Nimeamua kumpuuza Tundu Lisu

Nimeamua kumpuuza Tundu Lisu

Status
Not open for further replies.
Inawezekana haujaijua "..DOLA.." hakuna mwanadamu katika ulimwengu huu aliye chini ya dola yeyote akaitetemesha dola hiyo...unless otherwise Dola iamue kumpuuza. chezea kila kitu katika maisha lakini usijaribu kuchezea Dola. Wapo waliojaribu, ebu fanya ulizio.

At least nina address kama Mbunge, ila sioni wewe unaongea kama nani..? Kapuku mmoja anayetumia ID fake JF unataka kuninyooshea kidole...unaanzaje..?
Ubunge wa ccm hata kichaa anaweza upata,Dada asiye na adabu mbele ya watu.KAA VIZURI
 
Awali ulikua chama gani na leo upo chama gani?

Ulipokua chama kile unakumbuka maneno yako juu ya chama cha sasa?

Je, wewe siyo kigeugeu?

La kwanza,
Natoa shukrani zangu kwa wananchi wa Songwe walionichagua kuwa mwakilishi wao bungeni.

La pili,
Siasa sio Ukigeugeu, leo useme Lowassa fisadi kesho useme ni mtetezi wa wanyonge. Ni wapuuzi pekee ndio wanaweza kufanya siasa za ukigeugeu
 
Wana ccm wengi wanadhani Watanzania ni wajinga sana, wanadhani tukisikia kiongozi anaongea huwa hatujui maana yake Na WAla kwamba hatuwezi kutafakari kabisa! Mosi ni kwamba unaweza kuwadhibu wezi Kwa kutumia sheria lakini huwezi Kuwa sheria kuwaadhibu wezi Na anayesema tumia sheria uwaadhibu wezi hapingi juhudi yako ya kuwapa wezi adhabu! Lakini Kama tunachukia wezi Na tupo serious zidi Yao mbona Kugumi ilizikwa kifo cha panya???

Pili wanaosema sheria zifuatwe siyo wajinga Mwalimu Nyerere alisema nchi zinaongozwa Na watu lakini watu hao hawaongozi nchi Kwa matakwa yao bali wanaongoza nchi Kwa mjibu WA katiba, Na ndiyo maana wanaapa kuilinda Na kutetea katiba; wasipofuata katiba tunajua wanatusaliti!

Kuna sheria ndani ya katiba ya uhuru WA vyama vya siasa Na kuna sheria Na miongozo ya kudeal Na wezi, sasa Kwa Kuwa wewe unadhamira ya kupambana Na wezi siyo kibali cha kutokufuata sheria hizi Na miongozo hiyo! Tatu Leo uko ccm huwezi kujua Kesho utakuwa wapi? Binadamu hubadirika sana, Lowasa angejua angesimamia sheria mwanzoni za kulinda heshima ya wapinzani! Muda ni hakimu mzuri, Leo imeshiba Kesho kuna njaa! Unatukana Na kudharau Kwa Kuwa unajua Polisi haiwezi kufuata sheria zidi yako!
 
Wapuuzi ni wale wanadhani ni miungi watu, wanatoa matamko kinyume na taratibu na sheria za nchi, wapuuzi ni wale wanao kandamiza democracy wanaodhani eti kufanya mikutano ni uchochezi? Kwa ajili ya nini? Ni wale wanaowakapa mafuta wananchi kwa mgongo wa chupa huku maisha yao yakiendelea kuwa worse, bora ya jana... Wapuuzi ni watu wa kukurupuka mipango hakuna mithili ya nyumbu, sasa hivi kuna migration kwenda Dodoma miwaziri inadhani ni sifa, wafanyakazi wana familia watoto wanasoma, wataishi wapi, watu makini hupanga nani anaondoka leo ataish wapi, ofisi zipo?? TUNDU ANTPAS LISSU anawapinga wapuuziaji hawa...
Wewe umesema kupitia ubongo wako na akili yako. Ebu elewa bandiko la Juliana acha kupayuka.
 
Lakini Lowasa alituambia kwamba hakutakuwa na HARAKATI tena.
 
26.jpg
Sonza.jpg
SHOZA+2.jpg
SHOZA+22.jpg
 
(Hii ni thread yangu niliyoileta hapa JF tarehe 15 January 2016, kwa bahati mbaya sana mods wakaiondoa...sikutaarifiwa juu ya sababu zao za kufanya hivyo ila naamini yeyote aliyefanya hivyo aliteleza kibinadamu kama inavyotokea kwa wengine. Nimeileta tena leo hili niwajaze maarifa wanajamvi )

TUNDU ANTIPAS LISSU - Mpuuzi niliyeamua kumpuuza.

Tuanze kwa AMANI..

Bwana huyu ameshazoea kuwa kituko "A laughing doll" kwa watu hivyo mara nyingi anapotoa kauli zake "hafikirii" uthabiti na matokeo ya kauli hizo.

Hivi karibuni katika mahojiano yake ktk vyombo vya habari amenukuliwa akimkashifu Mhe Rais, Dkt John Pombe Magufuli kuwa ni mtu anayefanya kazi zake kwa kutaka "headlines" kwenye vyombo vya habari..

Lakini hakuishia hapo, akaeleza kuwa Mhe Magufuli ni mtu asiyefuata Sheria na kanuni za Utawala bora..akitaja kuwa hatua zinazochukuliwa "kusafisha" Serikali na Wezi Serikali ni kinyume na Sheria.

Ni Mpuuzi pekee, anayeweza kusema kuwa kufukuza wezi, wala Rushwa na wahujumu uchumi waliotengeneza mitandao ya wizi serikalini ni Kwenda kinyume na utawala bora...na kisha akadai kuwa CHAMA CHAKE, kinaendelea na mapambano dhidi ya rushwa na wezi Serikalini.

Sioni haya, wala sitaomba radhi, nitasema hili popote pale na SITAFUTA KAULI kuwa kwa ujinga na upofu wa fikra alionao Mhe TUNDU ktk hili yeye ni JIPU miongoni mwa majipu yanayosumbua nchi hii.

Kwa kuwa mimi siungi mkono na nimejitenga mbali na UPUUZI nasimama kumkemea TUNDU kama vile Injili ya Bwana inavyoelekeza wema kukemea UOVU.

Nawatakia Ijumaa njema.

Wenu.

JULIANA.

Juliana toka namsikia lissu hajawahi kuzungumza matatizo au maendeleo gani atawaletea wanananchi jimboni kwake
 
nadhani wewe ndo mpuuzi na pengine maisha yako yanategemea sana yale yanayopingwa na Lisu na ndo maana unajitutumua, mwisho wa yote Lisu
ndo atashinda maana hata wale wanaomundama inanyesha wazi hawazijui sheria za nchi hii japo ni watawala wetu na tunawapenda tu tena kwa dhati lakini watumie sheria na katiba maana ndo hiyo waliapa kuilinda na katiba hiyohiyo ndo inaruhusu mikutano ya vyama vya siasa, sasa upuuzi wa au kosa la Lisu liko wapi. mleta maada wewe ndo mpuuzi kaisome katiba hasa kipengele kinachohusu vyama vya siasa. Je umewahi kujiuliza ni kwanini hata mahakama yenyewe inashindwa kumtia Lisu hatiani? ni police tu na hao watawala ndo wanaona Lisu anavunja sheria ila ukimshitaki kisheria mda wote mahakama imeshindwa kuona ni sheria ipi amevunja na ndiyi maana siku police wamekuwa wakishindwa kesi kwakuwa wao wanatumika zaidi na watawala badala ya kufuata sheria.
 
Mpuuzi juliana na ubunge wa asante! Iv bila wew kuwepo cdm na kufukuzwa, unafkr leo ungepewa ubunge?
 
Kuhusu uvumilivu nadhani u-mdogo hukushuhudia viongozi wavumilivu kwenye hii nchi. Hawakuwahi kutokea wavumilivu mfano wao...lakini hawakutendewa wema, people took advantage ya uvumilivu wao, they even confuse tolerance to weakness. Acha tu yawakute...
Juliana u binti yangu swala la udogo nitoe I am 57 now. Mi nakuuliza wanaporusha matusi hao jamaa zako sijawahi kuona hata viongozi wa dini wakikemea lakini kinyume chake utawaona na hata Msajili wa vyama utamsikia. Hapa upuuzi uko wapi ?! Msilolipenda msiwatendee wenzenu

Kuhusu uvumilivu wa Kikwete wacha historia itahukumu
 
Juliana umaonekana unamchukia Tumdu Lisu. Mtukanaji unamaliza na maneno ya Mungu unapoteza muda.
 
La kwanza,
Natoa shukrani zangu kwa wananchi wa Songwe walionichagua kuwa mwakilishi wao bungeni.

La pili,
Siasa sio Ukigeugeu, leo useme Lowassa fisadi kesho useme ni mtetezi wa wanyonge. Ni wapuuzi pekee ndio wanaweza kufanya siasa za ukigeugeu
niliuliza na narudia kuuliza tena.inakuwaje umerejea ccm lakini matamko yako mengi unaongelea CHADEMA? nakwambia tena,ukiona mke ameachana na mume na akaolewa na mume mwingine lakini kila mara anamuongelea yule mume wa mwanzo ujue bado anampenda.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom