Nimeamua kurudi CCM

Nimeamua kurudi CCM

Wahenga wanasema chanda chema huvikwa pete,na hili limethibika kuwa Ccm ni chanda chema kwa watanzania.

Niliamua kujiunga na Nccr Mageuzi nikiwa na imani kuwa ni chama ambacho kitakuwa mbadala wa kuiondoa Ccm na kukamata dola.

Ila kuna jambo moja limenifanya nirudi Ccm na hili ni kupambana na ufisadi,kisha pesa zilizokuwa zinaporwa na mafisadi kutumika kuwaletea maendeleo watanzania. Maana sekta ya afya,elimu,miundo mbinu na kila sekta imeimarishwa.

Ila jambo moja muhimu ni kuokoa zaidi ya bil 719 ambazo Iptl na Agreco walikuwa wanalipwa kila mwaka bila sababu ya msingi. Maaana sasa hakuna kampuni kama Iptl au Agreco ambayo inalipwa hizi fedha kifisadi na hakuna mgao wa umeme wala hakuna deal za kupiga pesa kama Richmond n.k.

Kwa ufupi zimebaki siku tano na kwenye karatasi ya kupigia kura Ccm ni namba moja,kwa hiyo naweka tick kwa Ccm na huku chini sipotezi muda kuangalia tena.
Kafie huko huko

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Heri pazia kuliko bendera kufuata upepo. Safari njema.
 
Lisu nampa kura yangu
 
Askofu Mwamakula azidi kupigilia Misumari jeneza la CCM

Huyu Askofu pamoja na wapambanaji wengine, watatakiwa kuishi maisha ya umakini sana baada tu ya uchaguzi.

Yule mzee ni kiumbe mwenye roho mbaya sana kwenye kipengele cha 'kisasi' na kushughulikia wapinzani wake.
 
Wahenga wanasema chanda chema huvikwa pete,na hili limethibika kuwa Ccm ni chanda chema kwa watanzania.

Niliamua kujiunga na Nccr Mageuzi nikiwa na imani kuwa ni chama ambacho kitakuwa mbadala wa kuiondoa Ccm na kukamata dola.

Ila kuna jambo moja limenifanya nirudi Ccm na hili ni kupambana na ufisadi,kisha pesa zilizokuwa zinaporwa na mafisadi kutumika kuwaletea maendeleo watanzania. Maana sekta ya afya,elimu,miundo mbinu na kila sekta imeimarishwa.

Ila jambo moja muhimu ni kuokoa zaidi ya bil 719 ambazo Iptl na Agreco walikuwa wanalipwa kila mwaka bila sababu ya msingi. Maaana sasa hakuna kampuni kama Iptl au Agreco ambayo inalipwa hizi fedha kifisadi na hakuna mgao wa umeme wala hakuna deal za kupiga pesa kama Richmond n.k.

Kwa ufupi zimebaki siku tano na kwenye karatasi ya kupigia kura Ccm ni namba moja,kwa hiyo naweka tick kwa Ccm na huku chini sipotezi muda kuangalia tena.
Mungu akubariki Sana.
 
Wasalimie huko uendako lakini umepishana na watumishi wa umma ambao hawajaongezwa mishahara, watumishi ambao hawajapandishwa madaraja na sisi tunaotegemea kustaafu kwa kikokotoo cha kipya.

Ukakae salama
 
Wahenga wanasema chanda chema huvikwa pete,na hili limethibika kuwa Ccm ni chanda chema kwa watanzania.

Niliamua kujiunga na Nccr Mageuzi nikiwa na imani kuwa ni chama ambacho kitakuwa mbadala wa kuiondoa Ccm na kukamata dola.

Ila kuna jambo moja limenifanya nirudi Ccm na hili ni kupambana na ufisadi,kisha pesa zilizokuwa zinaporwa na mafisadi kutumika kuwaletea maendeleo watanzania. Maana sekta ya afya,elimu,miundo mbinu na kila sekta imeimarishwa.

Ila jambo moja muhimu ni kuokoa zaidi ya bil 719 ambazo Iptl na Agreco walikuwa wanalipwa kila mwaka bila sababu ya msingi. Maaana sasa hakuna kampuni kama Iptl au Agreco ambayo inalipwa hizi fedha kifisadi na hakuna mgao wa umeme wala hakuna deal za kupiga pesa kama Richmond n.k.

Kwa ufupi zimebaki siku tano na kwenye karatasi ya kupigia kura Ccm ni namba moja,kwa hiyo naweka tick kwa Ccm na huku chini sipotezi muda kuangalia tena.
Rudi tu uendelee kula lambalamba
IMG_20201022_095738.jpeg
 
kwa nccr ndugu ulipotea,na ccm
ndio umepotea zaidi bora hata uwe mshabiki wa mpira wa tennis
 
Wahenga wanasema chanda chema huvikwa pete,na hili limethibika kuwa Ccm ni chanda chema kwa watanzania.

Niliamua kujiunga na Nccr Mageuzi nikiwa na imani kuwa ni chama ambacho kitakuwa mbadala wa kuiondoa Ccm na kukamata dola.

Ila kuna jambo moja limenifanya nirudi Ccm na hili ni kupambana na ufisadi,kisha pesa zilizokuwa zinaporwa na mafisadi kutumika kuwaletea maendeleo watanzania. Maana sekta ya afya,elimu,miundo mbinu na kila sekta imeimarishwa.

Ila jambo moja muhimu ni kuokoa zaidi ya bil 719 ambazo Iptl na Agreco walikuwa wanalipwa kila mwaka bila sababu ya msingi. Maaana sasa hakuna kampuni kama Iptl au Agreco ambayo inalipwa hizi fedha kifisadi na hakuna mgao wa umeme wala hakuna deal za kupiga pesa kama Richmond n.k.

Kwa ufupi zimebaki siku tano na kwenye karatasi ya kupigia kura Ccm ni namba moja,kwa hiyo naweka tick kwa Ccm na huku chini sipotezi muda kuangalia tena.
Ningerudi CCM ila da raisi wa CCM muongo sana yani yule Baba ni muongo balaaa sijawahi kuona raisi muongo kama Magu halafu anadanganya mpaka mishipa ya shingo inamsimama yaaaani ni muongooo yule Baba Lo!!!

Bahati mbaya ni msahaulifu anasahau aliyo yadanganya halafu Mungu na Technolojia vinamuumbua kila kukicha, utasikia leo kasema hivi mara kesho kageuka vile yaani kila siku anatoa MABOKO tu ptwaaaaa!!! Raisi gani anakua muongo kiasi kile

Ubaguzi sasa mama! mama! mama! yaani anahubiri sera za ubaguzi hadharani waziwazi halafu eti ni Raisi wa nchi mpaka unajiuliza huyu ana ajili kweli halafu kesho yake unamsikia anakemea ubaguzi sa kwa nini haanzi kujichukulia hatua yeye mwenyewe kwa kujiuzulu?

Halafu Udini mtumeeeeeeee!!! Yaani udini ndio usiseme yani ni mbaguzi wa dini na anapenda kutumia dini kushawishi nakulazimisha watu waelewe utumbo wake. Yaani wale waislamu njaaa wa BAKWATA kawakamata kwelikweli basi wanamdanganyaaaaa wanamlia viposho vyakeeeee na hakuna muislamu mwenye akili zake akawasikiliza BAKWATA

Ukija kwenye ukabila ndio usiseme jamani Baba mkabila yule utafkiri alichukuliwa mke na watu wa kaskazini yaaani wanampa tabu vibaya sana anatamani awatie kibiriti wote huko lakini ndio hawezi

Ufujaji wa mali za umma ndio sikwambii hela ya serikali yeye anendeshea kampeni za CCM Fiesta kwa mashangingi ya kijani anawanufaisha kina Diamond tu na Ali Kiba sijui Konde Boy aloooooo

Upigaji sasa weeeeeeee hapo ndio usiseme mpaka leo trilioni 1.5 haijulikani ilipokwenda kala yeye na Doto James

Umalaya uuuuuuwiiiiiiiii yaaanu hapo ndio anakomesha kabisa nani asiemjua kwa hilo na wanawame weusi 28 October wamenuia kumchinjilia mbaliii huko

Unafiki sasa alooooooo bwana mnafiki yule yaani anajitia mtu wa Mungu muungwana mwenye hofu ya Mungu kumbe ndio mdhalimu namba moja kwenda kum'miminia mwenzie risasi 38 da!!!

Ukatili mama yangu weeeee!!!! ................
.......... Ben Sa'8, Azory Gwanda, Roma, wasiojulikana ..... n.k

Sifa za kijinga, Ubishi, kutoshaurika yaaani ni hafai kabisaaaaaaaaaaa

#NI YEYE 2020
#THE BULLET PROOVE
#RAISI WA CHUMA
#HAFI KWA RISASI
 
Back
Top Bottom