Nimeamua kutembea na binti wa Kazi, sina jinsi

Mkeo ana umri gani? Je anatumia njia za uzazi wa mpango? Sipati picha hamu imeenda wapi...kama ilikuwepo at first place?

Umeamua kufunguka eeh?
Manake mada zingine hata kama hutaki kusema inabidi tu useme..
Ila jamaa nimempenda kwa 'alternative' yake...lol!
 
Du hata mm jana tu H/G wetu ndio karudi kwao Morogoro nimejikung'utia mwaka na miezi 6 bila wife kugundua na nilikuwa nawachanganya.
Kakuku ka kienyeji katamu maana kanatetemeka kweli ukikaweka mguu pande mpaka utumie ubakaji na huchekewi nashukuru kameondoka salama bila kushtukiwa

Mungu akusamehe,na utubu maana na watoto wako watakuja kunyanyasika hivyo hivyo,laana inatembea sana!usijione mjanja ndugu yangu,pole sana,funguka!
 
Tena kubwa sana. Mi sijawahi tumia haya madawa maishani...lakini huwa naongea sana na friends na hao ndio walinifanya nigairi hata pale nilipokuwa nataka kuanza kuyatumia.

Wengi waligundua yanawafanya kuhisi wanabakwa na waume zao. Yani inafika kipindi mtu mume akisafiri anashukuru kweli kweli.
Unajua ni vizuri kuongea na watu ili ujue tatizo kabla halijakupata.

Na unajua hata kama unatoa service kama kawaida...kama hau enjoy jua ndoa pia itakuwa mashakani. Performance ya anayesikia kero; anayefanya ili mradi kumridhisha mume na anaye enjoy ni tofauti. Haya madawa ni noma.



nyumba kubwa hapo red linaweza kuwa tatizo pia eeh?
 
Du hata mm jana tu H/G wetu ndio karudi kwao Morogoro nimejikung'utia mwaka na miezi 6 bila wife kugundua na nilikuwa nawachanganya.
Kakuku ka kienyeji katamu maana kanatetemeka kweli ukikaweka mguu pande mpaka utumie ubakaji na huchekewi nashukuru kameondoka salama bila kushtukiwa

I bet somebody must have stolen your password!..ryte??
How on earth can you be so rude like this?
 
Mwenye kufanya uzinzi na afanye sana. Heri kwako ungebaki na mkeo kuliko kuwaka tamaa ya mwili, dhambi nyingi hufanyika nje ya mwili lakini wewe umeamua kufanya dhambi ndani ya mwili wako. Ni heri kwako usingeoa kabisa kuliko uzinzi unaofanya ndani ya ndoa yako.
 
unaruka maji unakanyaga moto
tafuta mbali na nyumbani kwa mtu anaeleweka wako mabinti kibao wana haiba zao, na kazi zao za maana
hawana watu wa kuwapa goodtime tafuta mmoja ila sio kwa dada wa kazi
mabinti wa kazi sumu she can even kill your wife to inherit your fortunes

very true,wifi angu aliuliwa!!
 
Ungefuatilia kwanza ujue kuliko wife wako anakupa adoado,nadhani kule job kunaweza kuwa wenzako wamesha mnunulia cheni namba 40. Ingekusaidia kuja na ufumbuzi wa tatizo,beki 3 unaweza mjaza itakuwaje? Kwakuwa unyumba unapewa kwa masharti wewe unaona bora tu,fanya utafiti vinginevyo utakajoa dagaa katanguliza mkia.....mmetumia MAGAZIJUTO wote
 
Mmehalalishiwa uzinzi na shetani halafu mnachekelea kumbuka furaha ya waovu ni ya muda mfupi tu, pole sana kwa kukaa gizani bila kuijua nuru halisi (Yesu Kristo) amtiaye nuru kila mtu.

Hivi biblia kuna sehemu imekataza watu kuoa wake wengi?
 
Unapindisha thread wewe.

Hata mimi nimemstukia..wananikeraga sana hawa watu ambao hata mambo ya kawaida yanayohitaji 'psychology rehab' kuyapima kwa mizania ya kidini!..Wewe mtu humjui ushaanza kumhubiria..
 
Mwana Kwetu,jiandae kwa lolote hasa la kuhamishia kabisa penzi kwa hausgel wako,anasema atawaheshimu kwa sababu hajanogewa akinogewa tu ataanza kudai haki za mke na wivu utaanza hata mkisimama na maza hausi.na ujue duniani hamna siri ya wa wawili,sijui umesahau hilo?Ila pole kwa kukosa vitu adimu kutoka kwa mkeo.
 
Last edited by a moderator:
Nina mke na watoto 3 wote tunafanya kazi. Tulipozaa mtoto wa pili wife alianza kupunguza umuhimu wa tendo la ndoa sijua ni kwa kuzoea au kuchoka. Tumewekana vikao vyetu binafsi ili kila mmoja abainishe ni vicocheo gani vinakosekana ili tuviongeze kuboresha mchezo. Wote siyo walevi na tuko karibu kifamilia. Ukifuatilia labda mkeo ana mtu hupewi taarifa zozote mbaya. Sasa tatizo ni kitu gani hatujui. Ukimwuuliza naye anakwambia mume wangu nivumilie nitajitahidi ila baada ya mwezi anarudi kule kule. Usipochombeza anaweza kupitiliza hata mwezi bila kukumbushia huku tukiendelea kuheshimiana kwa sana na peace na upendo ukitawala katika nyumba. Hali hii imenisumbua kwa muda karibu 7 years na ili kuepuka kugombana na kuepuka kwenda nje kupata UKIMWI basi nikaamua nimweleze binti ambaye anatusaidia kazi home na akaonyesha kunisikitikia kwani mi si mtu wa baa useme ningetafuta huko na pia naogopa UKIMWI. Binti aka sema anaweza ku handle hiyo situation kwa masharti kwamba ataendelea kuniheshimu mimi pamoja na wife ili chochote kisishtukiwe. Kwa mtazamo wangu hata kama mtaniona blind ni kwamba huyu binti anatumika ku rescue hii situation la sivyo ningekwenda huko na huko kutafuta viruka njia ambao wangeniweka mahali pabaya zaidi. Tumeanza mahusiano vizuri na tunaendelea kiasi kwamba hata wife asipokuwa tayari mwezi mzima sipati shida na hii imenisaidia kuepuka ugomvi uliokuwa unatokana na tendo la ndoa kutokuwa zuri. Cha ajabu hata kama mchezo tusipofanya na wife mwezi anaona mambo iko sawa maisha yanaendelea ni kucheka na kufurahi bila kujiuliza huyu mume anaishije?
Je wadau katika situation kama hiyo ambayo mke ana behave namna hii kwa ninachokifanya nimekosea au niko sawa. Kama unafikiri nimekosea nipe ushauri kuhusu njia mbadala na jiweke kwenye position yangu.

Wewe umeshafanya uamuzi wa kutembea na binti wa kazi, sasa unaomba ushauri wa nini...?
 
Kwanza huyo house girl anayekubali ku offer service kirahisi hivyo nina mashaka ndie mchawi wa ndoa yao.

kale kamzizi alikokuja nako kameanza ku work.


Mwana Kwetu,jiandae kwa lolote hasa la kuhamishia kabisa penzi kwa hausgel wako,anasema atawaheshimu kwa sababu hajanogewa akinogewa tu ataanza kudai haki za mke na wivu utaanza hata mkisimama na maza hausi.na ujue duniani hamna siri ya wa wawili,sijui umesahau hilo?Ila pole kwa kukosa vitu adimu kutoka kwa mkeo.
 
Back
Top Bottom