nimeamua niweke picha ya uume wangu

nimeamua niweke picha ya uume wangu

Kaka pole sana kwa yaliyokukuta, Unakumbushwa tu hukufanya kitu sahihi.

Kwa kweli tuna janga kwenye ndoa, Watu tunaamini kuwa hatuwezi kuvumilia kwa kiasi kifupi namna hiyo? ANY WAY AS THE MAN THIKETH, SO HE IS. ukifikiri huwezi kuvumilia kwa siku moja, nayo itakuwa kwako hivyo. ukifikiri na kuamnini una full control ya mwili wako, nawe utakuwa hivyo hivyo.

Chochote mtu anachokifanya kinategemea na kitu anachoamini, kitu anavyoamini kinategemea na kitu anachojua, kama unataka kubadili matendo yako, anza kwanza kufungua akili yako kujifunza vitu vipya, navyo vitabadili namna unayoamini, hatimaye itabadili matendo yako na utazidi kuwa bora kila wakati.

Achana na mawazo ya kipuuzi kuwa mtu hawezi kuvumilia, mtu hawezi kukaa na mke wake pekee bila kuiba, etc etc, you dont need to be like every body else, you are created unique and so live your uniqueness.

Tafadhani muone dkta mapema. and stop believing you cant. feed yourself with right infomations and be critical of your lusts. ''we are who we are from the choices we make in life, if we dont like ourselves, we need to change our choices and actions''
best kwanza kabisa,nirudishie lile smile na miwani yake na shati la njano!
mi mpk nimepata kazi ya kusoma ID bana wakati mabest zangu nawajua kwa avatar tu!
pili,hiv unaamini kuna mume wa mtu hapa!
ah mtu tu na baleghe mshindo zake anatuharibia swaumu zetu tu hapa!
 
appoh si juzi ulisema mdogo mtu kaja anataka kuishi nanyi, ndio huyo aliekupa matatizo?

ila na siku moja ulisema umetamani msichana kwa kumuona coco beach, sasa kwa nini uliamua kuishi na girlfriend wako wakati bado haujatulia? ulisema na vitu vya ndani ndio ulianza kununua, kazi nayo umepata juzi hata miezi sita I guess hauna.

sasa wewe mwanaume unataka nini duniani? acha tamaa mrudishe binti kwao, wewe rudi kwa wazazi bado haujala raha ya maisha.
anatuzingua tu huyu umesahahu juzi alikuja na thread ya kupiga demu sijui demu(silipendagi hil neno)
mabao sita mtaa mzima hawaamini!
ah!
 
Heeee! kumbe uliniona eehh! nilijua sionekani best, Ayaa bhana.

Pili, vyovyote alivyo, Bado naamini na najua kila mtu ana control juu ya mwili wake labda kuwe na extenal forces. Kuteleza kama binadamu kupo lakini ya jamaa sio kuteleza ni kujiangusha kwenye kiboksi cha 18 kwa makusudi.

best kwanza kabisa,nirudishie lile smile na miwani yake na shati la njano!
mi mpk nimepata kazi ya kusoma ID bana wakati mabest zangu nawajua kwa avatar tu!
pili,hiv unaamini kuna mume wa mtu hapa!
ah mtu tu na baleghe mshindo zake anatuharibia swaumu zetu tu hapa!
 
Heeee! kumbe uliniona eehh! nilijua sionekani best, Ayaa bhana.

Pili, vyovyote alivyo, Bado naamini na najua kila mtu ana control juu ya mwili wake labda kuwe na extenal forces. Kuteleza kama binadamu kupo lakini ya jamaa sio kuteleza ni kujiangusha kwenye kiboksi cha 18 kwa makusudi.
asanteeee best lol!
ah huyu jamaa ana mamzo zake anazijua mwenywe!
 
Ndio uanaume dogo, kalichukue na lingine tena... ili nikushauri vizuri zaidi
 
6--Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe.

7--Akainama tena, akaandika kwa kidole chake katika nchi.

8--Nao waliposikia, wakashitakiwa na dhamiri zao, wakatoka mmoja mmoja, wakianzia tangu wazee hata wa mwisho wao; akabaki Yesu peke yake, na yule mwanamke amesimama katikati.

9--Yesu akajiinua asimwone mtu ila yule mwanamke, akamwambia, Mwanamke, wako wapi wale washitaki wako? Je! Hakuna aliyekuhukumu kuwa na hatia?

10--Akamwambia, Hakuna, Bwana. Yesu akamwambia, Wala mimi sikuhukumu. Enenda zako; wala usitende dhambi tena.]
 
Pole sana,wahi hospital ukachek afya yako ujajua ni ugonjwa gani, hapa jf sanasana utaambulia matusi.Kua mwangalifu magonjwa ni mengi.
 
haya yote mweeleze mkeo ,ana majibu kuhusu shida yako.
 
nimekoma na umalaya nimeamin wale walio ndani ya ndoa wanaoongoza kwa maambukizi
 
kwiiii kwiii kwiii komaaaaa tena ukomeee k nyingine zinaviwembe ungepata hizo ili mkeo aikute kipande ndio ungekoma bila kuambiwa. hizo nyege gani jamani utafikiri mdundiko au baikoko ww utakua muongo huyo changu ulikua nae siku nyingi ulikua unamlia timming tu kuona wife hayupo huyooo kama kuku ukakurupuka!!!!!!!! haya sasa haibu hiyoo wahi hospitali kabla hajaja sh......nz weeee
 
Kwa uzi huu nimejifunza! Usiwaambie watu tatizo lako, kwa kuwa Asilimia 50 watakukatisha tamaa, Asilimia 30 wana matatizo makubwa zaidi yako, Asilimia 20 watakutukana, ila wakati huohuo wakikupa ushauri.
Pamoja na kutoa matusi (yenye lengo la kuonya) huo ndio msaada, na ndio hasa faida za jf.
 
Tuwekee kwanza hiyo picha ili nijue ni kwa kiasi gani umepata madhara, nahitaji kukupa ushauri wa kitabibu! ila baada ya kuuona huo uume wako.
 
pole dugu cha msingi we wahi tu kwa wataalamu upate tiba haya mengine ni mbembe tu, na chukulia kama bahati mbaya imetokea," ALIYE MSAFI SANA ASEME HAPA,":yo:
 
6--Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe.

7--Akainama tena, akaandika kwa kidole chake katika nchi.

8--Nao waliposikia, wakashitakiwa na dhamiri zao, wakatoka mmoja mmoja, wakianzia tangu wazee hata wa mwisho wao; akabaki Yesu peke yake, na yule mwanamke amesimama katikati.

9--Yesu akajiinua asimwone mtu ila yule mwanamke, akamwambia, Mwanamke, wako wapi wale washitaki wako? Je! Hakuna aliyekuhukumu kuwa na hatia?

10--Akamwambia, Hakuna, Bwana. Yesu akamwambia, Wala mimi sikuhukumu. Enenda zako; wala usitende dhambi tena.]

hii quote ni ya bibilia takatifu, tupe maoni na ushauri wako wewe kama wewe mkuu,
 
Back
Top Bottom