Unadhani kuwa atheist ndio upo huru kifikra? Mfano mleta mada anasema kafanya tafiti kuhusu Mungu na kafikia uamuzi kuwa hakuna Mungu na kaamuwa kuwa atheist, lakini kwa kuamua kwake kuwa atheist atajikuta analazimika kupinga uwepo wa vitu vingine mbali na Mungu kwa sababu ni atheist na si kwa sababu amefanyia utafiti hivyo vitu.Naelewa misingi ya imani ni ndani ya box la imani tu na sio fikra huru , hivyo siwezi pinga chochote kanisani wala msikitini au kwenye majukwaa ya dini ambayo yamefungamanishwa na misingi ya kiimani tu
Msingi wa hiyo hoja yako ni ipi wenye kukufanya useme kwamba angekuwepo kusingekuwa na haja ya kuambiwa yupo?Angekuwepo na mimi na wewe tunajua hilo , wala kusingekua na haja ya wewe kuniambia kuwa yupo .
Hivyo kama unajua yupo ni haki yangu kukuhoji uwepo wake , ila sio lazima wewe uthibitishe huenda umeropoka tu
Kabla ya kukujibu wewe unaonaje?Msingi wa hiyo hoja yako ni ipi wenye kukufanya useme kwamba angekuwepo kusingekuwa na haja ya kuambiwa yupo?
Kwamba kila mtu angejua yupo au kwamba angekuwa anaonekana wazi kwa kila mtu? Hebu eleza msingi wa hiyo hoja ni nini?
Unaelewa maana ya imani?Unadhani kuwa atheist ndio upo huru kifikra? Mfano mleta mada anasema kafanya tafiti kuhusu Mungu na kafikia uamuzi kuwa hakuna Mungu na kaamuwa kuwa atheist, lakini kwa kuamua kwake kuwa atheist atajikuta analazimika kupinga uwepo wa vitu vingine mbali na Mungu kwa sababu ni atheist na si kwa sababu amefanyia utafiti hivyo vitu.
Sasa kuna tofauti ya kutokujua mambo ya Mungu na kujua kuwa hakuna Mungu, atheist sio kwamba hawajui mambo ya Mungu bali wanapinga madai ya kuwepo Mungu na kuhitimisha kwa kudai hakuna Mungu kwa hoja kwamba hakuna uthibitisho.Huo ndiyo ukweli mkuu. Kila mtu anazaliwa bila kujua mambo ya dini au Miungu.
Ila mazingira utakayokulia ndiyo yataamua unakuwa muislam au mkristo, budha nk
Hayupo sahihi hata kidogo mkuu, atheist sio mtu ambaye hana ufahamu kuhusu Mungu au masuala ya kiimani.Upo sahihi kabisa
Ni mtu wa aina ganiHayupo sahihi hata kidogo mkuu, atheist sio mtu ambaye hana ufahamu kuhusu Mungu au masuala ya kiimani.
Mimi nimeshaeleza huko nyuma kwamba suala la kukubali uwepo wa Mungu msingi wake ni imani na ndio maana wale wenye kukubali kuamini na kufuata maamrisho inaaminika kuna malipo kwa kufanya hivyo, sasa wewe kiujumla unapinga kila chenye kuitwa kuwa ni imani na hapo ndio penye tatizo kwa sababu madai ya kuwepo Mungu unayapinga si kwa sababu ni kwamba sio imani sahihi bali ni kwa sababu ni imani.Kabla ya kukujibu wewe unaonaje?
Unaweza ukaelezea tu mkuu maana yake ili uweze kueleweka unachotaka kueleza.Unaelewa maana ya imani?
Sijajua una lenga kitu gani na maandiko haya🤔Mimi nimeshaeleza huko nyuma kwamba suala la kukubali uwepo wa Mungu msingi wake ni imani na ndio maana wale wenye kukubali kuamini na kufuata maamrisho inaaminika kuna malipo kwa kufanya hivyo, sasa wewe kiujumla unapinga kila chenye kuitwa kuwa ni imani na hapo ndio penye tatizo kwa sababu madai ya kuwepo Mungu unayapinga si kwa sababu ni kwamba sio imani sahihi bali ni kwa sababu ni imani.
Sijui una lenga nini ndio maana nimekuuliza ila mtoa mada hataki kuamini tena kitu bila uthibitisho sasa hapo cha kujadili ni kipi?Unaweza ukaelezea tu mkuu maana yake ili uweze kueleweka unachotaka kueleza.
Ni mtu ambaye anafahamu masuala ya Mungu na ndio maana anapinga madai ya kuwepo huyo Mungu, huwezi kupinga kitu ambacho hauna ufahamu nacho kabisa.Ni mtu wa aina gani
Kufahamu sio tatizo hata mimi nafahamu Mungu zaidi ya 10000 duniani kote na wala si amini uwepo wa hata mmojaNi mtu ambaye anafahamu masuala ya Mungu na ndio maana anapinga madai ya kuwepo huyo Mungu, huwezi kupinga kitu ambacho hauna ufahamu nacho kabisa.
Upo sahihi sana mkuu, ndio maana baadhi yao wamekuwa wakishikilia sana masuala ya uthibitisho ili ukishindwa kuthibitisha naona kwao huwapa faraja.Sijui vipi niweke nieleweke.
Ila nahisi Kuna Atheist wa mkumbo kama mimi nilivyohitaji kuwa.
Na Kuna real atheist,sasa pengine hawa real one wako real pia ila hawa wa mkumbo Kuna muda kwenye real life uhisi Kuna vitu haviko sawa wanajikaza tu.
Unamkataa Mungu jamiiforum haafu in real life sio kweli
Wala hakuna faraja , watu wanataka kuujua ukweli , ukiona mtu anataka mpaka uthibitisho ujue alisha amani mpaka basi ila kuna vitu kavitilia mashaka akaacha kuaminiUpo sahihi sana mkuu, ndio maana baadhi yao wamekuwa wakishikilia sana masuala ya uthibitisho ili ukishindwa kuthibitisha naona kwao huwapa faraja.
Basi achana nayo, wewe elezea tu msingi wa hoja yako yenye kufanya useme Mungu angekuwepo usingehitaji kuambiwa kuwa yupo.Sijajua una lenga kitu gani na maandiko haya🤔
Mama samia yupo hivyo sina haja ya kuomba uthibitisho wa uwepo wake nitaonekana kichaa dhana ya Mungu ni tata na hasa ukichukulia vitabu vinavyosemakana ni vya kwake ndio kuna mikanganyiko kibaoBasi achana nayo, wewe elezea tu msingi wa hoja yako yenye kufanya useme Mungu angekuwepo usingehitaji kuambiwa kuwa yupo.
Kama hivyo ndivyo alivyoamua ni haki yake ila siku zote uthibitisho sio ndio wenye kufanya jambo kuwepo na ndio maana kuna mambo yalipingwa sana huko zamani kwa sababu hayakuwa na uthibitisho wa kisayansi, ila baada ya miaka mingi mbele leo hii yana uthibitisho hivyo kutokuwepo kwa uthibitisho haiondoi uwepo wa kitu.Sijui una lenga nini ndio maana nimekuuliza ila mtoa mada hataki kuamini tena kitu bila uthibitisho sasa hapo cha kujadili ni kipi?