zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 23,221
- 37,592
CAG amekagua mchakato wa manunuzi? Kwanini bunge walipoomba forensic auditing mligoma? Mnaficha nni?Ni kweli kaka? Maana mikataba ya Airbus,Dash 8 na Boeing ipo wazi kabisa.
CAG amekagua mchakato wa manunuzi? Kwanini bunge walipoomba forensic auditing mligoma? Mnaficha nni?Ni kweli kaka? Maana mikataba ya Airbus,Dash 8 na Boeing ipo wazi kabisa.
Nilijiunga Nccr Mageuzi,kazi nzuri ya Ccm imenifanya nirudi CcmAu ulikuwa UDP
Ripoti ya CAG inasemaje juu ya governement flight agency? Kuna ufisadi juu ya pesa za manunuzi ya ndege? Au mnataka kupakazia tu?CAG amekagua mchakato wa manunuzi? Kwanini bunge walipoomba forensic auditing mligoma? Mnaficha nni?
Bonge la jibu kwa mleta mada ambaye ni gamba asilia lkn anajifanya alikuwa nccr ndo kajiunga leoHata mimi nitajiunga CCM iwapo watatolewa mafichoni walioiba hii trilioni 1.5 ambayo alisema CAG haipo kwenye mahesabu matumizi ingawaje.
View attachment 1608641
PAC walifuatilia hili suala na kugundua hakuna ufisadi. Acheni ushabiki wa kipuuzi.Bonge la jibu kwa mleta mada ambaye ni gamba asilia lkn anajifanya alikuwa nccr ndo kajiunga leo
Njoo ActWazalendoChadema ushuhudi nderemo vifijo na hoihoi
Changu wa mawingu umeamua kutudanganya kuwa umefanikiwa kujidanganya na kuwa hatimaye umehamia rasmi sasa mboga mboga? Hadithi za sungura na Fisi hizi tegemea uungwaji mkono wa kina bia yetu.Wahenga wanasema chanda chema huvikwa pete,na hili limethibika kuwa Ccm ni chanda chema kwa watanzania.
Niliamua kujiunga na Nccr Mageuzi nikiwa na imani kuwa ni chama ambacho kitakuwa mbadala wa kuiondoa Ccm na kukamata dola.
Ila kuna jambo moja limenifanya nirudi Ccm na hili ni kupambana na ufisadi,kisha pesa zilizokuwa zinaporwa na mafisadi kutumika kuwaletea maendeleo watanzania. Maana sekta ya afya,elimu,miundo mbinu na kila sekta imeimarishwa.
Ila jambo moja muhimu ni kuokoa zaidi ya bil 719 ambazo Iptl na Agreco walikuwa wanalipwa kila mwaka bila sababu ya msingi. Maaana sasa hakuna kampuni kama Iptl au Agreco ambayo inalipwa hizi fedha kifisadi na hakuna mgao wa umeme wala hakuna deal za kupiga pesa kama Richmond n.k.
Kwa ufupi zimebaki siku tano na kwenye karatasi ya kupigia kura Ccm ni namba moja,kwa hiyo naweka tick kwa Ccm na huku chini sipotezi muda kuangalia tena.
Acha kashfa za kilevi.Changu wa mawingu umeamua kutudanganya kuwa umefanikiwa kujidanganya na kuwa hatimaye umehamia rasmi sasa mboga mboga? Hadithi za sungura na Fisi hizi tegemea uungwaji mkono wa kina bia yetu.
Si unajua kuwa uko palepale au hii ni jitihada tu ya kujaribu kutega kunguru kwa maharage makavu?
Changu wa mawingu wengi tunaompango wa kuhamia CCM ikiwa tu uchaguzi utakuwa "free, fair and credible " itakuwa ina maana sahihi kwenu.
Kibongo bongo tunasema "haki."
Uchaguzi ukiwa "huru na wa haki" mbona msishangae hata Lissu na kina Mbowe kuunga juhudi?
Umeamua kurudi kwenye magwiji wa ufisadi. Hivi zile 1.5 trilioni mmezipeleka wapi wakati zilitakiwa ziwasaidie wahanga wa tetemeko? Mayanga Consruction kwanini inapewa tenda zote wakati makampuni mengine yenye uwezo pia yapo?Wahenga wanasema chanda chema huvikwa pete,na hili limethibika kuwa Ccm ni chanda chema kwa watanzania.
Niliamua kujiunga na Nccr Mageuzi nikiwa na imani kuwa ni chama ambacho kitakuwa mbadala wa kuiondoa Ccm na kukamata dola.
Ila kuna jambo moja limenifanya nirudi Ccm na hili ni kupambana na ufisadi,kisha pesa zilizokuwa zinaporwa na mafisadi kutumika kuwaletea maendeleo watanzania. Maana sekta ya afya,elimu,miundo mbinu na kila sekta imeimarishwa.
Ila jambo moja muhimu ni kuokoa zaidi ya bil 719 ambazo Iptl na Agreco walikuwa wanalipwa kila mwaka bila sababu ya msingi. Maaana sasa hakuna kampuni kama Iptl au Agreco ambayo inalipwa hizi fedha kifisadi na hakuna mgao wa umeme wala hakuna deal za kupiga pesa kama Richmond n.k.
Kwa ufupi zimebaki siku tano na kwenye karatasi ya kupigia kura Ccm ni namba moja,kwa hiyo naweka tick kwa Ccm na huku chini sipotezi muda kuangalia tena.
Nonsense.Umeamua kurudi kwenye magwiji wa ufisadi. Hivi zile 1.5 trilioni mmezipeleka wapi wakati zilitakiwa ziwasaidie wahanga wa tetemeko? Mayanga Consruction kwanini inapewa tenda zote wakati makampuni mengine yenye uwezo pia yapo?
Wahenga wanasema chanda chema huvikwa pete,na hili limethibika kuwa Ccm ni chanda chema kwa watanzania.
Niliamua kujiunga na Nccr Mageuzi nikiwa na imani kuwa ni chama ambacho kitakuwa mbadala wa kuiondoa Ccm na kukamata dola.
Ila kuna jambo moja limenifanya nirudi Ccm na hili ni kupambana na ufisadi,kisha pesa zilizokuwa zinaporw na mafisadi kutumika kuwaletea maendeleo watanzania. Maana sekta ya afya,elimu,miundo mbinu na kila sekta imeimarishwa.
Ila jambo moja muhimu ni kuokoa zaidi ya bil 719 ambazo Iptl na Agreco walikuwa wanalipwa kila mwaka bila sababu ya msingi. Maaana sasa hakuna kampuni kama Iptl au Agreco ambayo inalipwa hizi fedha kifisadi na hakuna mgao wa umeme wala hakuna deal za kupiga pesa kama Richmond n.k.
Kwa ufupi zimebaki siku tano na kwenye karatasi ya kupigia kura Ccm ni namba moja,kwa hiyo naweka tick kwa Ccm na huku chini sipotezi muda kuangalia ten
Uliwai kuondoka Ccm lini we mwana lumumba maarufu humu jamvini???Hata mimi nitajiunga CCM iwapo watatolewa mafichoni walioiba hii trilioni 1.5 ambayo alisema CAG haipo kwenye mahesabu matumizi ingawaje.
View attachment 1608641
We ni mgeni humu jamvini?Si
Uliwai kuondoka Ccm lini we mwana lumumba maarufu humu jamvini???
Unajua maana ya Forensic auditing? Unajua CAG anaweza fanya uchunguzi maalum hta nje ya schedule za kawaida?Ripoti ya CAG inasemaje juu ya governement flight agency? Kuna ufisadi juu ya pesa za manunuzi ya ndege? Au mnataka kupakazia tu?
Ni mwenyeji sana. Ndio mana nimekuuliza uliwai kuondoka Ccm lini??We ni mgeni humu jamvini?
PAC ilikuwa mfukoni mwa jiwe na ndugai. Sasa ulitegemea nini?PAC walifuatilia hili suala na kugundua hakuna ufisadi.
Visingizio vya wakosaji.PAC ilikuwa mfukoni mwa jiwe na ndugai. Sasa ulitegemea nini?