nimeanza weekend kwa MAMA KAMCHE...karibuni wana JF

sema tu unataka kumwunganishia mtoto. ila kama ndo kaifadhiwa na kongosho na nitonye , itakuwa kazi!

Hahahaaa dogo ana kadi ya NMB na hata g100....yeye ni wa ndovu za kugongea kwa watu na kunywa banana na Nitty....hana vigezo hata kidogo
 
Usinivunjie heshima yangu kwa SL tafadhali

Sasa km akigoma kukufungulia utalala wapi? Nishaongea na Amy akuandalie chumba cha wageni...ila km una tabia za kupiga chabo tutakulaza nyumba ya uani kwa mlinzi.
 
Jamani bby wananitesa hawa Bagah na Nitonye....tena wananinyanyasa sana tangu mchana.
Nilikumisssssssss
Haya Nitty Sema sasa....huyoooooooo

Nimekuja darlin, nilivyokumiss.. Lakini naona vinywaji vimejaa mezani nani huyo anakunywa bia zote hizo eh?!
 
Nimekuja darlin, nilivyokumiss.. Lakini naona vinywaji vimejaa mezani nani huyo anakunywa bia zote hizo eh?!

Hahahahaaa huyu ni bwana mdogo anajiita Bagah....leo naona kapewa ofa na Nitty na Kongosho...
Teh anakunywa sana si unajua vya bure kwake ni faraja.....
 
anazifakamia kama nini
hajui bure aghali

Hahahahaaa huyu ni bwana mdogo anajiita Bagah....leo naona kapewa ofa na Nitty na Kongosho...
Teh anakunywa sana si unajua vya bure kwake ni faraja.....
 
Mualiko jamani, nasaka mualiko! Niko kwenye dozi ya ARV, so ni maji na coca tuuuuu! Natanguliza shukurani za dhati
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom