Nimeamua kubadili brand ya simu rasmi

Baada ya kuwa mshabiki wa kampuni ya simu pendwa za tecno kwa kipindi kirefu, nmefanikiwa kubadili brand na kuhamia Oppo phones.

Hii imetokana na Tecno kutubadilishia gia angani kwa kuuza simu zenye ubora mdogo kwa pesa ndefu kuliko dhamira halisi iliowaingiza sokoni. In short wanabadili makasha ila mostly hardwares wanazotumia ni cheap sana na hawaoneshi nia ya ku improve zaidi ya kubadili kamera tu kila siku.

Kuanzia leo sitaki hata kusikia habari za tecno, nimekuwa very satisfied na brand ya oppo phones.

Nmenunua oppo a33f na bibie nimemnunulia a37f. Camera excellent, battery optimization hatari sana, soc ni sawa na highend phone brands ni qualcomm sio mediatek, ram optimization safi, storage iko fast pia haijai haraka kama kule.

Tukija kwenye bei ni as cheap as hizo tecno ila unapata kitu nzuri zaidi aisee. Najua kuna wale mliochoshwa na tecno ila hamna mbadala nawashauri chekini oppo phones wako tununu!

Regards,
Extrovert.

Cc: Chief-Mkwawa

A37f
View attachment 501226

A33f
View attachment 501227
Oppo na Vivo ni very advanced phone...ukitumia vivo utapenda sana
 
Oppo ni mali ya wahindi. Wanayo brand nyingine inaitwa VIVO last eddition ni V5. Ipo kama I PHONE.
 
Kwa nini wanaondoa removable batteries wakati batteries za smartphone bado hazijafika uwezo wa kwenda 24 hours bila recharge?

Wengine tunakwenda kwenye utafiti misitu ya Guatemala huko au kuchimba mafuta kwenye nyanda za Uzbekistan hakuna umeme huko for days. Removable batteries muhimu sana kwetu.

Nilikuwa naongea na jamaa mmoja anafanya kazi kampuni ya simu akasema wanaogooa simu kuharibiwa na watu wasiojua kufungua na kubadilisha battery wakati zikiwa kwenye warranty.

It's a freaking tyranny.

Mimi simu ambayo haina removable battery na micro sd card slot (preferably easily accessible) naona ina mapungufu makubwa sana.

Nasoma hii articke on the subject.

One of the original signature features in Android phones is all but dead

Kuna ujinga mkubwa sana wanausema. Eti watu wanataka simu nzuri na simu nzuri haziwezi kuwa na remivabke batteries.

Moja, hiyo ni design challenge tu. Wameshindwa kazi.

Pili, hivi ukiwa na simu nzuri ambayo huwezi kuitumia jwa sababu battery imekwisha, huo uzuri wa battery utakusaidia nini?
Nunua powerbank mkuu usijipe stress
 
Nunua powerbank mkuu usijipe stress
Powerbank ukimaliza betri unatumia muda kupata charge upya,wakati ukiwa na battery ushalichaji unabadilisha tu battery.

Sasa kwa nini utembee na powerbank wakati unaweza kuwa na several batteries ziko charged tayari?

Tuseme naenda Guatemala vijijini huko, nikiwa na batteries zangu tatu nakaa siku tatu bila kuhitaji umeme.

Powerbank haiwezikunipa uhuru huo.

Ninazo heavy duty, sio kwamba sina.
 
Back
Top Bottom