Kibo255
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 4,408
- 3,941
Wewe Dada acha uongo umechaguliwa Na wananchi Wa songwe wewe sema nashukuru kwa kuchaguliwa Na wanachama Wa ccm wewe ni mbunge Wa viti maalum tu wananchi wa songwe zaidi ya elfu kumi wapiga kura hawajakuchagua wewe umechaguliwa na wanachama wasiozidi ata elfu moja kwa mada kama hizi uwezi chaguliwa Na wananchi wewe eti injili ya bwana inasema wema ukemea uovu acha kuhusisha maandiko ya bwana Na maandiko yako injili hiyo hiyo inasema ya kaisari mpeni kaisari Na ya Mungu mpeni Mungu Fanya siasa za kujijenga ufike mbali uweke dhamana kwa wananchi Na siyo viongozi Wa chama kisa tu unaakili za kumtukana lisu mbowe Na wengine waliokufunza siasa ukiona mwanafuzi anamtusi mwalimu wake jua Ana matatizoLa kwanza,
Natoa shukrani zangu kwa wananchi wa Songwe walionichagua kuwa mwakilishi wao bungeni.
La pili,
Siasa sio Ukigeugeu, leo useme Lowassa fisadi kesho useme ni mtetezi wa wanyonge. Ni wapuuzi pekee ndio wanaweza kufanya siasa za ukigeugeu