Je, nimeathirika kweli?

Bin Shaib

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,315
1,186
Habarini za kuuona mwaka 2024, siyo kwa akili zetu Bali ni Neema ya MUNGU tu. Hatuna budi kumshukuru MUNGU wetu.

Basi me nafungua na uzi huu wa Jambo ambalo limenipa mashaka huenda labda nimepata madhara kwa hili.

Nimiaka kadhaa imepita biblia inasema enzi za ujinga, nilikutana na binti mmoja ambae tilikuwa katika mahusiano nakumbuka nilikuwa kati ya miaka 19 ama 20. Basi siku tumeendeleaa hatimae ikafika wakati tukaelewana kuhusu tendo binti akasema tutumie kondom, Basi nami nikaandaa kama kawaida.

KIINI CHA MAADA
Basi akawa kaja geto kwangu nami nikawa nimeandaa condom basi tukaanza Romance mpaka pale ilipofikia nikavaa condom tikaendelea na mambo mengine, nakumbuka nilichelewa kuichomoa condom uume ukalegea na condom nikiwa bado nimeivaa.

TATIZO
Baada ya siku kadhaa niliona chini kidogo ya shina la uume kuna round iliyozunguka pale ilipoishia kondom, mpaka sasa naona kuna alama ya kubanwa iliyosababishwa na kile kimpira cha condom. Kama kuna dawa ya kupainua palipo banwa waungwana mniekeze palingane!

NB: Kipindi hicho nilikuwa sijaokoka bado, usije kuhukumu kwamba mwanadini na uasherati.

Je,hii hali itakuwa na madhara katika ufanyaji wangu wa tendo? Msaada wenye ujuzi na hili swala wakuu maana Nina hofu.

Ili kama kuna msaada nilitatue mapeema!!

Bwana awabariki
 
Bwana awabariki
emoji120.png
emoji120.png
emoji120.png
Umeshika sana dini Mkuu,pole sana kwa hilo ila sijaona shida hapo
 
Kama hamna dalili za kuivilia damu au weusi usio wa kawaida sidhani kama kuna tatizo , ila pia jichunguze vyema ukiona bado unapatwa na mashaka

Basi ni vyema uone wataalamu maana wao wanaweza kukupa jibu sahihi zaidi

Yote kwa yote, hongera kwa kumkabidhi Yesu maisha yako, hakika anaokoa na akuongoze uweze kuongoa na wengine
 
Kama hamna dalili za kuivilia damu au weusi usio wa kawaida sidhani kama kuna tatizo , ila pia jivhunguze vyema ukiona bado unapatwa na mashaka

Basi ni vyema uone wataalamu maaba wao wanaweza iukupa jibu sahihi zaidi

Yote kwa yote, hongera kwa kumkabidhi Yesu maisha yako, hakika anaokoa na akuongoze uweze kuongoa na wengine
Aminaaaa saaana mkuuu,,, MUNGU akuongoze pia akuzidishie hekima zaidi.
 
Back
Top Bottom