Nimeamua kurudi Chadema

Usijibraguze..ndio nia yako.Hakuna atakayekuambia jaribu au kuchora mstari uruke.CCM wamekuchunia sana umebaki kuandika upuuzi km lonely dog
 
Makamanda naomba tumpe kamanda Lukosi kitengo cha mazishi kama ikitokea ajali yeyote, ili jamaa awe anakusanya rambirambi.
 
mchungaji lukosi ujue huko nyuma hukuwe hivyo? nani kakuharibu
 
Mbona nasikia ni mmoja wa viongozi wenu huko Arusha?

Kumbe unaskia!! Sasa wewe andishi lako linajidhihirisha kabisa ni Mliberali na sisi si mlengo wetu huo,
Hatusikii, unatuthibitishia! Na umeanza ukubwani hizi tabia, huko Nyuma hukuwa hivyo kabla!! Teh teh
 
Oya L.e.m.a zile picha vipi??

Umeacha kugawa??


We jamaa pimbi sana

Hizi ni akili za mtwara hivyo sina shaka nazo, Kama mtu anataka gesi ibaki kwao na akati hata mkaa tu kashindwa kuutumia vizuri, sjui akilin mwake anakuwa anawaza labda gas ni viroba anywe..?!
 
Ulishakuwa CHADEMA, ikakushinda ukaondoka, sasa waona wivu wa nini? Yaani wewe mke ulishamuacha, wameoa wenzako unalalamika ni kwanini wameoa mke mbaya; una akili kweli wewe? Wewe si ulishamuacha, sasa mubaya kwako unataka awe mbaya na kwa wengine? Wivu tu unakusumbua kwa kudhani kwamba baada ya wewe kumuacha basi angekosa kwa kwenda. Na hivi sasa roho inakuuma unapoona ndiyo kwanza CHADEMA inazidi kushamiri. Kwa jinsi akili yako ilivyo fyatu unaanza kuwalalamikia wanaoiamini CHADEMA, unataka wawe wachumia tumbo kama wewe. Ulishaachana na CHADEMA, kaa pembeni mtunze mke wako mpya CCM. Habari za chadema tuachie sisi wenyewe tunayependezwa nazo.
 

Majanger rambirambi ule wewe alafu aulizwe msigwa Majanger
 

Chadema haipokeo watu wa aina yako, kwa lipi hasa kwa vile hautakuwa na manufaa kwenye chama. CCM is a right place of your kind!
 
Chadema wsenge rudi we najua utakua mzAraumo cc chma chetu knaubaguzi hatutk wzrmo kafie mbele
 

Mwambie huyu maana hajawahi hata kuwa katika chama cha YAU
 
Last edited by a moderator:
Tatizo mnashindwa kuelewa
Chadema ni meli inayozama, mimi niliisharuka siku nyingi lakini nimewaonea huruma niliowaacha melini hivyo narudi na maboya kuwaokoa

JITAMBUE
 
Yule jamaa aliyeanzisha thred inayosena bw, Chris Lukosi una roho ngumu hakukosea kabisa, una roho ngumu ndugu yangu.
 
Last edited by a moderator:
Tuko kwenye msiba wa Madiba sio muda wa utani
Chadema hawawezi kukupokea hata kama ukiwa na nia ya dhati ingawa najua hapa ni kebehi umeitoa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…