Wala Yesu hakuvunja kushika sabato..bali alionyesha jinsi inavyopaswa kuitunza kwa kutenda matendo mema kwa wengine..ndio mana alitolea mfano wa ngombe akidondokea kisimani..kuonyesha yale ya muhimu kwaajili ya kusaidia na kuokoa sio kosa kuyatenda siku ya sabato.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa mujibu wa sheria alivunja, alifanya kazi siku ya Sabato jambo ambali halikuwepo, ndio maana hata katika mashtaka yake hilo lilikuwa kosa mojawapo. kama huelewi kaa kimya. ni mara nyingi amevunja, akaona mnachonga sana hadi akawaambia tulieni mimi ndiye Bwana wa Sabato, yote yaliyokuwa kabla yake yalikuwa kivuli cha kuja kwake kutuokoa kwa kufa kwake msalabani. kifo chake ninatufanya tuendende kwa roho zamani tulienende kwa mwili ndio maana tuliwekewa sheria.

Hata katika akili ya kawaida tu, utaendendaje kwa roho wakati directives zimewekwa kimwili? we no longer live in the physical, roho na mwili haviendani. kwa nguvu za mwili huu (akili zenu za kukariri misrati bila Roho) hamuwezi kumwona Mungu hadi pale mtakapompokea Roho wa kweli akawaongoza kuwatia kwenye kweli yote. why did Jesus tell us kwamba Roho atatutia kwenye kweli yote kama sheria ilikuwa imetosha kutuokoa? kulikuwa na mapungufu, Roho akiwa ndani yako atakuonyesha hata yale yasiyoandikwa kama ni dhambi au la. nikuulize kitu, maporno mnayoangalia kwenye net hayo yapo kwenye Biblia? na kwanini utaiita dhambi? jibu.
 
Sibishani ila nakueleza wazi kuwa..amri kumi hazijawahi kuvunjwa wala kuondolewa na Kristo..na hilo fungu ukitaka kuelewa vizuri kasome vizuri torati ya Mussa utakutana na sabato za kila namna tambua sabato manake ni pumziko..kulikua na sabato ya ardhi kuwa italimwa kwa miaka 6 wa saba isilimwe iachwe ipumzike hizo zilikua sabato pia.

Ila sabato ile ya siku ya Saba haikuwahi kuondolewa kwamwe.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Amri kumi zilikuwa kamilifu au zilikuwa na mapungufu?
 
nimekuuliza hivii, amri kumi zilikuwa kamilifu au hazikuwa kamilifu? mbona unakimbia. jibu hilo swali halafu uone nitakavyokutandika. shida mnasoma kwa kuaririshwa tu kwenye makambi yenu huko.
Zilikua timilifu ndio mana ziliandikwa kwa kiganja cha Mungu mwenyewe.

Hivi unajua kwanini sheria ilibidi ziwe kali kweli kweli kipindi cha Mussa? Nijibu hapa ndio tuendelee.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwenye makambi kule huwa mnaenda kukariri maandiko, lakini hamuyaelewi kwasababu doctrine yenu ni potofu na haiwapeleki njia ya Mungu. siwezi kupoteza muda wangu kuje huko.
Hahaaa..we jamaa hujaamua kujifunza..fungua akili..kwahiyo ruksa tuzini tuuwe..kisa tunaokolewa kwa imani kupitia neema ya Yesu kristo?..naomba nijibu pia hili swali.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa..we jamaa hujaamua kujifunza..fungua akili..kwahiyo ruksa tuzini tuuwe..kisa tunaokolewa kwa imani kupitia neema ya Yesu kristo?..naomba nijibu pia hili swali.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna aliyemaanisha hivyo, ungemjua Roho ungejua kuwa hayo yote huwezi kuyafanya ukiwa nayo kama unaenenda kwa Roho. ila tunachotakiwa kukubaliana hapa sio kwamba kufanya kazi au kutosali jumamosi ni dhami. hapana.

1. Wakolosai 2:16-17 16 Kwa hiyo msimruhusu mtu awahukumu kuhusu chakula au kiny waji, au juu ya kuadhimisha sherehe za dini, sikukuu ya mwezi mpya au siku ya sabato. 17 Maana hizi zilikuwa ni kanuni za muda tu au vivuli vya yale mambo ambayo yangekuja; lakini hakika ya mambo yenyewe ni Kristo.16 Therefore do not let anyone judge you by what you eat or drink, or with regard to a religious festival, a New Moon celebration or a Sabbath day. 17 These are a shadow of the things that were to come; the reality, however, is found in Christ
 
hakuna aliyemaanisha hivyo, ungemjua Roho ungejua kuwa hayo yote huwezi kuyafanya ukiwa nayo kama unaenenda kwa Roho. ila tunachotakiwa kukubaliana hapa sio kwamba kufanya kazi au kutosali jumamosi ni dhami. hapana.

1. Wakolosai 2:16-17 16 Kwa hiyo msimruhusu mtu awahukumu kuhusu chakula au kiny waji, au juu ya kuadhimisha sherehe za dini, sikukuu ya mwezi mpya au siku ya sabato. 17 Maana hizi zilikuwa ni kanuni za muda tu au vivuli vya yale mambo ambayo yangekuja; lakini hakika ya mambo yenyewe ni Kristo.16 Therefore do not let anyone judge you by what you eat or drink, or with regard to a religious festival, a New Moon celebration or a Sabbath day. 17 These are a shadow of the things that were to come; the reality, however, is found in Christ
Basi shika sheria ya Mungu na uenende kwa imani ya Yesu kristo..ili upate kuokolewa kupitia neema ya Yesu kristo..hii ndio haki kwa imani..sheria ipo kama kioo kutounyesha wapi tumeanguka huwezi jiita mkristo huku ukiivunja sheria ya Mungu ikiwamo kushika sabato yake takatifu.

Tuna mwamini Kristo na tunaenenda na sheria kama yeye alivyokuja kuzitimiliza na sio kuzivunja.

Naomba endelee kujifunza na sio kukariri na kushikiria hili fungu ambalo kama hujasoma vizuri torati hiwezi muelewa mwandishi wa hilo fungu

Kwa ufupi tu alikua akiwaeleza kuwa wala wasiawe na hofu kuhukumiwa kwa sababu ya sabato ama vyakula(napoongelea vyakula naomba u refer walawi 11 hivyo ndivyo vyakula halali kwamujibu wa maandiko.)

Lakini hakuwaambia waivunje au wasishike sheria zingine...mind you hakuna excuses kwenye sheria..Yesu alishika sheria zote wewe kama mfuasi wa Yesu ni lazima ufuate alichokienenda kristo.

Karibu kwenye makambi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
um
Basi shika sheria ya Mungu na uenende kwa imani ya Yesu kristo..ili upate kuokolewa kupitia neema ya Yesu kristo..hii ndio haki kwa imani..sheria ipo kama kioo kutounyesha wapi tumeanguka huwezi jiita mkristo huku ukiivunja sheria ya Mungu ikiwamo kushika sabato yake takatifu.

Tuna mwamini Kristo na tunaenenda na sheria kama yeye alivyokuja kuzitimiliza na sio kuzivunja.
Umesoma mstari huo vizuri? Alikuja kutimiliza nini kama ilikuwa imejitosheleza? unajua kiswahili? hivi unaweza kuja kutimiliza kitu ambacho hakikuwa pungufu? kwa matendo ya kufuata sheria kuna mwanadamu yeyote aliwahi kushinda dhambi kabla ya Yesu kuja? ndio maana tunasema hicho kilikuwa kivuli tu, achana na kivuli msikilize Bwana wa Sabato mwenyewe, shida yenu huwa mnapigwa upofu hata tukibishana hadi kesho huwezi kuelewa.
 
Sibishani ila nakueleza wazi kuwa..amri kumi hazijawahi kuvunjwa wala kuondolewa na Kristo..na hilo fungu ukitaka kuelewa vizuri kasome vizuri torati ya Mussa utakutana na sabato za kila namna tambua sabato manake ni pumziko..kulikua na sabato ya ardhi kuwa italimwa kwa miaka 6 wa saba isilimwe iachwe ipumzike hizo zilikua sabato pia.

Ila sabato ile ya siku ya Saba haikuwahi kuondolewa kwamwe.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe kuna sabato zingine ziliondolewa? Zipi?
 
Waislamu kuanzia morogoro Hadi pwani na Tanga na Zanzibar wamekithiri kwa mpalange sio poa

Ukweli mnajitahidi sana kwenye hilo. Musilamu aliyeshika dini sana ya kiislamu anaishi maisha yaliyonyooka kuliko hata mchunganji wa kikristo ama padri aliyeshika dini sana ya kikristo.

Shida watu wa kati kati walioshika dini kidogo. Waisilamu wanakuwa washenz kuliko wakristo
 
Back
Top Bottom