nimeamua niweke picha ya uume wangu

nimeamua niweke picha ya uume wangu

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,909
Reaction score
3,221
habari wana jf mimi ni kijana mwenye famili ya mke na watoto 2 mke hiv karibuni kama mwezi na nusu amesafiri kama unavyojua kwetu sisi wanaume kuvumilia kale kamchezo katupite ni vigumu basi ikabidi ningie uraiani kusaka nyama baada ya muda naona kuna vipele kwenye uume wangu it seem like vinaongeza everyday oooh am real scare na najuta kucheat hivyo ndio maana nikaamua niweke picha ya uume wangu hapa jf ili muweze kupata picha a hk ninachowaeleeza msaada hu ni ugojwa gani
 
jamii01 ujumbe ni kuwa amesaliti ndoa yake na anajuta inawezekana amepata gonjwa linaloletwa na ngono zembe huko alikoenda sasa anaomba msaada ajue ni ugonjwa gani huo
 
Last edited by a moderator:
Ungekuja tukushauri Kabla hujaenda Huko.kwa Hayo nenda kwa watabibu, sikuingine uwe mwangalifu
 
appoh appoh appoh is that food that if you not get it within wo weeks you die?is that air that if you dont do it you suffocate?umenishangaza sana aisee wiki mbili ni za kukufanya wewe umsaliti mkeo?inaonesha basi ulipokuwa single bado ulikuwa mbaya kuliko kama umeshindwa kuvumila wiki mbili tu ambazo mkeo kasafiri!!!!!!!!!!!!naomba niwe muwazi kwako kiukweli sikuonei huruma wewe kwani umeununua ugonjwa kwa ajili ya tamaa za mwili wako yaani kwa ufupi unaongozwa na mwili na si kwamba wewe unauongoza mwili wako,naomba usiongeze uzito zaidi wa kosa kwa kukaa kimya na kumuambukiza mkeo,fanya hima uende kwenye kituo cha afya utibiwe kuokoa nafsi ya mkeo na watoto wako na mwisho ujifunze kuuongoza mwili wako na so mwili wako ukuongoze.
 
Last edited by a moderator:
kidogo tu, ningefuta uzi wako manake heading yake matata !

habari wana jf mimi ni kijana mwenye famili ya mke na watoto 2 mke hiv karibuni kama mwezi na nusu amesafiri kama unavyojua kwetu sisi wanaume kuvumilia kale kamchezo katupite ni vigumu basi ikabidi ningie uraiani kusaka nyama baada ya muda naona kuna vipele kwenye uume wangu it seem like vinaongeza everyday oooh am real scare na najuta kucheat hivyo ndio maana nikaamua niweke picha ya uume wangu hapa jf ili muweze kupata picha a hk ninachowaeleeza msaada hu ni ugojwa gani
 
jamii01 ujumbe ni kuwa amesaliti ndoa yake na anajuta inawezekana amepata gonjwa linaloletwa na ngono zembe huko alikoenda sasa anaomba msaada ajue ni ugonjwa gani huo
katafuta nyama kala kavu kavu????mweee nyie wanaume mkojeeeee??jamani mnatuletea magonjwa hivi hivi.manina zako wewe appoh
 
Last edited by a moderator:
habari wana jf mimi ni kijana mwenye famili ya mke na watoto 2 mke hiv karibuni kama mwezi na nusu amesafiri kama unavyojua kwetu sisi wanaume kuvumilia kale kamchezo katupite ni vigumu basi ikabidi ningie uraiani kusaka nyama baada ya muda naona kuna vipele kwenye uume wangu it seem like vinaongeza everyday oooh am real scare na najuta kucheat hivyo ndio maana nikaamua niweke picha ya uume wangu hapa jf ili muweze kupata picha a hk ninachowaeleeza msaada hu ni ugojwa gani

appoh, sijui nikwambie nini! Umeisaliti ndoa yako kirahi rahisi hivi kwa kutoa maelezo mepesi namna hii? Na mbaya aidi huko ulikoenda hukutumia kinga yeyote wakati ukijua wazi kuwa kuna magonjwa na mengine ni hatari maana yanaweza kukumaliza wewe na mkeo? Hukufikiria kuwa kwa kufanya hivyo unaweza kujikuta watoto wako wawili wanabaki yatima just kwa uzembe na tamaa yako ya ngono? Hebu tafakari haya na kisha ubadili tabia haraka.

Back kwenye ombi lako, ni kuwa ni kuwa si vyema uweke picha ya naniii yako hapo, haitasaidia. Nenda hospitali kaonane na madaktari watalaam watakuchunguza kukufanyia vipimo na kisha kukupa dawa inayoendana na tatizo lako. Ukimaliza zoezi hilo, nenda kwenye vituo vya kupima na ushauri kuhusu UKIMWI, angalia pia afya yako. Hapo watakupa ushauri wa kutosha kama wakikukuta +ve au -ve.

Nakushauri uwe makini na uipende familia yako vinginevyo utaiongezea TZ kuwa na mzigo wa kulea yatima wanaotokana na uzembe wa wazazi. Watoto wana haki ya kutunzwa na wewe kama baba, tafadhali linda haki yao.
 
Last edited by a moderator:
Wanaume wanahitaji kutahiriwa mioyo yao.
huyu ni pepo amevaa mioyo yenu kupenda ngono na kujiona huwezi kuvumilia wiki2 bila kuipata. Huo sio urijali bali ni pepo wa ngono na aspowatoka mtafanya hvyo kila mara bila kutulizwa hiyo kiu.cha msingi ni kuutahiri moyo kwa jina la Yesu kumuondoa huyu pepo.
 
Pole sana mleta mada, hivo viupele si vinawasha. ndo yenyewe ile isiyotibika. Wahi mapema hospital uanze kristapeni 10. jifunze kuvumila. Mimi sijaoa na sijaona hiyo kitu muda mrefu na wala hata siugui. nafanya tu mazoezi kwa sana na baadhi ya vyakula navishiti.
 
Hilo gono au kaswende, nenda hospitali ukapime upate matibabu, upime na ukimwi pia kabla ya kukutana na mkeo,punguza tamaa. Kwani wahenga walisema tamaa mbele mauti NYUMA.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom