Nimeamini mabinti wa kichaga hawajui mapenzi

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,151
Reaction score
20,065
Naomba ieleweke kwamba Sina lengo la kukashifu kabila la mtu ila ukweli lazima usemwe bila kijali watu wataupenda au la.

Binafsi huwa sipendi mambo ya kuambiwa na huwa siyaamini maana najua hata mahakama ya sheria haitambui maneno ya kuambiwa. Nimekua nikisikia na kusoma mada nyingi humu watu wakilalamika kwamba wasichana wa kichaga hawajui mapenzi na kwa kua nilikua suijawahi kutoka na binti hata mmoja wa kichaga nikaamua nijiridhishe mwenyewe dhidi ya hizo tuhuma je ni kweli au wanawasingizia?

Nikaamua kufanya utafiti usio rasmi ila nilifuata njia zote za kitaalam za kufanya utafiti hivyo nikaamua kutumia njia isiyo na mpangilio(random sampling).

Hivyo toka mwezi wa 11 nimebahatika kukutana na wasichana 9 wa kichaga wa madaraja tofauti,yaani wanafunzi wa vyuo,wafanya biashara,wahudumu wa baa(siku hizi wahudumu wengi wa baa ni wachaga) na mama mtilie.

Hakika nimethibitisha kweli kua wanawake wa kichaga mapenzi yaliwapita pembeni,yaani ni sifuri kabisa.

Niwatakie sherehe njema ya krismas na mwaka mpya.
 
Mtu anayejua mapenzi na ambaye hajui unatumia kigezo gan kuwatofautisha?

Na ni nn kimekuaminisha kuwa ww unayajua mapenzi?
Unajuaje kama ww mwenyew ndio tatizo? Kama huna mvuto kwenye mapenzi, hujui kuhamasisha mwenzio atarespond vp?

Acha maneno ya vijiwen bhana
.. miss chaga uje huku anakutafuta huyu
 
Last edited by a moderator:
Naomba ieleweke kwamba Sina lengo la kukashifu kabila la mtu ila ukweli lazima usemwe bila kijali watu wataupenda au la.

Binafsi huwa sipendi mambo ya kuambiwa na huwa siyaamini maana najua hata mahakama ya sheria haitambui maneno ya kuambiwa. Nimekua nikisikia na kusoma mada nyingi humu watu wakilalamika kwamba wasichana wa kichaga hawajui mapenzi na kwa kua nilikua suijawahi kutoka na binti hata mmoja wa kichaga nikaamua nijiridhishe mwenyewe dhidi ya hizo tuhuma je ni kweli au wanawasingizia?

Nikaamua kufanya utafiti usio rasmi ila nilifuata njia zote za kitaalam za kufanya utafiti hivyo nikaamua kutumia njia isiyo na mpangilio(random sampling).

Hivyo toka mwezi wa 11 nimebahatika kukutana na wasichana 9 wa kichaga wa madaraja tofauti,yaani wanafunzi wa vyuo,wafanya biashara,wahudumu wa baa(siku hizi wahudumu wengi wa baa ni wachaga) na mama mtilie.

Hakika nimethibitisha kweli kua wanawake wa kichaga mapenzi yaliwapita pembeni,yaani ni sifuri kabisa.

Niwatakie sherehe njema ya krismas na mwaka mpya.
hahaha! JF kuna mambo. ulikuwa unafanya utafiti kwa hiyo ingekuwa ngumu sana kwa wewe kuonesha mapenzi, na ndio sababu hawakukuonesha mapenzi kwa kuwa ulikuwa una-pretend!
 
Angalia utafiti wako usije kuwa umekuacha na magonjwa. pia acha udharirishaji kaka, pamoja na kuwa nitakuwa wa mwisho kuamini eti umefanikiwa kulala na mabinti tisa labda kama ulikuwa unawanunua wa buguruni-kimboka, hayo nimeongea tu ila ninachosisitiza ACHA KUDHARIRISHA WANAWAKE
 
Tafiti zingine bana!mpaka ufanye dhambi ya zinaa halafu unakuja hapa unasema ni tafiti? Kesho unaanza kuwatesa ndugu zako wakikuhangaikia kukutibu maradhi yako yaliyotokana na zinaa,,huo ndo utafiti??? Mungu akuhurumie na kwa mpango huu hutokaa usogee kimaisha kamwe
 
Angalia utafiti wako usije kuwa umekuacha na magonjwa. pia acha udharirishaji kaka, pamoja na kuwa nitakuwa wa mwisho kuamini eti umefanikiwa kulala na mabinti tisa labda kama ulikuwa unawanunua wa buguruni-kimboka, hayo nimeongea tu ila ninachosisitiza ACHA KUDHARIRISHA WANAWAKE

kafanya wapi??
Huyu atakuwa amefanya nao akiwa amefumba macho huku akitumia bby care au jamaa
 
Naomba ieleweke kwamba Sina lengo la kukashifu kabila la mtu ila ukweli lazima usemwe bila kijali watu wataupenda au la.

Binafsi huwa sipendi mambo ya kuambiwa na huwa siyaamini maana najua hata mahakama ya sheria haitambui maneno ya kuambiwa. Nimekua nikisikia na kusoma mada nyingi humu watu wakilalamika kwamba wasichana wa kichaga hawajui mapenzi na kwa kua nilikua suijawahi kutoka na binti hata mmoja wa kichaga nikaamua nijiridhishe mwenyewe dhidi ya hizo tuhuma je ni kweli au wanawasingizia?

Nikaamua kufanya utafiti usio rasmi ila nilifuata njia zote za kitaalam za kufanya utafiti hivyo nikaamua kutumia njia isiyo na mpangilio(random sampling).

Hivyo toka mwezi wa 11 nimebahatika kukutana na wasichana 9 wa kichaga wa madaraja tofauti,yaani wanafunzi wa vyuo,wafanya biashara,wahudumu wa baa(siku hizi wahudumu wengi wa baa ni wachaga) na mama mtilie.

Hakika nimethibitisha kweli kua wanawake wa kichaga mapenzi yaliwapita pembeni,yaani ni sifuri kabisa.

Niwatakie sherehe njema ya krismas na mwaka mpya.

I see! Hapa patachafuka sasa hivi. Kitanuka!
 
kafanya wapi??
Huyu atakuwa amefanya nao akiwa amefumba macho huku akitumia bby care au jamaa

Uwiiiiiiiiii! kumbe nawe umeona, eti anafanya utafiti, hii dunia kuna bingwa wa mapenzi? tunamshuru kwa utafiti wake wa awali naana hadi amalize makabila ambayo reseach yake itapita, nahisi atakuwa kishachizika
 
Tafiti zingine bana. .

Wachaga tuko busy tunasaka noti. ..
Mapenzi ya ukweli tunampa mhusika....Wewe endelea na hao watafiti wenzio maana hata hao wadada 9 nao walikuwa wanafanya utafiti wao. .
 
Back
Top Bottom