Huo ni utahira sasa! Na hiyo haihusiani na ukristo wa kweli! Kumbe mwamposa ndio anawatoa jasho hivi mpaka mnatukana waumini wote😅Sadaka toa kile kinachouma, toa kwenye mfuko wako tukajimalize tukose mpaka nauli turudi na miguu (Kawe to Buguruni Kwa mguu kisa eti nataka Baraka nijimakize Hela zote Kwa Mwamposa 🤣🤣🤣🤣🤣🙏🙌
Sawa mjinga mwenzanguWapi nimetaka Mungu aje kujitetea?
Wewe ni mjinga hata kusoma kwa ufahamu hujui.
Sielewi nieleweshe leo hiiUnaelewa maana ya kuthibitika kweli?
Kama ni hivyo yakawaje tena ni mambo ya imani?
Hii mada inaenda kukuelemea uzuri mmoja nakupa ukwel tu😅Sawa mjinga mwenzangu
Achana nayo tu pumzikaSielewi nieleweshe leo hii
Inanilemea kwani nimeibeba ndani kwangu, mtajua wenyewe huko😂Hii mada inaenda kukuelemea uzuri mmoja nakupa ukwel tu😅
Kitoto Cha nguruwe au 🤣Ukizaa kitoto chako kiwe kiatheist sasa
Vitisho vya moto! basi wenye kuamini Mungu wasingekuwa walevi ,wazinzi,washirikina,wauwaji n.k maana wangeogopa vitisho vya moto sasa sijajua kwanini mkuu umeona kuacha kuamini Mungu tu ndio aogope vitisho vya moto?Kutoka nnje ya box na huku kuna vitisho vya moto× ahadi ya mbinguni sio jambo dogo inahitajika akili yenye utulivu mno
Ata cha bata😆Kitoto Cha nguruwe au 🤣
Lakini Mwamposa si mkristo? Anawaambia waumini wake watoe sadaka inayouma (kujimaliza)Huo ni utahira sasa! Na hiyo haihusiani na ukristo wa kweli! Kumbe mwamposa ndio anawatoa jasho hivi mpaka mnatukana waumini wote😅
Sawa mjinga mwenzangu
Shangaa nawew! Wakati tunapanda nao juu ya meza na bado tunaamini uwepo wa Mungu! Oct29 tumepigwa nao vyuma na bado hatujaacha kuamini😊Vitisho vya moto! basi wenye kuamini Mungu wasingekuwa walevi ,wazinzi,washirikina,wauwaji n.k maana wangeogopa vitisho vya moto sasa sijajua kwanini mkuu umeona kuacha kuamini Mungu tu ndio aogope vitisho vya moto?
Umejitungia mambo yako bila kuelewa hoja yanguVitisho vya moto! basi wenye kuamini Mungu wasingekuwa walevi ,wazinzi,washirikina,wauwaji n.k maana wangeogopa vitisho vya moto sasa sijajua kwanini mkuu umeona kuacha kuamini Mungu tu ndio aogope vitisho vya moto?
🚮Shangaa nawew! Wakati tunapanda nao juu ya meza na bado tunaamini uwepo wa Mungu! Oct29 tumepigwa nao vyuma na bado hatujaacha kuamini😊
Huwa nawakubali Sana wachina au wahindu na dini zao , hawana sababu ya kumhubiria wala kumshawishi mtu afuate dini yao , hapa ndipo hoja huibuka kwa ambao hawataki kuaminishwa tu hasa kwenye hizi dini mbili.Kila mtu aamini anachokiamini,anayeamini Mungu yupo aishi kwa kumuamini Mungu na asiyeamini uwepo wa Mungu nae aishi maisha aliyo yachagua,
Hua sioni mantiki yeyote ile ya watu kubishana kuhusu uwepo wa Mungu au kutokuwepo, coz haya mabishano hayatokuja kua na mwisho wala kupata mshindi au mshindwa,
Kuna watu humu JF miaka na miaka wapo kwenye haya mabishano ya uwepo wa Mungu au kutokuwepo kwa Mungu,
Kwanini utumie nguvu na muda wako kubishana au kujadili hii issue? Wewe amini unachokiamini kisha piga kimya,
Hakuna haja ya kupangiana namna ya kuishi hasa kwenye mambo ya kiimani,
Sijaona hata mantiki ya mleta mada kuutangazia umma kuhusu uamuzi wake,
Kila mtu afuate anachokiona ni sawa kwake,tukutane mwisho wa safari kwa wenye kuamini.
Ila mkuu hii hoja ya uthibitisho kuwepo kwa Mungu ni atheists tu naona huileta hii hoja kama kutaka waonekane wao ndio wako sahihi ila kimsingi haikupaswa hata kuwa suala la kujadili. Kwa sababu msingi wa uwepo wa Mungu upo kwenye kuamini kuwepo kwake na ndio maana hata yale matendo(maamrisho) anayotenda mwenye kuamini huwa na malipo yake kwa sababu hamuoni huyo Mungu na hakuna uthibitisho ila kakubali kukubali kuwa yupo na anatekeleza maamrisho kwa imani.Hivi haujawaji kujiuliza kuwa , ingetokea nini kama Uwepo wa Mungu ungethibitika kweli hasa kwenye imani?
Wakristo ni wengi sana manabii na mitume wengi pia ila kuna waongo na wakweli! Kuwajua ndio mpaka uwe ndani ya imani!Lakini Mwamposa si mkristo? Anawaambia waumini wake watoe sadaka inayouma (kujimaliza)
Kwamba wote tunazaliwa tukiwa na ufahamu wa kutokuwepo kwa Mungu?Ninachofahamu mimi, kuwa Atheist ni kama tunazaliwa wote tukiwa Atheist, ila mazingira na tamaduni unazolelewa ndiyo zitakufanya uwe wa Allah, Yehova, Krishna nk