Nimeamua kumuacha salama salmini

Kwaiyo mkuu hapa unatajaribu kusema kuwa uyo mpenzi wako bado anampenda ex wake ryt? Kama umethibitisha hilo basi piga chini
 
Kwaiyo mkuu hapa unatajaribu kusema kuwa uyo mpenzi wako bado anampenda ex wake ryt? Kama umethibitisha hilo basi piga chini
IPO ivyo mkuu sababu anasema wanawasiliana ingawa hawako pamoja though Sion haja ya kuendelea kupoteza muda wangu
 
Ushaongea naye kwenye hilo ? Umefanya uchunguzi wa kina ?
 
Ushaongea naye kwenye hilo ? Umefanya uchunguzi wa kina ?
Kuna mambo hayaitaji uwe na D2 mkuu mwanamke asiyekuwa na msimamo nkupiga chini na ninmpango wa kuja kutafuta mke rushoto uko
 
Huyo bado hajafikia target anakuona wewe km kituo cha.muda
 
mie kama mwanamke kwenye kikao chetu tumeamua tukasema wewe sio muowaji bali ni mzinguaji. nikisoma hapo habari yako kikao kimeamua kusema huna sifa ya kuwa mume
 
Baada ya kuangalia tabia Suala la kuoa ni muhimu pia kujua unaoa kwenye familia ya namna gani, maana familia yake ina mchango mkubwa sana katika kujenga au kuvuruga ndoa yako.
 
Baada ya kuangalia tabia Suala la kuoa ni muhimu pia kujua unaoa kwenye familia ya namna gani, maana familia yake ina mchango mkubwa sana katika kujenga au kuvuruga ndoa yako.
Hakika brow πŸ‘ ni wazo zuri ILO nitaangalia Kwa mwanamke mwingne ila sio Kwa uyu bint
 
Na unaposonga mbele, tafadhali usiangalie viporo ulivyacha nyuma ili ukapashe gentleman, lahasha,

kua makini zaidi,
ili keuga yako isije kukuangamiza mwenewe πŸ’
Akipasha tu imekula kwake mdau huyu kwani wanawake ni wajanja sana hutumia siraha hiyo kupata chochote watakacho. Pia mawasiliano yanapaswa kuvunjwa kabisa maana hawaishi vituko na kumwaga chozi la mamba ziwani.
 
Hakika brow πŸ‘ ni wazo zuri ILO nitaangalia Kwa mwanamke mwingne ila sio Kwa uyu bint
Mi pia nipo kwenye harakati za kuchagua mke nimeshapata option mbili tabia nzuri na familia wanayoyoka ni familia salama ngoja niangalie moyo umependa wapi zaidi nikaoe
 
Ulikuwa haujampenda huyo, vinginevyo ujue kuacha si rahisi hivyo

Huyu majam19 hajamuacha, bali amepata majibu ambayo katika uchumba ni kawaida kupatikana. Kwani siyo kila uchumba uwe ndoa. Hiyo itakuwa ni sawa na kutaka kila mechi unayocheza ushinde. Kitu ambacho siyo mara zote kinatokea. Hata katika ule usemi kila mtu ashinde mechi za uwanja wa nyumbani kwake, ni nadharia tu. Haiko hivyo mara zote
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…