Pale Lubumbashi ni hatari sana,ukifika tu maeneo yale unahisi kabisa hauko salama..unaona kabisa kama upo peponi hivi🤣
Mkuu,
Hiyo Lubumbashi iko maeneo gani? Huwa naisikia tu ...
 
Nawasalimu ndugu zangu

Huu uzi ni sawa na mrejesho wa uzi wangu uliopita juu ya sintofahamu yangu kuhusu upatikanaji wa Dada poa maeneo ya Mbezi Mwisho

Nawashukuru wadau walichangia, wakanielekeza machimbo. Nami nilihakikisha nafika ili nipate mbususu, basi nilifika eneo hilo Lubumbashi Bar.

Kwanza ni bar local sana, niliingia mle ili kudadisi, nikaagiza zangu kamunyweso huku nikiendelea kudadisi , mziki mkubwa watu wengi mle ni vijana wenye umri wa kati 25 hadi 30 hivi cha ajabu wanakunywa pombe kali smart Gin, Konyagi, K-vant na hata double kick

Nilishangaa sana, sijawahi kushuhudia Bar kuna smart Gin au Double kick zaidi wale vijana ukiwadadisi bado wanapambana ( wako chini ya dollar moja) sasa nikaanza kujiuliza kuna ulazima wa kunywa pombe while still una struggle for food, kilichonisikitisha zaidi kuona akina mama wenye mimba kabisa nao wakiserebuka

Kwangu mimi likawa jambo geni Basi nikaanza kudadisi maeneo ( chimbo la malaya) kuna mdau akanielekeza kuna ka uchochoro fulani aisee sikuamini macho yangu, nilikutana na wadada wamechoka, wajawazito , wanavuta sigara, wamejichubua, wachafu hakika nilitokwa na machozi labda kwa sababu mimi machimbo yangu ya Sinza( African sana) na Tabata ( small planet) kuna malaya safi na smart.

Basi kupita tu yale maeneo, nilijiona kama nina laana, sistahili mbele ya jamii. Nimeamua kuachana kabisa na hii desturi ambayo nimeishi nayo miaka mingi sana,

Nawaaga kwenye chama, naanza kujifunza kutongoza
Ukiwa Tabata kuna mademu smart sana hasa wenye vyumba vyao binafsi, na hata wengine huwa wanalalamika kuwa kuna wadau sio smart wakija kupata huduma.
 
We ulijichanganya kiboya sana... Mbezi mwisho kuna sehem gani ya maana? Ulitakiwa uje hii njia ya Goba ndo utakuta sehemu za maana na watu wa maana... Ila nadhani ilikua njia yako ya kuacha hizo tabia ndo maana ukaelekezwa huko
 
Jana si niliwachana kwamba nilikuwa na dada poa,? Kwa jina lingine ni Malaya si mnakumbuka? Sasa yule demu ni mnene ila si sana ila shida ni mvivu kweli aisee kwahiyo nimejuta sana kwanza pesa nimepoteza nimejuta sana kwasababu nilimcash 50000 kwa usiku mmoja aisee

Kwahivyo pesa imeenda bure na mimi huuu ujinga wa utelezi naomba napoteza nguvu na pesa ni ujinga tu bora nioe tu sitaki Malaya tena.
 
Unaenda vichochoroni huko kwa wahuni

Na ukipigwa bisu sisi tukikupeleka kijijini kwenu tunamwambia mama yako ukweli hatusemi uongo

Hatujali cha kusitiri maiti wala nini ..
 
Ni muda mrefu umepita tangia kuachana na yule aliyeniambia anataka nimtumikie kama malkia Kisha nikachukua uamuzi wa kuondoka kwake Kwa speed ya 5G.

Japo tulipishana nilimkumbuka Kwa mambo aliyokuwa ananipa kwenye SITA Kwa SITA.Kila nikimuwaza mashine hiyo imesimama DEDE.Nikajitafakari na kuona kuliko kujichukulia Sheria mkononi ngoja nizame mtaani.

Yaliyonikuta sasa baada ya kuingia chemba ya Wauza raha.Nikabonga na mmoja wao akawa anasema ;"Kaka kama unataka show time basi chumba unalipia 5000 show 10000.

Nikabaki nimeshangaa maana Kwa Wauza raha wa Dar sio expensive hivyo.Katika kujitafakari nikaona huu ni uharibifu wa rasilimali fedha nikajiambia ; "Kweli ndani ya sekunde chache za kimoko afu 15000 initokee ngoja nitulie.................

KAMA NI HIVI BORA NIKUBALI NDOA SASA MAANA UNAJISEVIA .
 
Nawasalimu ndugu zangu

Huu uzi ni sawa na mrejesho wa uzi wangu uliopita juu ya sintofahamu yangu kuhusu upatikanaji wa Dada poa maeneo ya Mbezi Mwisho

Nawashukuru wadau walichangia, wakanielekeza machimbo. Nami nilihakikisha nafika ili nipate mbususu, basi nilifika eneo hilo Lubumbashi Bar.

Kwanza ni bar local sana, niliingia mle ili kudadisi, nikaagiza zangu kamunyweso huku nikiendelea kudadisi , mziki mkubwa watu wengi mle ni vijana wenye umri wa kati 25 hadi 30 hivi cha ajabu wanakunywa pombe kali smart Gin, Konyagi, K-vant na hata double kick

Nilishangaa sana, sijawahi kushuhudia Bar kuna smart Gin au Double kick zaidi wale vijana ukiwadadisi bado wanapambana ( wako chini ya dollar moja) sasa nikaanza kujiuliza kuna ulazima wa kunywa pombe while still una struggle for food, kilichonisikitisha zaidi kuona akina mama wenye mimba kabisa nao wakiserebuka

Kwangu mimi likawa jambo geni Basi nikaanza kudadisi maeneo ( chimbo la malaya) kuna mdau akanielekeza kuna ka uchochoro fulani aisee sikuamini macho yangu, nilikutana na wadada wamechoka, wajawazito , wanavuta sigara, wamejichubua, wachafu hakika nilitokwa na machozi labda kwa sababu mimi machimbo yangu ya Sinza( African sana) na Tabata ( small planet) kuna malaya safi na smart.

Basi kupita tu yale maeneo, nilijiona kama nina laana, sistahili mbele ya jamii. Nimeamua kuachana kabisa na hii desturi ambayo nimeishi nayo miaka mingi sana,

Nawaaga kwenye chama, naanza kujifunza kutongoza
Kila nikumuaga malaya huwa natoka na majuto kwanini nomenunu malaya? Mara ya mwisho mimi ilokua tar 7.1.2023. Tangu hapo kila nikifkiria kununua hiwa nagaili siku inaita. Nadhani naelekea kuacha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom