Nimeanza maisha mapya kama Vegan

Asante

Najibu maswali yako kama ifuatavyo;- | Nipo stable kuanzia asubuhi na pale inapobidi au kutokea ni moja ya watu wachache sana waliokuwa active hakika. Kuhusu kutamani naweza kusema ndiyo!

Mara nyingi hali ya namna hii inanipelekea kutengeneza schedule muhimu ikiwa ni pamoja na siku nne katika wiki huwa na intensive workout kwa masaa 2 - mazoezi zaidi ya jeshi, siku tatu bakia hufanya hiking na ku-explore maeneo mapya.

Sijawahi kushiriki sex, nimeacha mapenzi ya aina yoyote ile. | Maana ya maisha kwangu ni kuiongoza dunia as intended, kuifikisha mahala salama na kufanya mambo mapya. Furaha kwangu ni sanaa na ubunifu na ndio chimbuko la kitu katika maisha yetu.

Naweza kujibu hivi kwa sasa 😉
 
Majibu mazuri sana, Kila la heri rafiki.
 
Mkuu unaniconvince Sana na hii life style, Naomba nije pm unipe procedure ntawezaje hii kitu.. do'z and Don'tz
 
Ikiwa sijawahi kufeli, siamini katika kitu kufeli na katu sitokuja kufeli. Huu ni mwaka wa 21 bila sex ije kushindwa miaka kadhaa bakia?

Mkuu, Unadinda au umekata makende?
Unawezaje? Huoti ndoto za kupunguza ujazo kweli? Na kama unaota unazitafsiri vipi?
 
Sijaoa na sitegemei kuoa. Dunia yote hii inanitegemea.

Unatafsiri vipi kuzaliwa kwako? Yaani una link vipi kuzaliwa kwako na kuona labda na wewe unahitajika uzae ili kuendelea huo uhai kwenye dunia, maana sisi na mimea tunategemeana what if kila mmoja aseme asizae yaani tufate hiyo " right path of yours" ?
 
Mara ya mwisho ni lini umecheki maleria!!?
sioni afya ya akili hapa
 
Ukiwa vegan utakosa virutubisho vingi kutoka kwa wanyama kama protein na mafuta ya wanyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…