Nimeamini kweli mke ni ubavu wa pili

Hatuko kwenye mashindan
Gheto nimeishi toka niko form five mpaka naua chuo


Kuna mama single maza tulikuwa tunampa hela anatupikia. Kwenye ile nyumba kuna wapangaji wengine walipanga vyumba vyao na wote tulikuwa tunachanga

Kuishi gheto si sababu ya kujua kupika. Wewe unajua kupika?

Ova
Hakuna getho ambalo halipik chakula. Kama upo getho afu unalipa watu kupika, kufua n.k hapo si getho tena, hapo ni ' gest '

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika kuishi kwangu maisha ya ubachela sikuwahi hata kuota "napika" chapati na sijui hata kukanda huo unga hadi leo.

Na katika vyakula ambavyo mabachela wengi hawajihusishi navyo ni "kupika" chapati.
 
Yan nmejikuta tu out if control kicheko...nalipua balaa...alaf mama kantizama usoni km sekunde 6 bila kuongea..nikaona anaangaza kitu cha kunipondea nikaanza mbio...ila kimenipata duuuuh chapatii

Sent using Jamii Forums mobile app
Mie nikiwa home ni sipendi kuchek online mana kuna siku mzee alichukia sana alafu nilivyoulizwa unacheka nini sikuweza kujibu. Kuna mdau aliandika online akanifurahisha sana


Ila kweli tena hii chapati ipo kama inakutazama au sio?
IMG_20200305_140330_9.jpg
 
Katika kuishi kwangu maisha ya ubachela sikuwahi hata kuota "napika" chapati na sijui hata kukanda huo unga hadi leo.

Na katika vyakula ambavyo mabachela wengi hawajihusishi navyo ni "kupika" chapati.

Kuishi katika ubachela ulikuwa unapendela kupika nini?
 
Hakuna getho ambalo halipik chakula. Kama upo getho afu unalipa watu kupika, kufua n.k hapo si getho tena, hapo ni ' gest '

Sent using Jamii Forums mobile app

Mie kipindi kile nilikuwa nasoma na nilikuwa busy na biashara. Kingine ambacho kimetusukuma kumwezesha yule single maza naye apate kariziki

Watu wanafosi kuishi gheto lazima upike, wa Tanzania acheni kukariri nimekaa gheto for more than 8 years. Nimetoka gheto now am living with my wife nafurahia maisha ya ndoa

Mimi ni mchaga kutokea Rombo na kipindi kile ukiingia jikoni hata wazee walikuwa wanagomba. Kuna siku nimekaa jikoni tu kulikuwa na baridi kali na babu alinitimua na mkongojo wake. Watu tunatokea katika mazingura tofauti hatufanani kabisa
 
Back
Top Bottom