nimeanza weekend kwa MAMA KAMCHE...karibuni wana JF

We umenigeuka aisee....ila poa tushayamaliza

Sijakugeuka b52 Amyer aliniletea mashtaka jinsi unavyomtenda na nimegundua ni kweli pale ulipokuwa unasumbuana na my wife SL. Yataisha lakini usijali
 
ericky,nitonye...gamba...amy...kaby...mmeenda wapi?mana naona ratio inakubali asee...!LOL...nimejikuta savanah...imebambaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom