Nimeamua kwa hiari yangu kusitisha...

Nimeamua kwa hiari yangu kusitisha...

Hivi vileo ni pombe peke yake?

Je hawa wanaotumia madawa ya kulevya kama bangi na cocaine, wenyewe hawachukuliwi kama walevi?
 
nakupongeza mkuu kwa uamuzi wa busara. angalia usije rudia kunywa pombe tena. mapepo yanakawaida ya kumtoka mtu halafu yanaangalia mwenendo wake. huyo mtu akimwacha Mungu humrudia kwa nguvu zote. pepo moja hurudi na mapepo 7. mwombe sana Roho Mtakatifu akuongoze ktk maisha yako.
 
Vipi umeacha pombe/kilevi kwa sababu ni dhambi kutumia ama vipi hebu funguka vizuri hapo ama kwa sababu ni ghari, na je kama ni kutokana na mafundisho kupitia Emmanuel TV ya T.B Joshua ili uweze kuvuka daraja, je vipi kuhusu dhambi nyingine mkuu kama uzinzi, tamaa, wizi nk unazisemeaje hizo.

Nimeuliza hivyo kwa maana najua kuna watu atakuambia kunywa pombe dhambi kubwa na Mwenyezi Mungu hapendi, ili hali mtu huyohuyo ni mzinzi balaa, Muongo, Mwizi, nk mambo ambayo ni chukizo mbele za Mungu. Ninapoyasema haya simanishi nakuhukumu, la hasha ila ni katika kusaidiana sote ili kuvuka hilo daraja salama as per T.B Joshua for the year 2014.

cc vaikojoel, hongera kwa malengo yako hayo, Mungu akusaidie na kukushika mkono daima katika kila hatua unayopiga ili hatimae hiyo ndoto yako na mengine mengi mazuri yapendezayo mbele ya Mungu yapate kutimia.
c
cc Ablessed
 
Last edited by a moderator:
Hakuna mtu anapenda kuwa mtumwa wa ulevi si umeona coment nyingi zinavyopongeza,so big up!
 
Ni maamuzi mazuri sana, ila tunaomba uwe unatupa mrejesho kila juma tatu asubuhi juu ya maendeleo yako.
 
Vipi umeacha pombe/kilevi kwa sababu ni dhambi kutumia ama vipi hebu funguka vizuri hapo ama kwa sababu ni ghari, na je kama ni kutokana na mafundisho kupitia Emmanuel TV ya T.B Joshua ili uweze kuvuka daraja, je vipi kuhusu dhambi nyingine mkuu kama uzinzi, tamaa, wizi nk unazisemeaje hizo.

Nimeuliza hivyo kwa maana najua kuna watu atakuambia kunywa pombe dhambi kubwa na Mwenyezi Mungu hapendi, ili hali mtu huyohuyo ni mzinzi balaa, Muongo, Mwizi, nk mambo ambayo ni chukizo mbele za Mungu. Ninapoyasema haya simanishi nakuhukumu, la hasha ila ni katika kusaidiana sote ili kuvuka hilo daraja salama as per T.B Joshua for the year 2014.

cc vaikojoel, hongera kwa malengo yako hayo, Mungu akusaidie na kukushika mkono daima katika kila hatua unayopiga ili hatimae hiyo ndoto yako na mengine mengi mazuri yapendezayo mbele ya Mungu yapate kutimia.
c
cc Ablessed
Nimeitika wito kaka Lyagwa .Unajua kuacha pombe ni uamuzi mgumu sana kwa wengi. Na mimi nampongeza sana kwa kujipa likizo hiyo kwani thru kileo wengine wamejikuta wakipata magonjwa au ujauzito usiotarajiwa na wengine wamepata madhara makubwa sana ktk familia zetu hizi za kitanzania . Tumeshuhudia wengine wakishindwa kuendelea na masomo sababu ada hawakuweza kulipiwa na wazazi wao kisa tu wazazi walikua chapombe. Kwa hiyo mimi nimpongeze tu huyu ndugu marekebisho mengine yatafuata taratibu iwapo tu huyo nabii kama huwa anasisitiza kuishi maisha ya uchaji na si kukazia vitu vichache . Sijawahi kusikiliza mahubiri ya huyu nabii kwa hiyo simjui kwa kina .

Happy new year.
 
Last edited by a moderator:
Kuacha pombe ama ngono/uasherati wala hakutaki maombi bali maamuzi tu maana inatawaliwa na psychology zaidi kuliko ushetwani..ila sema ufisadi na wizi wa kujilimbikizia mali ndio dhambi kubwa ambayo haiepukiki hata kidogo ni kama ya lazima kuliko pombe na ngono..maana hii inaingiza fedhwa na hizo nyingine zinapotezaa japo huendana kinadharia
 
ulikuwa unalewa sana? hongera.

nilikua nalewa ya kujitambua kufika nyumbani tu mkuu,,ila nikilala sasaa ..mmh ukuiniuliza nilifikaje nami nashangaa:sad:
 
Hongera sana ila vema ukajiwekea malengo ya kuacha kabisa maana kupumzika hakuna guarantee unaweza ukapiga tena huku ukijiliwaz kuwa umepumzika vya kutosha ngoja uonje

mkuu, ndo nacho taka ku target..
binafsi naogopa kusema nimeacha kabisa bila kuanza kidogo kidogo kupunguza,,,
najua ntapoteza marafiki wengi ,,so be it ,,ni wakati muafaka wa kujenga marafiki wapya wa mcha mungu
 
Vipi umeacha pombe/kilevi kwa sababu ni dhambi kutumia ama vipi hebu funguka vizuri hapo ama kwa sababu ni ghari, na je kama ni kutokana na mafundisho kupitia Emmanuel TV ya T.B Joshua ili uweze kuvuka daraja, je vipi kuhusu dhambi nyingine mkuu kama uzinzi, tamaa, wizi nk unazisemeaje hizo.

Nimeuliza hivyo kwa maana najua kuna watu atakuambia kunywa pombe dhambi kubwa na Mwenyezi Mungu hapendi, ili hali mtu huyohuyo ni mzinzi balaa, Muongo, Mwizi, nk mambo ambayo ni chukizo mbele za Mungu. Ninapoyasema haya simanishi nakuhukumu, la hasha ila ni katika kusaidiana sote ili kuvuka hilo daraja salama as per T.B Joshua for the year 2014.

cc vaikojoel, hongera kwa malengo yako hayo, Mungu akusaidie na kukushika mkono daima katika kila hatua unayopiga ili hatimae hiyo ndoto yako na mengine mengi mazuri yapendezayo mbele ya Mungu yapate kutimia.
c
cc Ablessed


nimekuelewa vyema mkuu,
well kwanza nimeacha pombe kutokana na analysis niliyoifanya binafsi juu ya mtazamo wa maisha yangu, maubili yakina t. joshua nikama ufunuo wa mwenyezii mungu juu ya maswali niliyokua nayo ( gizani) sasa nimepewa mwanga naona
...kuhusu dhambi zingine nazo naweza kusema zitaachika mara moja kutokana na pombe kuwa kishawishi kikubwa na kiungo katika utendaji wa dhambi hizo

Mungu akubariki na akuangaze pia
 
Khaaa!

Afu akipungukiwa damu nani atamwongezea?
Samahani naomba kuuliza hivi hii dhana ya kuongeza damu kwa kunywa pombe ina ukweli wowote ?????? Na kama ina ukweli sasa kwanini madaktari huwa hawawashauri wagonjwa kutumia hii kitu, hebu my young sister Lady doctor njoo pande hii unijuze
 
Last edited by a moderator:
Kuacha pombe ni uamuzi wako binafsi. Unaweza kuacha kunywd na una marafiki wanywaji kuliko kawaida. Niliacha kunywa pombe miaka minne iliyopita na marafiki zangu bado wanakunywa. Tulikuwa tukienda out na washkaji mi naagiza grand malt nakunywa mpaka navimbiwa. Ila kama huna msimamo we usikaribiane nao mazingira ya ulevi.

hahahahah kaka umetishaaaa!! Kwamba unakunywa hadi una......
 
Back
Top Bottom