Nimeamini mpira wa kiafrika ni majanga huyu refa wa Medeama na Yanga kadhihirisha mipango ya nje ya uwanja

Makosa ya muamuzi jana yamezi nufaisha pande zote mbili maana pia Job alisitahiri kadi mbili za njano ambayo ingekuwa nyekundu, Mediama wamenyimwa penalit 2 tena zisizo na mashaka yeyote ,kiufupi yule lefa jana alibolonga.

Japo lile goli la yanga nalo kibabage alikuwa amezidi mkono japo ni kidogo sana.
Hivi huyo jamaa ukichora mstari hawapo sawa na kibabage?
IMG_20231209_134443_067.jpg
 
Nilipata wasi wasi niliposikia kuwa wafanyabiashara wa mji wa Kumasi wameungana ili kuakikisha yanga atoki salama pale babayara stadium, na ilikuwa ni lazima yanga afie pale!

Wasi wasi Wangu kumbe nilikuwa sahihi sana kwa kilichotokea uwanjani kwa refarii kumrudisha fadhira kwa waliomkarimu vizuri kwa 100%.

Hakika refa uyu alifanya kazi yake ipasavyo ya KUWATOA yanga mchezoni bahati mbaya kwake alikutana na timu yenye wachezaji waliokomaa na kupevuka ipasavyo vinginevyo angefanikiwa malengo yake ya kumbeba mwenyeji kushinda mechi ya Leo!

Straight red card ilikuwa aiepukiki kwa mchezaji wa MEDEAMA, goli la wazi la kibabage ni ushahidi tosha ya refarii aliyekuwa amebet tiyali!

Pamoja na kuwabeba bado walikutana na moto wa vijana wa gamondi ambao walikosa ukatili kwenye eneo lao la mwisho kuimaliza mechi!

Medeama wametumia advantage ya uwanja wa nyumbani Sasa na yanga wakautumie vyema pia uwanja wa nyumbani kwa kuicheza iyo mechi nje ndani akuna kumhurumia kenge yeyote atakayejichanganya kutuzuia,
Kwa mkapa ni lazima waseme ni kitu Gani walimpa refarii na washika vibendera, walichompa basi na wao wasubilie kitawakuta icho icho undava undava tu mpaka kieleweke!

Mechi imekwisha na wachezaji wa MEDEAMA wamebaki wameduwaa awajaamini Kama mipango waliyoiset ingeferi kupitia refarii!

Sasa tunawakaribisha Benjamin mkapa waje tutawapokea Kama walivyotupokea!
Kumbe mechi huwa zinachezwa nje ya uwanja bado hamjasema!
 
Yanga punguzeni kulia lia,mkishinda ninyi mnasema timu yenu bora. Mkifungwa au sare lazima mtafute mchawi.
Hivi kwa akili ya kawaida unasemaje Kibabage alikua onside pale ?
Hivi refa aliyepewa pesa hua anaangalia mpira kufuata mkono ? Refa akibeba chake mpira ukikutana na mkono ni tuta moja kwa moja hakuna kujiuliza.
Jipangeni mshinde kwenu.
Mlianza na hesabu za pointi 9 nyumbani zimegoma
Mkaja hesabu ya kubeba pointi 6 kwa Medeama pia zimegoma
Sasa hivi mnaanza kulia lia
 
Wabongo mna shida hasa mashabiki wa Simba. Toka mechi na alahly nyie ni kuiponda yanga tena kwa matukio ya wazi kabisa yaliyoinyima yanga ushindi. Ok tunawangoja kesho
Mashabiki wa Simba wameingiaje hapo ? Chambueni timu yenu acheni kusaka visingizio
 
Sisi tumechambua nyie mnasema visingizio. Kama sio ukolo ni nn? Jana Ile ilikua goli au sio goli? Tianzia hapo nione akili zako

Baada ya kuona dalili za hali kuwa ngumu, Yanga mliamua kucheza mpira wa nguvu. Kama ulifuatilia mfululizo wa matukio utaona lile tukio la rafu ya Kibabage lilikuwa kama ni hasira za wachezaji wa Medeama baada ya kuona mpira wa nguvu ambao Yanga iliamua kuanza kucheza.

Na hizi kadi mnazookota sasa hivi zitakuja kuwacost katika mechi mbili za mwisho.
 
Sisi tumechambua nyie mnasema visingizio. Kama sio ukolo ni nn? Jana Ile ilikua goli au sio goli? Tianzia hapo nione akili zako
Toa uchura wako hapa. Ingekua goli si mechi ingeisha 1-2 offside mnalazimisha iwe goli ?
 
Mi kubishana na makolo ka nyie siwezag nawangoja Bado saa moja tu. Mmepata pa kupatia furaha ngoja Leo usiku
 
Mkuu vp matokeo nyie hamna visingizio au sio!timu lenu bovu washamba nyie
Mshamba mwenyewe,sisi tumefungwa tumetulia hakuna haja ya kuwa na visingizio. Wewe mwenye timu nzuri unashika nafasi ya ngapi kwenye kundi lako. Na una pointi ngapi ?
 
🤣🤣🤣🤣Leo ndo umerudi. Kimoja Cha uchungu kilikupoteza kabisa hapa jf. Mna shida sana nyie. Mwaka huu wenu. Sisi shida hatuna tuvuke tusivuke. Kazi kwenu nyie wakubwa
 
Leo ndo umerudi. Kimoja Cha uchungu kilikupoteza kabisa hapa jf. Mna shida sana nyie. Mwaka huu wenu. Sisi shida hatuna tuvuke tusivuke. Kazi kwenu nyie wakubwa
Mimi huwa sikimbiii aisee kwa matokeo yoyote yale. Leo mnasema mvuke au msivuke ni sawa eeh lakini kabla ya hapo mlisema lazima mpate pointi 9 nyumbani na mkajiaminisha lazima Medeama wawape pointi 6
 
Daah yule refa unaweza kusema alipewa kitu kumbe ndio uwezo wake marefa wa Libya na Mauritania ni hovyo sana na wanabebwa sana na CAF...
 
Mimi huwa sikimbiii aisee kwa matokeo yoyote yale. Leo mnasema mvuke au msivuke ni sawa eeh lakini kabla ya hapo mlisema lazima mpate pointi 9 nyumbani na mkajiaminisha lazima Medeama wawape pointi 6
Sasa ndg kama sio refa kutukatili medeama tulikua tunachukua 3. Ok yote kwa yote hebu niambie nafasi ya Simba kuvuka kwenda nusu🤣
 
Back
Top Bottom