Siasa Basi
JF-Expert Member
- Jul 10, 2016
- 1,493
- 4,285
Hii elimu Sijui aliipataje hiki kibinti, ninamashaka sana na vidigree vyake
Utamiminiwa mvua huku balaa. Na hivi uko identified kwa jina unalotumia Maenje utapata shida. Subiri gunia la kashfa.La kwanza,
Natoa shukrani zangu kwa wananchi wa Songwe walionichagua kuwa mwakilishi wao bungeni.
La pili,
Siasa sio Ukigeugeu, leo useme Lowassa fisadi kesho useme ni mtetezi wa wanyonge. Ni wapuuzi pekee ndio wanaweza kufanya siasa za ukigeugeu
Pengine wanasubiri ushirikiano wa Mnyika maana akisema ushahidi wote wa ufisadi anao
Mr DAU mbona wanaogopa kumgusa.wamefukuza wakurugenzi wadogo wote...wamkamate Dau tutawaunga mkonoMpuuzi ni yule asioona upuuzi wake na wale wanao mzunguka ,kama huu upuuzi wa kupuuzia Katiba ....
kwani chadema kuna msomi? Full kujuana.Ben amesomea/ni mtaalamu wa sheria?!
Ni aibu andiko hili linatoka kwa mtu ambaye amekuwa akijitambulisha hapa kuwa anafanya phd. Kwa kuwa andiko hili linatoka kwa mtu ambaye amekuwa akijianika hapa kama msomi, basi yaweza kuwa ni aibu pia kwa vyuo vyetu vya elimu ya juu! Kwanza, mtoa mada ameandika uongo; Lisu hajawahi kusema kuwa kufukuza wezi, wala rushwa na wahujumu uchumi ni kwenda kinyume na utawala bora, bali ambacho Lisu amekuwa akikipinga ni hatua hizo kufanyika bila kufuata mkondo wa kisheria. Na kama mwanasheria Lisu anafanya hivyo ili kutimiza wajibu wake wa kulitumikia taifa kama msomi. Ni vizuri mleta mada ambaye amekuwa kila mara akituonyesha hapa cv yake akajitenga na hoja ambazo zitakuwa zinafanya wanajamvi kutilia shaka usomi wake na baadaye kuhitimisha kuwa usomi wa Juliana ni ule ambao kada mwenzake Gambo aliwahi kuuita kuwa ni wa "pichu"!(Hii ni thread yangu niliyoileta hapa JF tarehe 15 January 2016, kwa bahati mbaya sana mods wakaiondoa...sikutaarifiwa juu ya sababu zao za kufanya hivyo ila naamini yeyote aliyefanya hivyo aliteleza kibinadamu kama inavyotokea kwa wengine. Nimeileta tena leo hili niwajaze maarifa wanajamvi )
TUNDU ANTIPAS LISSU - Mpuuzi niliyeamua kumpuuza.
Tuanze kwa AMANI..
Bwana huyu ameshazoea kuwa kituko "A laughing doll" kwa watu hivyo mara nyingi anapotoa kauli zake "hafikirii" uthabiti na matokeo ya kauli hizo.
Hivi karibuni katika mahojiano yake ktk vyombo vya habari amenukuliwa akimkashifu Mhe Rais, Dkt John Pombe Magufuli kuwa ni mtu anayefanya kazi zake kwa kutaka "headlines" kwenye vyombo vya habari..
Lakini hakuishia hapo, akaeleza kuwa Mhe Magufuli ni mtu asiyefuata Sheria na kanuni za Utawala bora..akitaja kuwa hatua zinazochukuliwa "kusafisha" Serikali na Wezi Serikali ni kinyume na Sheria.
Ni Mpuuzi pekee, anayeweza kusema kuwa kufukuza wezi, wala Rushwa na wahujumu uchumi waliotengeneza mitandao ya wizi serikalini ni Kwenda kinyume na utawala bora...na kisha akadai kuwa CHAMA CHAKE, kinaendelea na mapambano dhidi ya rushwa na wezi Serikalini.
Sioni haya, wala sitaomba radhi, nitasema hili popote pale na SITAFUTA KAULI kuwa kwa ujinga na upofu wa fikra alionao Mhe TUNDU ktk hili yeye ni JIPU miongoni mwa majipu yanayosumbua nchi hii.
Kwa kuwa mimi siungi mkono na nimejitenga mbali na UPUUZI nasimama kumkemea TUNDU kama vile Injili ya Bwana inavyoelekeza wema kukemea UOVU.
Nawatakia Ijumaa njema.
Wenu.
JULIANA.
Mtunga sheria wa nchi halafu unakuwa na kauli kama hizi, nishakupuuza kabla hujapuuza!Mbona una vijembe kama mke mwenzangu..?
Kwa kuwa mimi siungi mkono na nimejitenga mbali na UPUUZI nasimama kumkemea TUNDU kama vile Injili ya Bwana inavyoelekeza wema kukemea UOVU.
Mi naamini tena asilimia 100, lakini atakua ni mbuge wa chama tawala tu.Huwezi kuamini muandishi wa thread hii eti ni mbunge.
hivi ulichaguliwa?La kwanza,
Natoa shukrani zangu kwa wananchi wa Songwe walionichagua kuwa mwakilishi wao bungeni.
La pili,
Siasa sio Ukigeugeu, leo useme Lowassa fisadi kesho useme ni mtetezi wa wanyonge. Ni wapuuzi pekee ndio wanaweza kufanya siasa za ukigeugeu
Dikteta uchwara bi tusi?Ni vyema ukajifunza kutofautisha siasa chafu na kusema KWELI. Mpuuzi sio tusi bali ni sifa ila ni sifa mbaya ambayo mtu mzima aliyetimia sawasawa kichwani hapaswi kuwa nayo.
Nikieleza kuwa Lissu ni mpuuzi, simtukani bali naelezea moja ya sifa zake kubwa anayojitanabaisha nayo kwa watu.
Juliana maneno haya unayoyasema kwa usiowapeda yakisemwa kwa mabosi wako wa huko Lumumba mtaandamana kutumia ma RPC & RCO lakini yakisemwa kwa wana ukawa ni kicheko sio ?!
Mkapa alitukana watu hadharani na mkacheka mbona kinyume chake mnawaka. Mnaporusha madongo huku upande wa pili mjifunze kuvumilia
Alafu anapenda sana kuhusisha maandiko ya Mungu Na upumbavu wake. Ana matatizo sana huyu mwanamkeHuyu si ndie aliemfananisha tulia Acksona na Yesu?
Mbona wewe mwenyewe ni kigeugeu lakini watu wamekupotezea tu? Si ni wewe kila siku ulikuwa unaisema vibaya CCM? Mbona ulikula matapishi yako? Usiendelee kujitoa akili, btw hujachaguliwa na wananchi wa Songwe!La kwanza,
Natoa shukrani zangu kwa wananchi wa Songwe walionichagua kuwa mwakilishi wao bungeni.
La pili,
Siasa sio Ukigeugeu, leo useme Lowassa fisadi kesho useme ni mtetezi wa wanyonge. Ni wapuuzi pekee ndio wanaweza kufanya siasa za ukigeugeu
Kazi maalum umeamka...? Shift yangu leo ni asubuhi..? Nikutakie kazi njema..msalimie Mzee Edo kama ameshaamka.Wew unawakilisha wananchi gani hao mwenye akili za bata kama wew, Ubunge wako ulikubali kuinamishwa kwanza, acha kutuletea porojo hapa.
A total Amen to that oneYou have a point Juliana! Ni vigumu sana kuelewa agenda ya CHADEMA! KULETA MISUGUANO ISIYO YA LAZIMA!
Kuna uzi uliletwa wa maendeleo ya kiuchumi au ya Kisiasa... Kipikianze??? Wengi walisema bora tupate maendeleo ya kiuchumi kuliko longolongo nyingi zisizo na tija na watu wenginme kuwa "wenye nchi zaidi katika shamba la bibi"kama awamu iliyopita ( ya JK.. tunaheshimu mafanikio yake ya kisiasa na uchumi.. na watu kumbeza sana. kwamba ni weak.. sasa tumebadilishiwa mbinu.. ya ukali kidogo na nidhamu... tunalalamika) For sure it will hurt more before it becomes better and accepted!
#HapaKaziTu!...
Naomba unisaidie tu mkuu nan Nuru na nan GizaHii haistahili kuwa poll, kumshindanisha Lissu na Juliana ni kumvunjia Lissu heshima. (nuru na giza havichangamani).