Halafu yale ya asubuhiYaan nimeyakanyaga makubwa
Hebu tuonyeshe meseji za juu pia, mbona kama tayari ulishamuomba mbususu japo ndiyo mmekutana tu 😅😅😂
Yaan mkuu acha tu hawa watu wa ajabu kinoma mpaka nimeshangaa huyu mboni km anauza ila anasema hauzi mara yeye sio malaya ila mienendo yake ikafanya taa nyekundu iwake haraka sanaMpo busy na kupe, mtakufa masikini wallah. Wanawake wa sasa tumia akili sana kwenda nao sawa, bahati mbaya tunakitaka kipapa, wamesema hawauzi ila hawatoi bure...noma sana!!
Hakuna yeye ndio kakomalia bando anataka bando nikamwambia tulia yeye kashika bango anataka bando ndio tuchat taa nyekundu ikawaka huyu ndio walewale ila hataka ku-disclose the fact kua ni muuzaji mzuri tuHebu tuonyeshe meseji za juu pia, mbona kama tayari ulishamuomba mbususu japo ndiyo mmekutana tu 😅😅😂
Usitoe pesa yako kizembe mkuu, hawa ni kupe..watakunyonyq damu hadi ufe. Isho nao kwa akili sana, huwa hawaishiwi matatizo.Yaan mkuu acha tu hawa watu wa ajabu kinoma mpaka nimeshangaa huyu mboni km anauza ila anasema hauzi mara yeye sio malaya ila mienendo yake ikafanya taa nyekundu iwake haraka sana
Mkuu nimekuelewa sana ndio maana nikashtuka mapema sana lasivyo ningekua nishatuma na ya kutolea haraka sana kumbe naingizwa kingUsitoe pesa yako kizembe mkuu, hawa ni kupe..watakunyonyq damu hadi ufe. Isho nao kwa akili sana, huwa hawaishiwi matatizo.
Sasa na wewe umeandika katagute 😭Ndio katagute umeona na wewe?