Nimeanza kuichukia CCM rasmi baada ya Serikali kuanza kuwatia ndani ndugu zangu kisa hawana pesa ya kuchangia ujenzi wa shule

Serikali Haijaagiza Hayo Hao Viongozi Wanakwenda Kuichonganisha Serikali Yetu Na Wananchi
Kauli kama hizi ndizo ambazo wajinga wanazipenda!!na eti wanaziamini, jana kwenye uzinduzi wa safari za ndege chato nilimuona mama fulani anamshukuru mheshimiwa kuwa amewasaidia sana kwani sasa watakuwa na uwezo wa kuja asubuhi dar kuleta samaki fresh, halafu jioni wanarudi chato!!sasa kwa akili hizi kuna nini hapo?!!mtaji wa kuleta sato hao labda ndio nauli ya ndege kwenda tu!!cha kushukuru.mungu ni kuongoza watu ambao asilimia 80, hawajielewi
 
Ni dhahiri kuwa maandamano yajayo ya nchi nzima hayatahitaji hamasa ya Tundu Lissu tena.

Watu watajikuta wanalazimika wenyewe kuingia barabarani!
Kabisa,ni ile unajikuta tu umependa mwenyewe bila kuambiwa
 
Kila mmoja kwa wakati wake na kwa nafasi yake ulimi wake utakiri kwamba CCM ipo kwa ajili ya kuchinja na kuharibu.
 
Nimekerwa sana na watendaji wa Serikali huko Shinyanga hususani wilaya ya Kishapu kuanzisha michango mikubwa, ndani ya wiki mbili mkulima analazimishwa kutoa elfu 70.

Mheshimiwa Rais hivi ni kweli hii ni agizo lako? Maana wanasema ni maagizo kutoka juu.

Kama ndivyo ilivyo,Mimi kuanzia Leo nimeanza kuichukia CCM na wewe mwenyewe maana wazee wetu wanapelekwa lock up kisa wameshindwa kulipa hiyo pesa.

Na kweli kama ndivyo ilivyo,naanza kumkumbuka mbeligiji popote pale alipo,na kuanzia Leo nmeanza kuona thamani ya vyama vya upinzani.

Basi nafkr ni mda mwafaka wa kutimia lile neno yakwamba "WATALIMIA MENO"
Umeanza tu utaichukia kabisa.
 
Kwani waliokuwa walengwa hasa wa kusoma namba mlifikiri ni akina nani..............!

Kila mmoja lazima aisome kwa nafasi yake na kwa wakati, hii ni awamu yenu lakini wengine toka imeanza ni wahanga wa kila awamu. Acha tupate akili na tujifunze kama watu wa kujifunza.
 
Kawia UFIKE karibu sana kitaa.

Nimekerwa sana na watendaji wa Serikali huko Shinyanga hususani wilaya ya Kishapu kuanzisha michango mikubwa, ndani ya wiki mbili mkulima analazimishwa kutoa elfu 70.

Mheshimiwa Rais hivi ni kweli hii ni agizo lako? Maana wanasema ni maagizo kutoka juu.

Kama ndivyo ilivyo,Mimi kuanzia Leo nimeanza kuichukia CCM na wewe mwenyewe maana wazee wetu wanapelekwa lock up kisa wameshindwa kulipa hiyo pesa.

Na kweli kama ndivyo ilivyo,naanza kumkumbuka mbeligiji popote pale alipo,na kuanzia Leo nmeanza kuona thamani ya vyama vya upinzani.

Basi nafkr ni mda mwafaka wa kutimia lile neno yakwamba "WATALIMIA MENO"
 
Serikali Haijaagiza Hayo Hao Viongozi Wanakwenda Kuichonganisha Serikali Yetu Na Wananchi
Serikali inaanzia na watendaji kata. Wametupiwa zigo la kukutana na wananchi uso kwa uso. Waliokuwa wakisimama majukwaani na kutoa ahadi hewa wako maofisini kwenye viyoyozi.
 
Mliichagua wenyewe ta ta ta
Mliipenda wenyewe ta ta ta
Wacha waisome namba eee
Ccm mbele kwa mbelee × 2
 
Nimekerwa sana na watendaji wa Serikali huko Shinyanga hususani wilaya ya Kishapu kuanzisha michango mikubwa, ndani ya wiki mbili mkulima analazimishwa kutoa elfu 70.

Mheshimiwa Rais hivi ni kweli hii ni agizo lako? Maana wanasema ni maagizo kutoka juu.

Kama ndivyo ilivyo,Mimi kuanzia Leo nimeanza kuichukia CCM na wewe mwenyewe maana wazee wetu wanapelekwa lock up kisa wameshindwa kulipa hiyo pesa.

Na kweli kama ndivyo ilivyo,naanza kumkumbuka mbeligiji popote pale alipo,na kuanzia Leo nmeanza kuona thamani ya vyama vya upinzani.

Basi nafkr ni mda mwafaka wa kutimia lile neno yakwamba "WATALIMIA MENO"
Madarasa yakikmilika, aifa ziende kwa malaika mkuu.
 
Mlikuwa mnamwita kila majina Mh. Tundu Lissu sasa wacha mkione cha moto! Mimi nasema MISABA TENA
 
Nimekerwa sana na watendaji wa Serikali huko Shinyanga hususani wilaya ya Kishapu kuanzisha michango mikubwa, ndani ya wiki mbili mkulima analazimishwa kutoa elfu 70.

Mheshimiwa Rais hivi ni kweli hii ni agizo lako? Maana wanasema ni maagizo kutoka juu.

Kama ndivyo ilivyo, Mimi kuanzia Leo nimeanza kuichukia CCM na wewe mwenyewe maana wazee wetu wanapelekwa lock up kisa wameshindwa kulipa hiyo pesa.

Na kweli kama ndivyo ilivyo, naanza kumkumbuka Mbeligiji popote pale alipo na kuanzia Leo nimeanza kuona thamani ya Vyama vya Upinzani.

Basi nafkr ni mda mwafaka wa kutimia lile neno yakwamba "WATALIMIA MENO"
Uichukie mara mbili? Wewe tangu uzaliwe hujawahi kuipenda
 
Back
Top Bottom