Amyner
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 2,397
- 877
Teh ila usiagize na maandazi teh
Hahahah maandazi sipendi hata!
Teh ila usiagize na maandazi teh
Nilienda kuchukua la kujihami(Panga) coz sina amani na huyu Bagah na Nitty ukizingatia washalewa...lolNitty kweli? Maana simuoni hapa mi nlikua nna maongezi na bagah narudi simuoni.. Mmh lakini i trust him..mpaka nishuhudie mwenyewe!
nakula boda boda, dakika 5 tu niko tandale uzuri.
Hahahah maandazi sipendi hata!
Nitty imeanza kunchafua eeh
Hapa utaambulia patupu...mapenzi yetu na Amy ni Next Level...sio km wewe na SL
B52 ndio kanywa zote hizi huoni alivyo kuwa amezungukwa na madada flan hivi
Nitty kweli? Maana simuoni hapa mi nlikua nna maongezi na bagah narudi simuoni.. Mmh lakini i trust him..mpaka nishuhudie mwenyewe!
Nitty...
Mambo vipiii..
AiseeeeeNi kweli Amyner B52 amebadilika siku hizi leo nimemkuta kwenye uzi mmoja anamendea mke wangu SL
wee...mtu yuko sisimizi bar anaweza kuntoa ofa mm kweli...sisimizi bia kama police mess...buku buku...nipisheee erick!
haya njoo niko karibu na maria stopes...any case ntakurash hapo...
Sio utata...ushalewaMwenzio tayari SL nimeshamuingiza ndani wakati wewe ndio kwaanza unamtegea Amyner kwenye kona, halafu hili jina linanipa utata kuliandika
Ndo wapi huko mama kumche?
Amy nini tena na huyo dogo???
Bagah Bagah Bagah tuheshimiane nasema patachaguka humu oooh
Ndo wapi huko mama kumche?
Usikuni mwema jamani,mimi nalala mapema
Ni kweli Amyner B52 amebadilika siku hizi leo nimemkuta kwenye uzi mmoja anamendea mke wangu SL
Usikuni mwema jamani,mimi nalala mapema