Patrick singano
New Member
- Oct 19, 2019
- 4
- 0
Vzr sanaSorry - ni mahindi mkuu. then baadaye nitafikiri kuweka maharage. ile sehemu ina rutuba sana hakuna haja ya kutumia mbolea ya aina yoyote.
Vzr sanaSorry - ni mahindi mkuu. then baadaye nitafikiri kuweka maharage. ile sehemu ina rutuba sana hakuna haja ya kutumia mbolea ya aina yoyote.
Hakuna mahindi ya dodoma kule kumepauka sana,dodoma wanalima zabibu,Mahindi ni ya Manyara Hasa wilaya ya Kiteto,dodoma hasa soko la kibaigwa wanachofanya nikununua mahindi toka kiteto nakufanya stockHalafu wakuu nimesikia kuwa mahindi ya Dodoma yanatoa unga kilo nyingi yakisagwa kuliko mahindi ya sehemu zingine.
Na kwamba mahindi ya Mbeya (na nyanda za juu kusini) unga wake ni mtamu kuliko mengine.
Kwa hiyo nikasikia kuwa mahindi ya Dodoma huwa yananunuliwa kwa bei kubwa, na yanawahi kuisha sokoni.
Swali je:
1. Hayo maneno ni kweli?
2. Kama ni kweli, je sababu ni nini? - Hali ya hewa au aina ya mbegu au vyote? Mfano unaweza ukapanda mahindi ya Dodoma Mbeya na vice versa?
Kwa nini umechoka ajira mkuu?Mr. ELNIN0 Naomba mrejesho hapa Tafadhali? Mimi pia nimechoka na ajira
Kwa nini umechoka ajira mkuu?
mlejesho aliletaga mkuu. Alianguakia pua akaamua kuwa mnunuzi wa mahindi kwa wakulima.Mr. ELNIN0 Naomba mrejesho hapa Tafadhali? Mimi pia nimechoka na ajira
mlejesho aliletaga mkuu. Alianguakia pua akaamua kuwa mnunuzi wa mahindi kwa wakulima.
Ndugu kwenye ajira kuna changamoto kama zilivyo kwenye kilimo na Biashara nyingine. Changamoto za kwenye ajira hazifanani kabisa.
Changamoto za kwenye ajira ni kama zile za mke na mume ambazo mara nyingi ni siri, Changamoto za ndoa A hazifanani na changamoto za ndoa B.
Elewa tu kwamba kila mtu ana changamoto zake katika ajira, Director hawezi kuwa na changamoto zinazifanana na asistant accountant.
Ningependa kufanya hizi changamoto zangu kuwa siri.
Na pia kutaka kuingia kwenye kilimo sio kwamba nakimbia changamoto yawezekana huko ndio kwenye changamoto zaidi ndio maana nikaomba mresho wa bwana ELNIN0
MKUU ELNIN0 NAKUITA KWA MARA YA PILI NAOMBA MREJESHO
Sawa mkuu,niliuliza hivyo sababu kilimo ndugu yangu kimenipa stress za kutosha na mimi niliacha kazi nikaja kwenye kilimo aisee ni hatari sana yani kuna muda mwili mzima ninasikia una baridi kali na wakati kuna joto la kutosha.Ndugu kwenye ajira kuna changamoto kama zilivyo kwenye kilimo na Biashara nyingine. Changamoto za kwenye ajira hazifanani kabisa.
Changamoto za kwenye ajira ni kama zile za mke na mume ambazo mara nyingi ni siri, Changamoto za ndoa A hazifanani na changamoto za ndoa B.
Elewa tu kwamba kila mtu ana changamoto zake katika ajira, Director hawezi kuwa na changamoto zinazifanana na asistant accountant.
Ningependa kufanya hizi changamoto zangu kuwa siri.
Na pia kutaka kuingia kwenye kilimo sio kwamba nakimbia changamoto yawezekana huko ndio kwenye changamoto zaidi ndio maana nikaomba mresho wa bwana ELNIN0
MKUU ELNIN0 NAKUITA KWA MARA YA PILI NAOMBA MREJESHO
Sawa mkuu,niliuliza hivyo sababu kilimo ndugu yangu kimenipa stress za kutosha na mimi niliacha kazi nikaja kwenye kilimo aisee ni hatari sana yani kuna muda mwili mzima ninasikia una baridi kali na wakati kuna joto la kutosha.
Inafikia kipindi nina natamani sana ile kazi niliyokua nimeajiriwa japo ilikua na changamoto zake nyingi mno.
Njoo kilolo.. Kutoka ipogoro km arubani. Na nauli kutoka ipogoro ni elfu 2 mia 5.Wajamii wa iringa maeneo ya Mafinga natafuta mashamba jamani msimu wa kilimo umefika
Ni kweli kabisa vyeti vinazingua sana na unajiona kama vile unapoteza professional yako kama sio kusahauPole sana Mkuu, Hakuna pasipo na changamoto.
Kiukweli waliotoka kutokana na kilimo ni wachache sana ambao ninao wajua mimi kulinganisha na walio feli.
Ila kilimo sana sana ni kujipanga na aina ya mazao unayolima na iwe commercial kweli kweli, Heka tano za mahindi ni stress tu angalau ukinzia 15 and above kidogo inaleta utofauti na wanaolima kwaajili ya mahitaji ya nyumbani tu.
Ninaamini kama una mtaji wa kutosha kukuwezesha kilima cha kisasa itakusaidia kuliko hichi kilimo cha kutegemea mvua.
Ninaamini kabla hujaendfa kwenye kilimo ulipitia shuhuda kama hizi pamoja na majarida mbalimbali kuhusu kilimo husika.
Maisha ni mapambano mkuu usikate tamaa kama ulianguka kwenye kitunguu jaribu kwenye nyanya kama ulianguka kwenye nyanya jaribu Tangawizi.
Mimi najua tatizo lipo kwenye vyeti vyetu vya shule vinatupa woga.
Kilolo sehemu gani?upande wa kule ilula au dabaga,mwanzi,pomerini,boma la ng'ombe, mawambala?Njoo kilolo.. Kutoka ipogoro km arubani. Na nauli kutoka ipogoro ni elfu 2 mia 5.
Kata yotee ya mtitu.. Na huku juu (Lulanzi na kuendelea) ndio bora zaidioKilolo sehemu gani?upande wa kule ilula au dabaga,mwanzi,pomerini,boma la ng'ombe, mawambala?
Kule kote ruaha si imepita?,masika wanalima mazao gani kwa sasa?Kata yotee ya mtitu.. Na huku juu (Lulanzi na kuendelea) ndio bora zaidio
Last time nilienda kilolo kufanya biashara ya nguzo na mbao japo mambo hayakwenda sawa.Njoo kilolo.. Kutoka ipogoro km arubani. Na nauli kutoka ipogoro ni elfu 2 mia 5.
Nina eka kibaoo kilolo (Lulanzi na Luhindo) karibu nikukodishe kadhaa..Kilolo sehemu gani?upande wa kule ilula au dabaga,mwanzi,pomerini,boma la ng'ombe, mawambala?
Mazao yotee.. Kama muda huu nipo huku ni maandalizi ya mashamba.. Maana TMA wamesema utabiri wa mvua ni katikati ya November.. Then tunaiwahi mvuaKule kote ruaha si imepita?,masika wanalima mazao gani kwa sasa?
Nimeanza kilimo rasmini mwaka Jana... Na LAZIMA NITOBOE..Pole sana Mkuu, Hakuna pasipo na changamoto.