Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi


M

Mzee Mukaruka

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2012
Messages
366
Likes
125
Points
60
M

Mzee Mukaruka

JF-Expert Member
Joined Jun 18, 2012
366 125 60
mkuu ulifanya maamuzi mazuri sana mkuu
Swali ni kwamba unalima kwa kutegemea hii mvua ya Mungu wetu au unamwagilia!? Hilo moja, pili ni muwa je umesahawahi kulima? Na uana wataalam wowote in this noble initiative? Ni vizuri kuyaangalia hayo pamoja na mambo mengine mengi ya kitaalamu ili ushinde Elnino! Bye for now
JF

Hali ya uchumi ni ngumu sana kwa watu wote hasa tunategemea mwisho wa mwezi. Weekend nilijaribu kupiga hesabu za mishahara yangu in next 10 years....ooooooooooops hazikufika hata 500millions Tshs.

Kwa maneno mengine kama sintantafuta kitu mbadala mbali na mshahara wangu cha kufanya basi nishakufa maskini na sintakuwa na chochote cha kuwaachia wanangu.

Maisha ni magumu sana kadri siku zinavyoenda mbele, sasa nimeamua kuanza kilimo kwa mara ya pili, awamu hii natumia mshahara wangu kama mtaji, nimewaambia kwa mara ya pili sababu kilimo cha kwanza nilifanya pamoja na wazazi wangu hadi nilipomaliza form four miaka hiyo, hicho hakikuwa na manufaa yeyote sababu ya mtaji na ufahamu.

Kwa sasa nimeanza na heka 50 ( 70m by 70m), nipo morogoro - pale Tuliani. Heka zote zimeshalimwa sasa tunapanda - nita expand my project up to 1,000 in next 3 - 5 years.

Makadirioni kwamba kila hekari average ni gunia 30, nitategemea kupata gunia 1500 za mahindi kutokana na hekari zangu za sasa 50. Kila gunia average selling price ni Tshs 60,000. kwa hiyo nitapata average Tshs 90m by July this year.

Running cost itakuwa approx 5m, so super profit ni 85m by July 2010.

Sasa 85m kwa mtu anayepokea sh 1million kwa mwezi ni mshahara wake wa miaka 7 na ushee-- teh teh teh teh

By next year nitaexpand to 200 hektas, nitalipima shamba langu na nijaribu kutafuta mikopo katika mabenki - or mbia toka SA au Zimbabwe. by 2015 wakati Dr Slaa anakuwa Rais wa nchi nitakuwa millionea. Sasa ole wenu mseme nimefanya ufisadi.

This is a challenge to you JF - hasa mnaopata less than 5m per month - think twice and join me.

Kumbuka shairi la darasa la nne - Kama mkitaka mali mtayapata shambani - huu ni wosia.
ELNINO, sijapitia uzi wako kwa muda mrefu tangu ulipouleta hapo 2010. Leo ni 2018, kwa kweli binafsi nitafurahi na kuhamasika sana kujua maendeleo ya mradi huo leo - yaani miaka minane (08) tangu ulete uzi huu. Ni ombi tu ili tujue feedback na maendeleo yako katika kilimo hiki huko TULIANI. Nia ni kutaka tujue UMUHIMU wa kilimo in our economy as individuals and as a NATION. By the way ardhi bado ipo huko Tuliani, yaani ya kununua na ni bei gani kwa sasa kwa ekari moja?
 
Daud1990

Daud1990

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2014
Messages
5,134
Likes
6,584
Points
280
Daud1990

Daud1990

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2014
5,134 6,584 280
Nawakumbusha tu, kwa sasa ukiweza kuuza gunia la mahindi zaid ya 25,000 umshukuru mungu
 
K

Kasote

Member
Joined
Jul 27, 2018
Messages
25
Likes
12
Points
5
K

Kasote

Member
Joined Jul 27, 2018
25 12 5
Jamani wana JF; tunauza vifaranga vya kienyeji PURE; mbegu toka Morogoro; Mbeya; Iringa; Dodoma na Morogoro: Pia tunatotoresha mayai aina zote kwa 8,000 kwa tray. Tuwasiliane kwa PM au piga 0682 231053
 
jerrybanks

jerrybanks

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Messages
572
Likes
626
Points
180
Age
26
jerrybanks

jerrybanks

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2017
572 626 180
Jamani wana JF; tunauza vifaranga vya kienyeji PURE; mbegu toka Morogoro; Mbeya; Iringa; Dodoma na Morogoro: Pia tunatotoresha mayai aina zote kwa 8,000 kwa tray. Tuwasiliane kwa PM au piga 0682 231053
Hivyo vifaranga mnaviuza kwa shiling ngapi?
 

Forum statistics

Threads 1,212,851
Members 461,778
Posts 28,457,162