Nimeamua kurudi CCM

Nimeamua kurudi CCM

Wasalimie huko uendako lakini umepishana na watumishi wa umma ambao hawajaongezwa mishahara, watumishi ambao hawajapandishwa madaraja na sisi tunaotegemea kustaafu kwa kikokotoo cha kipya.

Ukakae salama
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
 
Wahenga wanasema chanda chema huvikwa pete,na hili limethibika kuwa Ccm ni chanda chema kwa watanzania.

Niliamua kujiunga na Nccr Mageuzi nikiwa na imani kuwa ni chama ambacho kitakuwa mbadala wa kuiondoa Ccm na kukamata dola.

Ila kuna jambo moja limenifanya nirudi Ccm na hili ni kupambana na ufisadi,kisha pesa zilizokuwa zinaporwa na mafisadi kutumika kuwaletea maendeleo watanzania. Maana sekta ya afya,elimu,miundo mbinu na kila sekta imeimarishwa.

Ila jambo moja muhimu ni kuokoa zaidi ya bil 719 ambazo Iptl na Agreco walikuwa wanalipwa kila mwaka bila sababu ya msingi. Maaana sasa hakuna kampuni kama Iptl au Agreco ambayo inalipwa hizi fedha kifisadi na hakuna mgao wa umeme wala hakuna deal za kupiga pesa kama Richmond n.k.

Kwa ufupi zimebaki siku tano na kwenye karatasi ya kupigia kura Ccm ni namba moja,kwa hiyo naweka tick kwa Ccm na huku chini sipotezi muda kuangalia tena.
We Jamaa bana yaani unajitekenya na kucheka mwenyewe ,
 
Ata mimi najiunga na CCM na kuondoka na hili lichama la chadema halina sera za maana kazi ni kupingapinga tuu na kulialia kama litoto yatima.
 
Na wasiwasi kama kweli ulikuwa NCCR Mageuzi. Maana sijawahi ona ukiwaombea kura hata siku moja au ukinadi itikadi zake.

Kila la heri kwa kutangaza ulipo
 
Acha kashfa za kilevi.

Hakuna kashfa hapo. Ila ni wazi kuwa:

1. "The election to be free, fair and credible" kwa standard za Mi-CCM ni kashfa.

2. Uchaguzi kuwa wa "haki" ni kashfa kwa vigezo vya Mi-CCM.

3. Pombe na hata kwenye majina yenu wala si "kilevi" kwenye hulka ya njaa zenu.
 
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu ataipigia CCM kura
Sisi tunaojitambua na kuona maendeleo yanayofanyika tutaipigia Ccm
 
Wahenga wanasema chanda chema huvikwa pete,na hili limethibika kuwa Ccm ni chanda chema kwa watanzania.

Niliamua kujiunga na Nccr Mageuzi nikiwa na imani kuwa ni chama ambacho kitakuwa mbadala wa kuiondoa Ccm na kukamata dola.

Ila kuna jambo moja limenifanya nirudi Ccm na hili ni kupambana na ufisadi,kisha pesa zilizokuwa zinaporwa na mafisadi kutumika kuwaletea maendeleo watanzania. Maana sekta ya afya,elimu,miundo mbinu na kila sekta imeimarishwa.

Ila jambo moja muhimu ni kuokoa zaidi ya bil 719 ambazo Iptl na Agreco walikuwa wanalipwa kila mwaka bila sababu ya msingi. Maaana sasa hakuna kampuni kama Iptl au Agreco ambayo inalipwa hizi fedha kifisadi na hakuna mgao wa umeme wala hakuna deal za kupiga pesa kama Richmond n.k.

Kwa ufupi zimebaki siku tano na kwenye karatasi ya kupigia kura Ccm ni namba moja,kwa hiyo naweka tick kwa Ccm na huku chini sipotezi muda kuangalia tena.
Unajuaje kwamba kurudi CCM kutoka NCCR ndiyo uamuzi sahihi zaidi?

Hapo umetaja CCM na NCCR tu.

Hujataja vyama vingi sana.
 
Mkuu unamuuliza hilo swali zito hiv unategemea ana uwezo wa maswali hayo?
Hilo swali ni zito kwa akili yako ndogo? Kama jibu liliweka wazi kuwa kulikuwa hakuna ufisadi bali maridhiano ya kimahesabu yalileta usumbufu? Kuna mahala PAC wamesema kuna pesa ziliwekwe kwenye Account tofauti na hazina?
 
Taifa la wasiojitambua ccm ndio wapitisha sheria wasimamie wizi wa madini na ufisadi wapinzani wanalalamika juu ya wizi na sheria mbovu kisha ccm wanalaumu wapinzani sio wazalendo leo ccm wanajidai wanapambana na ufisadi ndani ya ccm inaingia akilini? Walioiba ccm wala sio wapinzani.wapinzani walijitolea kwa uzalendo kufichua uovu wa ccm eti ccm ikawalaumu si wazalendo na kujifanya ndio inapambana
 
Kwani IPTL ililetwa na CUF au Chadema tumia ubongo kufikiria na sio masaburi
 
Hii propaganda ilibuma na zitto junior na kaka yake walipata aibu kubwa sana. Maana PAC walitoa majibu kuwa hakuna pesa iliyopotea.
PAC ndio Wadhibiti na Wakaguzi wa Hesabu za Serikali?? CAG ndio Msemaji Mkuu eneo Hilo na aliweka wazi kuwa hizo fedha hazijulikani zilipo wewe na PAC ni Nani Hadi mumchallenge CAG?? Kadanganye watoto wako huko.
 
Mkuu inaonekana hufahamu masuala ya auditing na control. Mfano pesa za kampuni yako zinatakiwa zikae benki ili ziwe monitored sasa iwaje mhasibu wako akaweke kwenye kabati la ofisini?

Unadhani akija mkaguzi akaona mapato yote yaliyopo kwenye vitabu ni tofauti na pesa iliyopo benki. Huoni ni mwanya wa wizi?

Embu naomba ujibu kwa perspective ya internal control mechanisms na auditing.
Huu ni upotoshaji usio na mashiko,kuna pesa ambayo PAC waligundua haipo kwenye akaunti za serikali?

PAC waliweka wazi kuwa pesa zilikuwa zimetunzwa kwenye akaunti mbalimbali za hazina, kuchelewa kuzitoa kwa matumizi na finacial reconciliation ilikuwa ni tatizo lililosababisha kuwe na mapungufu ya kimahesabu.
 
Acha ujinga.

PAC ndio Wadhibiti na Wakaguzi wa Hesabu za Serikali?? CAG ndio Msemaji Mkuu eneo Hilo na aliweka wazi kuwa hizo fedha hazijulikani zilipo wewe na PAC ni Nani Hadi mumchallenge CAG?? Kadanganye watoto wako huko.
Mh...
 
Huu ni upotoshaji usio na mashiko,kuna pesa ambayo PAC waligundua haipo kwenye akaunti za serikali?

PAC waliweka wazi kuwa pesa zilikuwa zimetunzwa kwenye akaunti mbalimbali za hazina, kuchelewa kuzitoa kwa matumizi na finacial reconciliation ilikuwa ni tatizo lililosababisha kuwe na mapungufu ya kimahesabu.
Mkuu hizo pesa hazikupita mfuko mkuu na hyo issue haijaanza jana tokea ripoti 2016/17 mpka ya mwaka jana bado kuna maeneo hyo shida ipo.
CAG amelalamika sana kwenye ripoti zake na akashauri wapewe training na usimamizi uwepo ili kuhakikisha mapato yote ya serikali yanaingia mfuko mkuu.

Sasa hiyo ya kuchelewa ilelezwa wapi? Kwanini 1.5 T ichelewe? Hujui kuna siku 21 za wizara ku adress querry za CAG? Mbona hawakujitetea hivo? Umetoa wapi hii argument ya ajabu!
 
Ok fine kama hazikupitia mfuko mkuu,nisaidie kwanini maridhiano ya kimahesabu yalikubali?

Kuhusu kuchelewa mimi nilikuwa nazungumzia ucheleweshaji wa kutoa pesa kwenye akaunti mbali mbali za hazina na kufanya uhakiki kwa ajili ya matumizi. Na hili ndio lilikuwa tatizo lililosababisha mahesabu yachengane.
 
Back
Top Bottom