Nimeamua kubadili brand ya simu rasmi

Source gani unataka? Soma hizo simu zimeandikwa wapi zimetengenezwa.

Pia mie naishi hapa New Delhi na ninazitumia. Unataka source ya Wikipedia ama?
ni kampuni ya kichina, sio ya india.

na jamaa anaishi Tanzania, kanunua moshi haimaanishi oppo ni kampuni ya moshi.

hapo india si iphone zipo, Apple ni kampuni ya india?

OPPO Electronics - Wikipedia
 
Sina uwezo wa kununua simu ya $900
hamia Xiaomi....

Hapa nina Redmi note 4 ina week mkononi Brand new phone nimenunua Online kwa $161 madukani hapa Bongo kule Posta ni 750k au tizama Jumia market utaona simu hii ni Khatarii

Xiaomi Wakifika Tanzania TECNO watahama simu zao ni SUPER QUALITY

Tecno simu ambayo hata Ukiitafuta Gsm arena haipo wala Phone arena

wala si Amazon ,ebay wala Aliexpress wala Alibaba...HAKUNA TECNO kabisa

simu gani hiyo?
 
Iphone ni parefu.... Tecno ni majanga nashindwa kuelewa mleta thread aliwezaje kuwavumilia mda wote huo....

Samsung pamoja na kutengeneza mabomu ila siwahami ng'o...... Ndiyo kwanzaa nimechukua Samsung Galaxy S7 Edge... Ipo tu kwenye droo nimeipumzisha.....
 
19d501ea70e33b695e5998ba03be4cd9.jpg
 
Tecno ni kampuni ya sim ambayo haina hata makao makuu....

Bajeti yao ya utafiti siamini kama inafikia milion 2.... Siamin kama yupo mtu wa kunishawishi kutumia techo
 
Iphone ni parefu.... Tecno ni majanga nashindwa kuelewa mleta thread aliwezaje kuwavumilia mda wote huo....

Samsung pamoja na kutengeneza mabomu ila siwahami ng'o...... Ndiyo kwanzaa nimechukua Samsung Galaxy S7 Edge... Ipo tu kwenye droo nimeipumzisha.....
We ni mfia samsung basi...ha ha ha!
 
hamia Xiaomi....

Hapa nina Redmi note 4 ina week mkononi Brand new phone nimenunua Online kwa $161 madukani hapa Bongo kule Posta ni 750k au tizama Jumia market utaona simu hii ni Khatarii

Xiaomi Wakifika Tanzania TECNO watahama simu zao ni SUPER QUALITY

Tecno simu ambayo hata Ukiitafuta Gsm arena haipo wala Phone arena

wala si Amazon ,ebay wala Aliexpress wala Alibaba...HAKUNA TECNO kabisa

simu gani hiyo?
Kula nchi mkuu
 
Back
Top Bottom