjwa au?
Naombeni msaada wenu waungwana.
huchoki au hushibi???Nimeanza muda mrefu sana najitahidi kuvumilia lakini wapi. Tena wakati mwingine natamani nile hata mara 4 au 5 kwa siku...yaani sichoki.
yah...ni kawaida kila mtu kula chakula kila siku ili aweze kuishi.....sioni tatizo hapo......
tunakula ili tuishi.......
Msaada wa haraka.
Mwenzenu nimeathirika, yaani natamani kila siku nile. Nikipitisha siku moja kwangu naona kama mwaka. sasa ndo tusemeje, mi ni mgonjwa au?
Naombeni msaada wenu waungwana.