nimeanza weekend kwa MAMA KAMCHE...karibuni wana JF

leo sijui kama SL atanifungulia mlango kama vipi nitalala huku huku
 
afu mdudu sio mzuri kila siku
analeta kitambi ambacho utakosa mke
kitambi kinatokeza chini ya manyonyo afu sehemu za kitovu tumbo dogooo

afu mikono na miguu myembamba kama mpini wa jembe!

una mpango gani na mbavu zangu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom