Nimeamua kumpuuza Tundu Lisu

Nimeamua kumpuuza Tundu Lisu

Status
Not open for further replies.
Only if mods wasingeliuondoa uzi huu kwa mara ya kwanza nisingelilazimika kuandika tena leo hii. Nilimpuuza hapo mwanza na nampuuza hata sasa.
Kumpuuza kwani si kitu maana sidhani kama kuna chochote umewahi au unaweza kusaidia ktk shughuli zake za kisiasa. All in all, kama wewe waweza kumpuuza Lisu, unafikiri ni wangapi wanakupuuza wewe? Kila mtu ni mpuuzi ktk jambo fulani na ndiyo maana tunaksoana na kuelekezàna. Tatizo kubwa la Watanzania ni "umimi". Kila siku Mkulu anasema "Mimi....", ccm wanasema "sisi....", na "wao...". Haya mambo ni kwa sababu ya hisia za kibinadamu. Ktk nchi zetu maskini hizi, hakuna mjuzi wala mwelewa wa nini thamani ya hisia zake isipokuwa tu kwa kuwa "fulani, mahali fulani".
 
ulikubali vipande thelathini ukafukuzwa,tulia huko ulipo achana na makamanda.
 
Mbowe na Lowasa wameamua kummaliza Tundu lisu kisiasa bila yeye kujua. Pengine kwakuwa alishindwa kesi ya Kafulila na Wenje hivyo wanataka kumpoka hiyo nafasi ya Mwanasheria wa chama wampe @Bensanane.
 
Kama ni fisadi mpelekeni mahakamani! Mnasubiri nini?

La kwanza,
Natoa shukrani zangu kwa wananchi wa Songwe walionichagua kuwa mwakilishi wao bungeni.

La pili,
Siasa sio Ukigeugeu, leo useme Lowassa fisadi kesho useme ni mtetezi wa wanyonge. Ni wapuuzi pekee ndio wanaweza kufanya siasa za ukigeugeu
 
(Hii ni thread yangu niliyoileta hapa JF tarehe 15 January 2016, kwa bahati mbaya sana mods wakaiondoa...sikutaarifiwa juu ya sababu zao za kufanya hivyo ila naamini yeyote aliyefanya hivyo aliteleza kibinadamu kama inavyotokea kwa wengine. Nimeileta tena leo hili niwajaze maarifa wanajamvi )

TUNDU ANTIPAS LISSU - Mpuuzi niliyeamua kumpuuza.

Tuanze kwa AMANI..

Bwana huyu ameshazoea kuwa kituko "A laughing doll" kwa watu hivyo mara nyingi anapotoa kauli zake "hafikirii" uthabiti na matokeo ya kauli hizo.

Hivi karibuni katika mahojiano yake ktk vyombo vya habari amenukuliwa akimkashifu Mhe Rais, Dkt John Pombe Magufuli kuwa ni mtu anayefanya kazi zake kwa kutaka "headlines" kwenye vyombo vya habari..

Lakini hakuishia hapo, akaeleza kuwa Mhe Magufuli ni mtu asiyefuata Sheria na kanuni za Utawala bora..akitaja kuwa hatua zinazochukuliwa "kusafisha" Serikali na Wezi Serikali ni kinyume na Sheria.

Ni Mpuuzi pekee, anayeweza kusema kuwa kufukuza wezi, wala Rushwa na wahujumu uchumi waliotengeneza mitandao ya wizi serikalini ni Kwenda kinyume na utawala bora...na kisha akadai kuwa CHAMA CHAKE, kinaendelea na mapambano dhidi ya rushwa na wezi Serikalini.

Sioni haya, wala sitaomba radhi, nitasema hili popote pale na SITAFUTA KAULI kuwa kwa ujinga na upofu wa fikra alionao Mhe TUNDU ktk hili yeye ni JIPU miongoni mwa majipu yanayosumbua nchi hii.

Kwa kuwa mimi siungi mkono na nimejitenga mbali na UPUUZI nasimama kumkemea TUNDU kama vile Injili ya Bwana inavyoelekeza wema kukemea UOVU.

Nawatakia Ijumaa njema.

Wenu.

JULIANA.
Use your common sense!, Hii ni nchi na si klabu ya pombe.

Chochote kitakachofanyika lazma kifuate Sheria, kanuni na taratibu zote za nchi tulizojiwekea. Ulitaka nani azitumie hizo sheria???

Hata kama kuna Fisadi , mwizi au jambazi lazima sheria ifuatwe kumhukumu. Acha kukurupuka
 
Ukisikia siasa Chafu sasa ndio hii ,hatujui namna ya kufanya siasa safi.Wewe endelea kuwanyooshea vidole binadamu wenzio ila ukumbuke kipimo hicho hicho unachowapimia wengine nawe utapimiwa ...

Wakati utaamua mengi ..
Amuulize Ombeni sefue hakuna alieinua kinywa kumtetea hata wewe hakutakuwa na mtu wakukutwtea wakati wa anguko lako kuu ambalo liko karibu sanaa Leo mawakili wanalalamika wana ambiwa toka nje!! kaa kule nje ya geti zamu yako inakuja
 
Mbn mmeanza kulia mapema hivi??? Huyu mnaye sana mpaka uchaguzi 2020 ndo mgombea. Mtalia na kusaga meno mwaka huu.

Tundu lissu afanye na nyie mna maboga kwenye shingo badala ya vichwa?
 
Kwa maelezo yako haya; kuna viongozi wengi wa chama chako hili linawahusu. Je, nao wanastahili "sifa" hii uliyompa Lissu?!

Ni vyema ukajifunza kutofautisha siasa chafu na kusema KWELI. Mpuuzi sio tusi bali ni sifa ila ni sifa mbaya ambayo mtu mzima aliyetimia sawasawa kichwani hapaswi kuwa nayo.

Nikieleza kuwa Lissu ni mpuuzi, simtukani bali naelezea moja ya sifa zake kubwa anayojitanabaisha nayo kwa watu.
 
ulikubali vipande thelathini ukafukuzwa,tulia huko ulipo achana na makamanda.
Moja ya sifa ya mpuuzi ni kujipa likizo ya kudumu ya kutafakari, huwa hajiulizi. Analoambiwa analibeba kama zuzu na kulitungia wimbo. Eti umekula vipande "thelathini" ndivyo mlivyolishwa
 
Ushapewa ubunge tena mama tutegemee nini kutoka kwako.? Akili za kwako na Lissu hazilingani we hata kwenye kijiko hazijai. Lissu siyo level zako mtafute Joyce Kiria muanze kurushiana maneno. Mwache mwanaume apambane na udhalimu unaotaka kupandikizwa hapa nchini. We kidosho tu mpiga debe wa wakubwa zako.
 
(Hii ni thread yangu niliyoileta hapa JF tarehe 15 January 2016, kwa bahati mbaya sana mods wakaiondoa...sikutaarifiwa juu ya sababu zao za kufanya hivyo ila naamini yeyote aliyefanya hivyo aliteleza kibinadamu kama inavyotokea kwa wengine. Nimeileta tena leo hili niwajaze maarifa wanajamvi )

TUNDU ANTIPAS LISSU - Mpuuzi niliyeamua kumpuuza.

Tuanze kwa AMANI..

Bwana huyu ameshazoea kuwa kituko "A laughing doll" kwa watu hivyo mara nyingi anapotoa kauli zake "hafikirii" uthabiti na matokeo ya kauli hizo.

Hivi karibuni katika mahojiano yake ktk vyombo vya habari amenukuliwa akimkashifu Mhe Rais, Dkt John Pombe Magufuli kuwa ni mtu anayefanya kazi zake kwa kutaka "headlines" kwenye vyombo vya habari..

Lakini hakuishia hapo, akaeleza kuwa Mhe Magufuli ni mtu asiyefuata Sheria na kanuni za Utawala bora..akitaja kuwa hatua zinazochukuliwa "kusafisha" Serikali na Wezi Serikali ni kinyume na Sheria.

Ni Mpuuzi pekee, anayeweza kusema kuwa kufukuza wezi, wala Rushwa na wahujumu uchumi waliotengeneza mitandao ya wizi serikalini ni Kwenda kinyume na utawala bora...na kisha akadai kuwa CHAMA CHAKE, kinaendelea na mapambano dhidi ya rushwa na wezi Serikalini.

Sioni haya, wala sitaomba radhi, nitasema hili popote pale na SITAFUTA KAULI kuwa kwa ujinga na upofu wa fikra alionao Mhe TUNDU ktk hili yeye ni JIPU miongoni mwa majipu yanayosumbua nchi hii.

Kwa kuwa mimi siungi mkono na nimejitenga mbali na UPUUZI nasimama kumkemea TUNDU kama vile Injili ya Bwana inavyoelekeza wema kukemea UOVU.

Nawatakia Ijumaa njema.

Wenu.

JULIANA.
Lazima utetee chama kinachokufanya uende chooni,Huna utaalamu zaidi ya kusifia anayekupa ugali.Kwakua wewe ni mwanafisadi ccm ni ruksa kutukana watu wazima eti wapuuzi,Ila ingekuwa ni mwanachadema kasema ulichosema vyombo vyote vya dola vingemshukia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom