Nimeamini kweli mke ni ubavu wa pili

Nimeamini kweli mke ni ubavu wa pili

Hongera mkuu kwa kupata mke mwema..

Wacha namimi nimforwadie mama watoto huu uzi kama shukurani zangu kwake.

LAZIMA TUWE NA SHUKURANI KWA WENZA WETU

Sent using Jamii Forums mobile app

Utakuwa umemtendea haki, tena itapendeza sana ukimnunulia kazawadi hata cha tunda leo kuonyesha shukrani zako kwa uwepo wake maishani mwako.

Nashukuru sana kwa kweli kwa sasa sina hela ya kununua zawadi kubwaa ila wife akirudi lazima nimpe zawadi. Zawadi ya .kwanza kabisa ni kumuombea kwa Mungu ampe maisha marefu. .

Sana sana lazima tushukuru kwa kila jambo jema maishani mwetu
 
Hahaha unataka uoe afue. Akikudai house girl utafanya nini? Wanawake wengi wa sasa hawataki kazi za nyumbani kabisa. Utaletewe house girl afanya huku yeye kanyoosha miguu juu
Omba Mungu akupe mke mwema ndugu
Kweli, dua muhimu. Ila scouting pia iko na nafasi yake!
 
Sijaolewa

Ni biriani tuu ndo ambayo sijajaribu kupika, mengine yote napika.

Hakuna league ya kuoa au kuolewa kila kitu kinafana pale kinapofanywa kwa mda wake maalumu
Bora ukosee kunyoa kuliko kukosea kuoa au kuolewa
Be blessed mpendwa. .

Kwa hapa Dar tena mitaa ya Sinza siku hizi biriani lina soko sana. Wanauza watu wengi biriani kuku sijui kuna kitu gani cha ziada. Hivi biriani linahitaji ufundi mwing sana?
 
[emoji3][emoji3][emoji3], hatari ila mimi hata huyo Amoeba siwezi kumpika eti, kajitahidi sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaaha mbavu zangu
Siku hivi wadada wana masihara kweli
Humu kuna ma stand up commedian weng sana

Kweli hujui kupika chapati au unanipa moyo tu?
Jipange na mawifi au wakwe zako maana watakuamkia
 
Hujaishi getho

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Hatuko kwenye mashindan
Gheto nimeishi toka niko form five mpaka naua chuo

Kuna mama single maza tulikuwa tunampa hela anatupikia. Kwenye ile nyumba kuna wapangaji wengine walipanga vyumba vyao na wote tulikuwa tunachanga

Kuishi gheto si sababu ya kujua kupika. Wewe unajua kupika?

Ova
 
Mwanaume unapata wapi time ya kushika mchi na kusukuma chapati?Nikiwa alone ni ugali,kachumbari na samaki wa kukaanga au nanunua kijinyama robo na ndizi zangu natoa kitu cha mchemsho ndugu kama nakuona wazo la kukuna nazi baadae linavyorun kichwani mwako.
 
Jamani kuna watu wanafanya kazi maotelini dunia nzima huko wapishi na ni wanaume
Aina ya chakula unachopika doesnt make you less a man
Watu wana mawazo ya kizamani sana mpaka dunia ya leo hawataki kubadilika
Sikujua kumbe mtu akikuna nazi anakuwa Ke
2325533_tapatalk_1582041886263.jpeg

Nilipika chapati kwa sababu niliona unga uko nyumbani, au nitaenda motoni kwa kupika chapati?
 
Jamani kuna watu wanafanya kazi maotelini dunia nzima huko wapishi na ni wanaume
Aina ya chakula unachopika doesnt make you less a man
Watu wana mawazo ya kizamani sana mpaka dunia ya leo hawataki kubadilika
Sikujua kumbe mtu akikuna nazi anakuwa Ke
View attachment 1378888

Nilipika chapati kwa sababu niliona unga uko nyumbani, au nitaenda motoni kwa kupika chapati?
Huyo Chef mwaume uliyemuona anakuna nazi hotelini ni hotel gani au ndio huko kwenye migahawa iliyokushinda kula?
 
Huyo Chef mwaume uliyemuona anakuna nazi hotelini ni hotel gani au ndio huko kwenye migahawa iliyokushinda kula?

Ina maana hata hao wazee wanaokuna nazi hao sio watu
Uisdharau kazi za watu
Kupika sio kazi ya mwanamke kama unavyodhani

Primitive thinking
 
Tena sisi wakristu kwa sababu ndo haivunjiki mpaka kifo kitenganishe basi ndio huwa tunaongoza kwa hayo
Ila ndugu zetu waislamu mke akikushinda unamwacha aende zake

Kupika kazi sana kwa kweli nilikuwa naona simple sana. Nitakapokula chakula sasa nitaweka appreciation kubwa hata kama kina chumvi
Huyo mdau hapo juu amejiandikia kujifurahisha tu mkuu,purukushani za kulea watoto hata kama mkeo akikuudhi vipi huwezi kumuombea kifo maana siyo mchezo mfano me siku nikisema nishinde home mpaka saa5 asubuhi nipo hoi maana vurugu za watoto usichukulie poa.

Hata hivyo nikupongeze umeweza hata kujaribu kukaanga chapati,ndo nimesikia kwako leo kumbe chapati na chumvi huwa zinawekwa?nilikuwa sijui aisee!!!

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom