muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,923
- 14,912
hutoshiriki mapenzi? ina maana hutooa/kuolewa?Habari ๐๐พ
Siku ya leo nikiwa natimiza miaka kadhaa nimekuwa VEGAN rasmi. Hatua hii nimekwisha ianza muda toka 28 January, hivi sasa naendeleza nadhiri hii rasmi katika mfumo wa maisha yangu.
Nimekuwa nikijiuliza utajiita vipi mwenye upendo, heshima au mtu unayejali hisia na kuheshimu wengine ikiwa umeshindwa kuheshimu uwepo wa viumbe wengine kama wanyama, ndege na wengineo?
Kwa kujali na kuona umuhimu wa kila kiumbe nimekuwa nikivijali viumbe vyote mfano, huwatengea waramba sukari kiasi chao pasi ya kuwapatia bugdha, uhifadhi mayai ya kuku na kutotoa wengine kuendeleza uzao wao, hutembea na wanyama mbalimbali katika maeneo kadhaa waweze kijihisi umiliki nk.
Leo nimepanda miti 28 maeneo yayonizunguka na miti 21 maeneo ya umma katika shule 2, hospitali, eneo la jeshi, kituo cha wasiojiweza na watoto waishio mazingira hatarishi na katika ofisi za wilaya.
Nikiwa kama kijana anayezingatia maisha halisi leo ni wazi sitotumia tena bidhaa zinazotokana na wanyama na viumbe mbalimbali. Hili linaambatana na masuala kadhaa katika mfumo wangu wa maisha ninaoendelea kuufuata ikiwa ni pamoja na;-
Najihisi mwenye furaha na amani, najiona mshindi. ๐
- Sishiriki mapenzi (Sex)
- Situmii vinywaji kemikali (Processed Drink's)
- Situmii bidhaa zenye sukari ongezwa (Candy's)
- Situmii bidhaa zinafanywa majaribio kwa wanyama
- Nimejiweka mbali na uovu na negativity ya aina yoyote
- Sifungamani na upande wowote
Sergio
Kwani na samaki amesema hatakula kumbe??Vegan Wana tatizo la kisaikolojia.
"Yesu aliwalisha wafuasi 5000 kwa mkate na "SAMAKI"
Self imprisonment
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Hauna kitambi mkuu? Mara nyingi wanaokunywa sana soda wanatengeneza vitambi vya ajabu, manyama ya tumbo yale kushoto na kulia (love handle).Nimejitahid wee wapi zamn nilikua nakunywa had 3. Since corona ije nakunywa 1. Coca ya baridi ni kitu kingine jamani.
Yaani nimesoma mishikaki tayari nimeshaitamani hiyo mishikaki yako[emoji3]Nakutamania, maisha mazuri hayo ila usijinyime sana ukatenda dhambi..mie nisipokula nyama 3dys roho hua inataka kutoka!
Soda nisipokunywa Coca sifanyi kitu nakua zoba.
Hapa niko sehem nasubiria mishikaki kwanza.
All the best
Bahati nzuri mie sinaga manyama uzembe...hayo malove handle mie sina...sema kakitambi kakuonesha katumbo kapo! Toka asbhbsijanywa coca..imebid niitafte nw akili itulie nataman kuacha sema sina substute...Hauna kitambi mkuu? Mara nyingi wanaokunywa sana soda wanatengeneza vitambi vya ajabu, manyama ya tumbo yale kushoto na kulia (love handle).
Mishikaki haina tatizo !
Ila soda acha kabisa Mkuu....kiwango cha sukari unachokiongeza sio vizuri, usiendekeze inawezekana, jali afya yako kama unavyojali kutafuta pesa ๐
Duh hongera na jogoo anawika fresh au pangu pakavu tia mchuzi[emoji3]Ikiwa sijawahi kufeli, siamini katika kitu kufeli na katu sitokuja kufeli. Huu ni mwaka wa 21 bila sex ije kushindwa miaka kadhaa bakia?
Hahhahahaa....! Muone..mishikaki jaman ni habar nyingine..nachomaga wknd uwiii naiwekea spices inakua laini..napika na ugali .hiyo huwa saa4 tu asbh....unashushia na wine..ah acha kbsYaani nimesoma mishikaki tayari nimeshaitamani hiyo mishikaki yako[emoji3]
Kwa upande wangu sifahamu madhara ya kuku wa kuchoma,Hutaacha! Utakuwa unasogeza siku tu za kuanza rasmi, mpaka siku ya mwisho.
Mimi kuku wa kuchoma nimegundua sitaweza Acha kula hata vipi.
Mimi jamani soda kuongezea uzito mbona Sioni maana am constant kwenye uzito na mnywaji wa soda almost 3-5 per week but uzito wangu uko constant nikiongezeka labda ni ยฝkg tena after months but for four better years uzito wangu unarange tu vizuri na chips nakula sana tu...Kwa upande wangu sifahamu madhara ya kuku wa kuchoma,
Ila soda na juwa inachangia kupngeza uzito wa mwili sana , pamoja na sukari.
Naomba utupe experience kuna madhara yoyote unayapata ukila kuku wa kuchoma?
Mate yamenijaa dada...na hii mvua ya Dar mishkaki na ugali wa motoooo na kikachumbari chakoHahhahahaa....! Muone..mishikaki jaman ni habar nyingine..nachomaga wknd uwiii naiwekea spices inakua laini..napika na ugali .hiyo huwa saa4 tu asbh....unashushia na wine..ah acha kbs
Hapo kwenye sukari ya kiwandani- unaweza kutumia ASALI...Hongera,
Kuna vitu nataka niachane navyo kabisa ila kwa wakati fulani natumia japo kwa kiasi sana kutokana na mazingira
[emoji736]Soda naweza kumaliza hata miezi sita sijanywa,nakunywa napolazimika tu
[emoji736]Nina miaka mingi situmii majani ya chai/kahawa
[emoji736]Nataka niachane kabisa na sukari ya kiwandani ila sijapata mbadala kwa hio natumia japo kwa kiwango kidogo sana
[emoji736]Natamani niache kunywa dawa za viwandani nitumie herbs tu japo bado nakumbana na vikwazo fulani.
Hili la kuachana kabisa na sukari kama kuna mtu kafanikiwa atuambie amewezaje?
๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ acha tu mkuu๐Mate yamenijaa dada...na hii mvua ya Dar mishkaki na ugali wa motoooo na kikachumbari chako
Nipo vizuri kwa Afya ya akiliMara ya mwisho ni lini umecheki maleria!!?
sioni afya ya akili hapa
Protein naweza kuipata katika grains ๐Ukiwa vegan utakosa virutubisho vingi kutoka kwa wanyama kama protein na mafuta ya wanyama
Hakikahutoshiriki mapenzi? ina maana hutooa/kuolewa?
Mkuu huwa unakula vyakula vya wanga kwa wingi , kama ugali, wali, mikate n.k?Mimi jamani soda kuongezea uzito mbona Sioni maana am constant kwenye uzito na mnywaji wa soda almost 3-5 per week but uzito wangu uko constant nikiongezeka labda ni ยฝkg tena after months but for four better years uzito wangu unarange tu vizuri na chips nakula sana tu...
Labda kwasababu ni mpenzi mno wa vegetables
Vegetables zinakubeba....mie nimeadd weight zaidi ya 20kgs...najiangalia tu nabak nasema nhiiii....wiki zima natumia public transport nasaga lami balaa nasweat balaaMimi jamani soda kuongezea uzito mbona Sioni maana am constant kwenye uzito na mnywaji wa soda almost 3-5 per week but uzito wangu uko constant nikiongezeka labda ni ยฝkg tena after months but for four better years uzito wangu unarange tu vizuri na chips nakula sana tu...
Labda kwasababu ni mpenzi mno wa vegetables