nimeamua niweke picha ya uume wangu

nimeamua niweke picha ya uume wangu

habari wana jf mimi ni kijana mwenye famili ya mke na watoto 2 mke hiv karibuni kama mwezi na nusu amesafiri kama unavyojua kwetu sisi wanaume kuvumilia kale kamchezo katupite ni vigumu basi ikabidi ningie uraiani kusaka nyama baada ya muda naona kuna vipele kwenye uume wangu it seem like vinaongeza everyday oooh am real scare na najuta kucheat hivyo ndio maana nikaamua niweke picha ya uume wangu hapa jf ili muweze kupata picha a hk ninachowaeleeza msaada hu ni ugojwa gani

Mzee umepiga peku kudadadeki balaaa..............................!:nono::frusty:
 
Pamoja na mafundisho yote ya redio, tv na mihadhara bado unatoka nje ya ndoa na unakwenda pekua?
 
mmmh! Kuwen serious na matamko yenu jaman, ulisema utaweka picha ya mtalimbo lkn mpaka sasa hamna kitu. Kuwa mwelewa kaka na acha utoto utoto wako hapo.
 
haaaa we basi tena. kwasasa pole sana dah! ungejua basi tena majuto ni mjukuu.:shetani::shetani:
jitahidi umlinde mwenzako tu kwa sasa
 
Wazinzi utawajua tu sema wanatofautiana kwenye condom wale wanaoingia nazo na kuzifanyia kazi na wale wanaoingia nazo kama De mba ;polen
 
mmmh! Kuwen serious na matamko yenu jaman, ulisema utaweka picha ya mtalimbo lkn mpaka sasa hamna kitu. Kuwa mwelewa kaka na acha utoto utoto wako hapo.
nimesema niweke picha yangu hapa ili mpate picha ya ninachokieleza i was mean ni describe kwa maelezo guy ume ni nukuu vibaya
 
Picha tumeipata hilo ni Kaswende, litaibabua hiyo kitu na ngozi kuvuka km cond***, halafu angalia huwa inapanda kichwani baada ya kushambulia lips za midomo
Dawa yake ni Gentermicine ya Mbwa wasiliana na Dokta wa mifugo huyo uliyekutana naye huenda alilipwa na wazungu
 
..kaikate tu mwana,itaota nyingine umri wako bado unaruhusu...teh tehh..!
 
habari wana jf mimi ni kijana mwenye famili ya mke na watoto 2 mke hiv karibuni kama mwezi na nusu amesafiri kama unavyojua kwetu sisi wanaume kuvumilia kale kamchezo katupite ni vigumu basi ikabidi ningie uraiani kusaka nyama baada ya muda naona kuna vipele kwenye uume wangu it seem like vinaongeza everyday oooh am real scare na najuta kucheat hivyo ndio maana nikaamua niweke picha ya uume wangu hapa jf ili muweze kupata picha a hk ninachowaeleeza msaada hu ni ugojwa gani
Ndugu appoh hiyo kitu haiko kama hivi Herpes Zoster.jpg ?
 
Last edited by a moderator:
habari wana jf mimi ni kijana mwenye famili ya mke na watoto 2 mke hiv karibuni kama mwezi na nusu amesafiri kama unavyojua kwetu sisi wanaume kuvumilia kale kamchezo katupite ni vigumu basi ikabidi ningie uraiani kusaka nyama baada ya muda naona kuna vipele kwenye uume wangu it seem like vinaongeza everyday oooh am real scare na najuta kucheat hivyo ndio maana nikaamua niweke picha ya uume wangu hapa jf ili muweze kupata picha a hk ninachowaeleeza msaada hu ni ugojwa gani

Yamekukuta eeeehheeeehhh!!! Ukome kuzini zini hovyo. Hii iwe fundisho kwa wakware wenye tabia chafu za kuzinizini hovyohovyo wakati wameshafunga ndoa.
 
habari wana jf mimi ni kijana mwenye famili ya mke na watoto 2 mke hiv karibuni kama mwezi na nusu amesafiri kama unavyojua kwetu sisi wanaume kuvumilia kale kamchezo katupite ni vigumu basi ikabidi ningie uraiani kusaka nyama baada ya muda naona kuna vipele kwenye uume wangu it seem like vinaongeza everyday oooh am real scare na najuta kucheat hivyo ndio maana nikaamua niweke picha ya uume wangu hapa jf ili muweze kupata picha a hk ninachowaeleeza msaada hu ni ugojwa gani

Ndugu yangu hayo maradhi yanaitwa kwa kitaalam "herpes zoster" au mkanda wa jeshi,husababishwa na kinga ya mwili kushuka na dalili zake ni vipere vinavyotoa maji au wakati mwengine kama malengelenge ambayo huwepo mfano wa kuzunguka hivi katika ngozi yako,ushauri nenda kituo chochote cha afya utapata matibabu
 
Pole mpiganaji uliyofanya ni makosa madogo tu ya kiutendaji, hukutakiwa kwenda vitani bila zana! Ona sasa hata siafu wamekung'ata.

Rudi nyuma jipange kwa kutafuta tiba kabla ya waifu hajarudi ili akirudi usijemuambukiza maana na yeye akirudi toka huko atakuwa na kinenge balaaa.
 
habari wana jf mimi ni kijana mwenye famili ya mke na watoto 2 mke hiv karibuni kama mwezi na nusu amesafiri kama unavyojua kwetu sisi wanaume kuvumilia kale kamchezo katupite ni vigumu basi ikabidi ningie uraiani kusaka nyama baada ya muda naona kuna vipele kwenye uume wangu it seem like vinaongeza everyday oooh am real scare na najuta kucheat hivyo ndio maana nikaamua niweke picha ya uume wangu hapa jf ili muweze kupata picha a hk ninachowaeleeza msaada hu ni ugojwa gani
Sina tatizo na hiyo tabia yako! Unachonikera ni kutumia lugha ya watu na kuiharibu
 
katafuta nyama kala kavu kavu????mweee nyie wanaume mkojeeeee??jamani mnatuletea magonjwa hivi hivi.manina zako wewe appoh

huyu kweli zombi,,,, kala kavu kavu,,,, na ngoma ukapime....pole yako...
 
Back
Top Bottom