Nimeamua kubadili brand ya simu rasmi

Nimeamua kubadili brand ya simu rasmi

hamia Xiaomi....

Hapa nina Redmi note 4 ina week mkononi Brand new phone nimenunua Online kwa $161 madukani hapa Bongo kule Posta ni 750k au tizama Jumia market utaona simu hii ni Khatarii

Xiaomi Wakifika Tanzania TECNO watahama simu zao ni SUPER QUALITY

Tecno simu ambayo hata Ukiitafuta Gsm arena haipo wala Phone arena

wala si Amazon ,ebay wala Aliexpress wala Alibaba...HAKUNA TECNO kabisa

simu gani hiyo?
kwa website gani umenunua from china directly?
 
Oppo ni copycat ya iPhone...

Ni simu nzuri sana... Sio China tu bali UK zinauza sana na nchi nyingine kama Australia.

Tecno Wereva hazitambuliki kabisa kimataifa... Hata ukicheki reviews za simu kuanzia GSMARENA,CNET,PHONEDOGS,PHONEARENA,TECHRADAR na nyingine kibao... Tecno haitambuliki.

Kiufupi hata China kwenyewe Tecno hawaitambui.

Enjoy OPPO.
 
Mkuu nimekupata vizuri na ni kama umenisaidia kufanya maamuzi. Nimeshinda nkisearch mindaoni budget phone ya around hiyo pesa nikapata Horor 6X, Samsung J7 prime na hiyo Redme Note 4.

Nafikiri ni vyema ukanisaidia pia kujua umetumia soko gani kati Amazon, ebay, alibaba au upi.

Pia process za kuagiza mpaka ifike inachukua siku ngp? Na vp kuhusu kodi?
 
Hilo ni kweli nakumbuka wakati na-root tecno ilinipa shida kweli maana inashindwa kutambuliwa
 
Baada ya kuwa mshabiki wa kampuni ya simu pendwa za tecno kwa kipindi kirefu, nmefanikiwa kubadili brand na kuhamia Oppo phones.

Hii imetokana na Tecno kutubadilishia gia angani kwa kuuza simu zenye ubora mdogo kwa pesa ndefu kuliko dhamira halisi iliowaingiza sokoni. In short wanabadili makasha ila mostly hardwares wanazotumia ni cheap sana na hawaoneshi nia ya ku improve zaidi ya kubadili kamera tu kila siku.

Kuanzia leo sitaki hata kusikia habari za tecno, nimekuwa very satisfied na brand ya oppo phones.

Nmenunua oppo a33f na bibie nimemnunulia a37f. Camera excellent, battery optimization hatari sana, soc ni sawa na highend phone brands ni qualcomm sio mediatek, ram optimization safi, storage iko fast pia haijai haraka kama kule.

Tukija kwenye bei ni as cheap as hizo tecno ila unapata kitu nzuri zaidi aisee. Najua kuna wale mliochoshwa na tecno ila hamna mbadala nawashauri chekini oppo phones wako tununu!

Regards,
Extrovert.

Cc: Chief-Mkwawa

A37f
View attachment 501226

A33f
View attachment 501227
SAMSUNG for life beibeeee!!!
 
Mkuu nimekupata vizuri na ni kama umenisaidia kufanya maamuzi. Nimeshinda nkisearch mindaoni budget phone ya around hiyo pesa nikapata Horor 6X, Samsung J7 prime na hiyo Redme Note 4.

Nafikiri ni vyema ukanisaidia pia kujua umetumia soko gani kati Amazon, ebay, alibaba au upi.

Pia process za kuagiza mpaka ifike inachukua siku ngp? Na vp kuhusu kodi?
kuagiza nilichukua Aliexpress imenigharimu $161 yaani $150 cost ya simu na $10 transport

Kutuma mpaka Bongo ni Wiki 2 au 2 na nusu tu inafika na wanatoa Tracking kwa kutumia Singapore post

La msingi uwe na yafuatayo

1.Uwe na Card ya benk yenye Mastercard/maestro

2.uwe umesajiliwa kununua vitu mtandaoni na benki yako

3.uwe na akaunti Mtandao wa manunuzi kama Aliexpress au ebay (EBAY ghali kiasi ukilinganisha na Aliexpress) na uweke Physical adress kule ambayo ndo unapokelea mzigo

5.Kodi inategemea ila wachina by default vitu kuja africa wanaandika $20-$40 na wana disguise kama media player sio simu (kodi sio rahisi kulipa maana inakuja kama Registered parcel)
 
kwa website gani umenunua from china directly?
Aliexpress ila kama hujawahi nunua ndo mara yako ya kwanza nicheki PM nikufundishe usije boronga

ila ni 100% safe and secure mtandao ule kama ushawahi fanya manunuzi online
 
kuagiza nilichukua Aliexpress imenigharimu $161 yaani $150 cost ya simu na $10 transport

Kutuma mpaka Bongo ni Wiki 2 au 2 na nusu tu inafika na wanatoa Tracking kwa kutumia Singapore post

La msingi uwe na yafuatayo

1.Uwe na Card ya benk yenye Mastercard/maestro

2.uwe umesajiliwa kununua vitu mtandaoni na benki yako

3.uwe na akaunti Mtandao wa manunuzi kama Aliexpress au ebay (EBAY ghali kiasi ukilinganisha na Aliexpress) na uweke Physical adress kule ambayo ndo unapokelea mzigo

5.Kodi inategemea ila wachina by default vitu kuja africa wanaandika $20-$40 na wana disguise kama media player sio simu
So hiyo $161 inajumuisha gharama zote au haujahesabu kodi? Na kodi inalipwaje TRA?
 
Back
Top Bottom