NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,288
- 12,789
Baada ya Simba sc kudroo na Asec Mimosa kitu ambacho mashabiki hawakutegemea kuwa Simba sc ingedondosha pointi mbili muhimu kwa mkapa.
NALIA NGWENA nilipata kusikia sauti na mayowe na kushuhudia namna mashabiki walivyovurugwa na kuchafukwa mbaya zaidi mashabiki walikaa nje ya lango la uwanja wa Benjamin na kufanya kazi ya kuzomea kila gari linalo nje wakiamini hayo ni magari ya viongozi wa Simba sc.
Shabiki 1: "hii timu inatuumiza sana mashabiki wachezaji wanacheza Kama vile wametoka Gest kulala na mwanamke hawapofit kabisa hii inakera sana.
Shabiki 2: "laiti Kama HANS POP (RIP) angekuwepo haya maswala ya wachezaji kucheza mpira pasipo kujituma yasingekuwepo"
"Hans Pop Kama mchezaji unacheza chini ya kiwango alikua mkali kweli kweli alikua anawafata wachezaji kwenye VYUMBA vya kubadilishia nguo Kisha anafoka sana''
"Nakumbuka Kuna siku moja Rally Bwalya na Miqson walicheza chini ya kiwango Na Hans Pop aliwafata akawauliza nini kinachowafanya mnacheza chini ya kiwango!?
"Saivi viongozi wa Simba sc wanaangalia maslahi Yao timu inatumbukia kwenye shimo wao wapo kimya tu mpaka wachezaji wanacheza wanavyotaka wao na MSHAHARA wanapata kiufupi viongozi wa Simba sc wajiuzulu tu watuachie timu yetu.
"Walimpiga Vita Barbara Gonzalez maana alikua anaziba mianya ya wapigaji wakamfanyia Figisu mpaka wakamtoa ni Bora huyo CEO wa Zamani (Barbara Gonzalez) arudi huyo CEO wa saivi haeleweki anafanya Nini.
"Barbara Gonzalez arudishwe! Arudishwe ! Arudishweeeee.
Hayo ni maneno ya mashabiki walizungumza kwa hasira sana kwa kumkumbuka Hansi Pop na kuomba Barbara Gonzalez arudishwe Simba sc kwani wanaamini ni mtendaji Bora na mwadilifu.
Nawasilisha taarifa.