Kaka pole sana kwa yaliyokukuta, Unakumbushwa tu hukufanya kitu sahihi.
Kwa kweli tuna janga kwenye ndoa, Watu tunaamini kuwa hatuwezi kuvumilia kwa kiasi kifupi namna hiyo? ANY WAY AS THE MAN THIKETH, SO HE IS. ukifikiri huwezi kuvumilia kwa siku moja, nayo itakuwa kwako hivyo. ukifikiri na kuamnini una full control ya mwili wako, nawe utakuwa hivyo hivyo.
Chochote mtu anachokifanya kinategemea na kitu anachoamini, kitu anavyoamini kinategemea na kitu anachojua, kama unataka kubadili matendo yako, anza kwanza kufungua akili yako kujifunza vitu vipya, navyo vitabadili namna unayoamini, hatimaye itabadili matendo yako na utazidi kuwa bora kila wakati.
Achana na mawazo ya kipuuzi kuwa mtu hawezi kuvumilia, mtu hawezi kukaa na mke wake pekee bila kuiba, etc etc, you dont need to be like every body else, you are created unique and so live your uniqueness.
Tafadhani muone dkta mapema. and stop believing you cant. feed yourself with right infomations and be critical of your lusts. ''we are who we are from the choices we make in life, if we dont like ourselves, we need to change our choices and actions''