Nimeamua kuwa Atheist

Hakuna anaewafuata kanisani au misikitini kuwataka uthibitisho wa uwepo wa Mungu , unajua kwanini?
Kwa sababu nyie sio waumini wa hizo nyumba za ibada kama ambavyo hakuna muislamu anaenda kanisani kubishana kuhusu Yesu ni Mungu au si Mungu au mkristo anaenda msikitini kubishana kuhusu utume wa Muhammad.
 
Upo sahihi wala hauwezi kuta mimi naeleza au kupinga chochote kwenye jukwaa la dini humu jf.
 
Kama ni imani tu wala hakuna uthibitisho, hivyo basi hakuna sababu ya kutaka na mimi niamini, kuamini ni haki yako wala hakuna anaekunyima kufanya hivyo .
Na hakuna anayekulazimisha kuamini mkuu.
 
Upo sahihi wala hauwezi kuta mimi naeleza au kupinga chochote kwenye jukwaa la dini humu jf.
Wewe kupinga popote wala sio kosa kabisa, kama ilivyo kwamba mtu kueleza imani yake popote sio kosa.
 
Hakuna anae nilazimisha ili ukisema yupo ni haki yangu kutaka uthibitisho , wala ukishindwa kufanya hivyo hakuna tatizo .
Kwamba mie nikisema Mungu yupo inakuwa haki yako kunidai mie uthibitisho?
 
Wewe kupinga popote wala sio kosa kabisa, kama ilivyo kwamba mtu kueleza imani yake popote sio kosa.
Naelewa misingi ya imani ni ndani ya box la imani tu na sio fikra huru , hivyo siwezi pinga chochote kanisani wala msikitini au kwenye majukwaa ya dini ambayo yamefungamanishwa na misingi ya kiimani tu
 
Kwamba mie nikisema Mungu yupo inakuwa haki yako kunidai mie uthibitisho?
Angekuwepo na mimi na wewe tunajua hilo , wala kusingekua na haja ya wewe kuniambia kuwa yupo .

Hivyo kama unajua yupo ni haki yangu kukuhoji uwepo wake , ila sio lazima wewe uthibitishe huenda umeropoka tu
 
Kwamba wote tunazaliwa tukiwa na ufahamu wa kutokuwepo kwa Mungu?
Huo ndiyo ukweli mkuu. Kila mtu anazaliwa bila kujua mambo ya dini au Miungu.
Ila mazingira utakayokulia ndiyo yataamua unakuwa muislam au mkristo, budha nk
 
Huo ndiyo ukweli mkuu. Kila mtu anazaliwa bila kujua mambo ya dini au Miungu.
Ila mazingira utakayokulia ndiyo yataamua unakuwa muislam au mkristo, budha nk
Upo sahihi kabisa
 
Mungu yupo, ndiye Muumba wa kila kitu mwenye uwezo usiyowezwa na alivyoviumba, mwenye ujuzi wa kila kitu alichokiumba ni yeye ndiye mwenye kuendesha mambo ya kiulimwengu na walimwengu.
 
Imani zote ni imani tu hazina uthibitisho wa imani ya kweli wala ya uwongo , hiyo ya kusema imani yako ndio sahihi na inapaswa kufuatwa ni ego za kimani na kampeni zake tu
Tafsiri ya imani ni kuamini,kuamini maana yake ni kua na hope au matarajio,

Kifupi ni kwamba Imani ni jambo ambalo linaaminika ila haliwezi kuthibitishwa physically,ndio maana ikaitwa imani,maana yake kuamini,

So,binafsi hua sioni mantiki ya watu kubishana kwenye issue ya "Imani" issue ya kuamini jambo.
 
Mungu yupo, ndiye Muumba wa kila kitu mwenye uwezo usiyowezwa na alivyoviumba, mwenye ujuzi wa kila kitu alichokiumba ni yeye ndiye mwenye kuendesha mambo ya kiulimwengu na walimwengu.
Hii ni kauli ya imani.

Imani si uthibitisho. Unaweza kuamini hata uongo.

Unaweza kuamini wewe ndiye huyo Mungu.

Lakini je, kuamini kuwa wewe ndiye huyo Mungu, kunakufanya wewe uwe huyo Mungu?

Thibitisha huyo Mungu yupo.

Usiweke kauli ya imani tu.
 
Sio kubishana mkuu, sema watu wanaoamini wanaona kama ni kubishana kwa sababu wao wana amini imani zao ndio ukweli wa mambo , sasa ukitaka kuhoji wewe ulie nnje ya imani ya huo ukweli upo vipi ndipoo jambo likaonekana kama unawabishia .

Africa mtu akikuhubiria mambo ya Mungu ukimwambia wewe hauamini Mungu anapandisha ukichaa kabisa ,nafikiri wewe unajua na unaweza linganisha bwashee
 
Labda nitake kujua tu,

Lengo la mtu aliye nje ya dini kuhoji issue ya uwepo wa Mungu au dini,hua wanahoji kwa lengo gani hasa?

Na majibu watakayoyapata ambayo yapo kwenye matarajio yao,hua wamejiandaa kubadili uamuzi wao au ni kuuliza tu?
 
Mungu anataka kuaminiwa kwa imani tu, hajataka athibitishwe kwa logic na akanushwe kwa falacy, kwani ufahamu wetu upo kinyume na uhalisia wake. Sisi ufahamu wetu unataka uwe kwenye mipaka ya wakati na mahali, wakati Mungu yupo kinyume na hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…