Nimeamua kutembea na binti wa Kazi, sina jinsi

Nimefanya hayo out of confusion sioni mabadiliko na elewa unapokuwa unategemea kitu mambo yakawa kinyume unaweza fanya maamuzi yanayoweza shangaza kama haya hapa. kama ni kuongea na wife tumeongea sana kuitiana hata wazazi.

Mi sipendi ugomvi kugombana ovyo sipendi and that ndio njia nimeona sahihi kwangu. Lini tutaachana, tunategemea kufika wapi, future yake itakuwa vipi, ukichonga mzinga itakuwaje hayo ni mambo mengine ila mi naona bi afadhali kuliko kuzunguka huku na huko mitaani.

Mtaniona abuser ila potelea mbali hamwezi kujua ugumu wa mapito yangu.
 
Mwana Kwetu

UMEKOSEA SANA!!

Kaka kwanza pole kwa hiyo hali, ila solution yako sio sahihi hata kidogo,na assumption yako kwamba HG wako atakuwa ni salama zaidi kimaambukizi, umekwisha, nimeshakuwa na binti wa kazi tena 14 years tu,nimekuja kurealize ni mwathirika ni baada ya mama yake mzazi kuugua sana kabla hajafa akasema, mimi nitakufa, ila na Ma.... ana huu ugonjwa,(yani binti yangu sasa) nilimzaa nao,after msiba akashauriwa maana pia alikuwa mgonjwa kila leo, kupima ngoma ipo!

Mi nilikuwa nimerudisha 3months back kwa kuwa na hasira na kiburi sana, nimekaa nae one year!

Hiyo moja, mwaka jana mwezi wa tano nikipata binti wa miaka 25,kutokana na ishu ya Ma..., nikafanya mbinu za kimafia nikampima kabla hajaanza kazi,looh HIV POSITIVE!kwa sababu ya watoto nikamrudisha.So please usiwaamini sana hawa watoto wa ndani,wengine wamezaliwa navyo,wengine wanaambukiziwa na baosi wao kama wewe hapo,na pia watiwa na vijana wa boda boda chap chap kwa kuinama tu.

USHAURI
Mkeo atakuwa ameathirika kisaikologia,kitu ambacho wanawake wengi wakisha zaa huwa wanapoteza hamu/mood ya tendo la ndoa, usiwe unamsubiri yeye akuanze, wewe uwe unamchombeza,mhamasishe wewe akiona unataka sidhani kama atakataa.

Mimi binafsi nilipoteza hamu kabisa, yani alikuwa akinigusa naona kero,mpaka nikaenda kumwona daktari akanisomea vitabu,yani hiyo kitu nakwambia ipo, akaniambia niende na mume wangu,bahati mr ni mtu mwelewa nikaenda nae,alichoambiwa ni kunipa ushirikiano na mengine mengi,na kweli with time hamu ilirudi, JINSI UNAVYOMWACHA MUDA MREFU BILA KUDUU NDIO HAMU INAZIDI KUMPOTEA, sweet wangu alikuwa anatichezea hata na ulimi mpaka namsukuma naingiza mboo yake,mbona nilirudia kupenda kuduu kuliko,na mtoto wa pili ilikuwa hivyo, sasa hivi mwenyewe sa ingine analala wala hataki,mi nikitaka namgusa game inaendelea!!

MWISHO
Msichana wa kazi ni sawa na mtoto wako, hivyo unatembea na mwanao, ni dhambi kubwa, unamwonea, kumbuka unavyomtendea ubaya mtoto wa mwenzio, na wakwako watatendwa, laana hiyo inatembea kizazi chako chote, TUBU NA UACHE, mpeleke mkeo kwenye concelling.
 
Last edited by a moderator:
Kwa mtazamo siyo vzr kumbuka dunia haina siri siku ukwl ukijulikana itakuwaje
 
Inategemea, anaweza akawa anafanya nje ama hafanyi. hili swala kuna muda lina kifu hata muongee vizuri na kucheka vizuri uhitaji wa ile kitu unakuwa haupo kabisa, anyway lakini mimi najua kuna kipindi hamu inaisha kabisa hata uguswe wapi. na wewe jaribu kuushinda moyo wako kukaa mwezi au miezi 2 siyo muda mrefu, ipo siku atahitaji tuu na atakupa vizuri
 
hivi Tanzania hakuna wale washauri wa masuala ya kijamii eenh...maana nahisi hii kitu ipo ndoa nyingi na jinsi inavyoendelea kuwa sugu ndio ambavyo mitandao inazidi kuongezeka.

Mkuu mleta uzi huu, acha huo ufirauni kumbuka ulipofunga ndoa kuna maneno ulitamka na ndio ulikuwa ukiri wa ndoa yako kwa mkeo
 
Kaka hali uliyonayo ni utata mtupu. Ila la kwangu ni moja tu FUTURE YA HUYO DADA ANAYEKUSAIDIA unalifikiliaje hilo?

Mimi ningekushauri utafute mtu mwingine ambaye amezaa na hana mpango wa kuolewa wap wengi wa namna hiyo. Ukimpata mtu kama huyo mtakuwa mnajamiaana kwa lengo la kuridhishana hitaji lenu la ngono na si vinginevyo na hata ikitokea bahati mbaya mtatunza mtoto na ndoa yako itakuwa salama.

Mimi nashauri sasa uanze kufanya utaratibu wa kumpeleka VETA huyo dada ili aondoke hapo home kwa furaha na hatajua kama unamuondoa. VETA ada sio kubwa kiongozi usihofu. Ukichelewa tu mkeo atakukamata soon na utaikumbuka JF na mie mchangia uzi. It is very easy to catch a cheating husband than a cheating wife.
 
Hapo Dini umeweka pembeni Mungu pembeni na Dhambi pembeni Matamanio mbele.Wakati usikute mlipitia huko wakati mnaungana, au mlipitia kwa Mkuu wa Wilaya?
Kwa kweli hili ni tatizo la 'Pingu za Maisha', ingekuwa 'Ndoa' usingefikia huko.
 
kuna musician mmoja aliwahi kuimba akasema "penzi ni kikohozi kulificha huwezi"....subiri housegirl atakavyowabadilikia humo ndani au ukishamtia mimba, ndipo utajua ikiwa ni vibaya au la!!
 
SWEET HUSBAND

Ushauri wako ni mzuri na ndio maana nimeilete hii issue ili mnisute na hopeful dhamira yangu ikijisikia guilt naweza badilika kwani sifanyi hivi kwa sababu mi ni mhuni sana. Mnisamehe ila nahitaji ushauri zaidi kama wa Sweety husband I'm getting something out of it.
 
Last edited by a moderator:
Ukiwa na muajiriwa wako, halafu "ukamuomba" kwa namna hii. Hata akikubali haijulikani kakubali kwa dhati ama kakubali kwa sababu anaogopa kumkatalia muajiri wake. Kakubali tu kwa sababu hana jinsi, anaogopa kitumbua kuingia mchanga.

Hii ni aina fulani ya sexual harassment in the workplace.

Sehemu zenye kujali sheria you could get sued for some shyt like that.
 
Hongera sana kaka. Umefanya jambo la busara. Kaa na mkeo, muambie anasaidiwa na hgeli, na umsihi akijisikia anataka nae kujikimu asitoke mbali zaidi ya hboy na mlinzi.
Mjadili, mjiulize mko wangapi? Kama ni wanne tu, mtulizane. Hongera kwa kujijali na kujali familia yako.
 
hata sijui nikushauri vipi kwani tayari usha anza uzinzi!!ungetushirikisha mapema yasingefika hapo yalipofikia!!anyway usijione uko salama sana na huyo housegirl wako,huenda naye anatumika sana tu huko nje!na wewe sasa anakutumia kama kinga ktk familia yako!hata akipata ujauzito huko nje unaweza kuuziwa wewe!ok kaka kwa vile usha anza endelea japo sikuungi mkono kabisaaaaa!
 
Ushauri wako ni mzuri na ndio maana nimeilete hii issue ili mnisute na hopeful dhamira yangu ikijisikia guilt naweza badilika kwani sifanyi hivi kwa sababu mi ni mhuni sana. Mnisamehe ila nahitaji ushauri zaidi kama wa Sweety husband I'm getting something out of it.

AMEN KAKA,naomba badili kabisa dhamira yako kaka angu,ni hatari sana,yani ninashuhuda nyingi sana za kweli,kuna baba alimpiga housegirl nusu aue,kisa mkewe kaona binti kila leo mgonjwa kampima kumbe ni positive,baba kuambiwa usiku na wife binti ni mgonjwa akatoka na taulo hadi chumbani kwa binti piga mpaka alilazwa one month,na akalala ndani siku moja maana ana hela.kumbe alikuwa anatembea na binti!!
 
ndoa ina hitaji uvumilivu wa hali ya juu sana. Jadili kwa kina na kwa dhati na mkeo juu ya swala hlo na jinsi unavo jisikia, mkishndwa shirikisha ndugu wa karibu ili mshauriwe. Zaidi ya yote unyumba si kitu pekee cha muhimu kwenye mapenzi ya ndoa.
 
Du hata mm jana tu H/G wetu ndio karudi kwao Morogoro nimejikung'utia mwaka na miezi 6 bila wife kugundua na nilikuwa nawachanganya.
Kakuku ka kienyeji katamu maana kanatetemeka kweli ukikaweka mguu pande mpaka utumie ubakaji na huchekewi nashukuru kameondoka salama bila kushtukiwa
 
yaani mnajuaga kutudhalilisha!! Mwenyewe umeona uje kuhadithia hapa, enhe tupe wasifu wake!............
 
tafuta professional help, inawezekana mkeo hormones hazijakaa sawa.
wanaume bwana, mnapenda shortcuts eeh. Kwenye ndoa haiko ivyo, we mwanaume bwana, mlinde mkeo kama kweli unampenda.
 
Back
Top Bottom