Nimeanza maisha mapya kama Vegan

Ndugu nimekulewa isivyo naomba uniondoe kwenye dillema umesema haujawahi kusex tangu uzaliwe au ?
Na hauoni kwamba una jinyima starehe kuliko kubwa ambayo Wanadamu tumezawadiwa ?
Naomba jibu.
 
Muundelezo wa watu duniani hauletwi kwa kuzaa hovyo.

Sitafuti u-Billionaire katika maisha yangu.
 
Duh hongera na jogoo anawika fresh au pangu pakavu tia mchuzi[emoji3]
Fresh kabisa,.. endapo ningelikuwa wa ku-practice basi kufikia leo ningelikuwa nime-commit na 28 different girls/women.

Does that sound smart? 🙃
 
Mara nyingi hali ya namna hii inanipelekea kutengeneza schedule muhimu ikiwa ni pamoja na siku nne katika wiki huwa na intensive workout kwa masaa 2 - mazoezi zaidi ya jeshi, siku tatu bakia hufanya hiking na ku-explore maeneo mapya.
Mkuu kwani upo nchi gani? Maana hii lifestyle yako hata niggas walio pale Kansas city Missouri hawafanyi hivi ... hayo mambo ya hiking na ku-explore.. mkoa gani?
Wewe ni caucasian??
 
Situmii bidhaa zinazotokana na wanyama, sivai viatu vilivyotengenezwa na ngozi and co.

Mimi ni moja ya watu wanaojitolea Parley for Oceans katika ubunifu wa mavazi kwa kutumia plastic baada recycle.
Ohooo hadi viatu vya ngozi??
 
Kuna kitu fulani tumefanana hapo, Before nilihisi ni psychological problem ila nimegundua kua ndio nilivyoumbwa.
Sijui kusudi la kuumbwa hivi ni nini bado natafuta nijue..
Mtu yeyote anayekwambia 'Dunia tunapita' kaa kwa umakini dhidi yake, muogope.
 
Bahati nzuri mie sinaga manyama uzembe...hayo malove handle mie sina...sema kakitambi kakuonesha katumbo kapo! Toka asbhbsijanywa coca..imebid niitafte nw akili itulie nataman kuacha sema sina substute...
Juice ya Lozera ya baridi huwa wanachangaya na vitu gani sijui ni nzuri,
Unaiweka kwenye chupa empty ya coca unafunika na kzibo kabisa , unakunywa kama coca na mishikaki yako huku umekunja nne
 
Ndugu nimekulewa isivyo naomba uniondoe kwenye dillema umesema haujawahi kusex tangu uzaliwe au ?
Na hauoni kwamba una jinyima starehe kuliko kubwa ambayo Wanadamu tumezawadiwa ?
Naomba jibu.
Sioni kabisa kama najinyima starehe! Starehe zina vary toka kwa muhusika. Kwangu nikitazama fútbol kwa 90+ minutes, kusikiliza muziki au kupika mwenyewe ni starehe kubwa sana.
 
Sinywi pombe,sigara wala chochote Cha calibre huyo,siyo mtu wa club,pia Kwenye Ngono sipo Niko kwenye tied relationship...nyama na kahawa ndio ugonjwa wangu siwezi kuacha nyama.kwakweli.. nyama ni starehe kwangu...ukute ni kambuzi kanusu kamechomwa vizuri ile well done +ndizi 2 ,kapilipili kidogo kwakweli nakula nusu kabisa nikishushia na sprite yangu au coke bariiiidi wee... Nikimaliza hapo nakunywa na Maji yaan asikwambie MTU...
 
Hebu nipe shule...yanii naogopa Hadi kufanya mazoezi cuz Kuna kipindi nlikua nafanya nikawa napungua tu😣 ikabd niache
 
Vegetables zinakubeba....mie nimeadd weight zaidi ya 20kgs...najiangalia tu nabak nasema nhiiii....wiki zima natumia public transport nasaga lami balaa nasweat balaa
Dooh pole...Mimi despite ya kula nyama and so forth. Ila vegs hata asbh naeza kula mafungu mawili nachemsha na kachumvi yanii hua kabisa na hamu inakuja ya vegs
 
Juice ya Lozera ya baridi huwa wanachangaya na vitu gani sijui ni nzuri,
Unaiweka kwenye chupa empty ya coca unafunika na kzibo kabisa , unakunywa kama coca na mishikaki yako huku umekunja nne
Jamani mie rozela siziwez .na sizipend ule ugwadu..arghhh
 
Mkuu kwani upo nchi gani? Maana hii lifestyle yako hata niggas walio pale Kansas city Missouri hawafanyi hivi ... hayo mambo ya hiking na ku-explore.. mkoa gani?
Wewe ni caucasian??
Mie afro-mkushi 'Cushite' mkuu na hike Kagera huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…